oud_gallery54

oud_gallery54 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from oud_gallery54, Shopping & retail, Kiembe Samaki, Zanzibar.

Welcome To My Gallery, tunakusaidia kupata aina mbali mbali za oud zenye kukupa harufu nzuri yenye kupendeza na kudumu kwa muda mrefu..� The Best Oud Fragrances In Town�

🌸 NEW ARRIVAL – Hair Fitna / Makhmariya (Chuo) 🌸Your hair deserves to smell as luxurious as your outfit. 🤍Ladies, siri y...
08/06/2026

🌸 NEW ARRIVAL – Hair Fitna / Makhmariya (Chuo) 🌸

Your hair deserves to smell as luxurious as your outfit. 🤍

Ladies, siri ya nywele kunukia siku nzima sio kufukiza tu… ni kutumia bidhaa sahihi kabla ya kufukiza. 😍

Introducing our new Hair Fitna (Makhmariya) 🌸

Mafuta ya nywele yenye harufu ya kifahari sana, unapaka baada ya kuosha nywele zako kisha unazifukiza kwa oud. Mchanganyiko wake unatoa harufu tamu, soft lakini noticeable, na inashika kwa muda mrefu sana. ✨

✔ Makes your hair smell expensive
✔ Long lasting fragrance
✔ Perfect for oud & bukhoor lovers
✔ Gives your hair that elegant Arabic touch

Ukipita karibu na watu, wanahisi harufu nzuri lakini hawajui siri yako ni nini. 😉🤍

💰 Price: TSh 35,000 only

Na jambo muhimu…
📸 Picha zetu sio AI generated.
Hakuna editing za kudanganya wala picha za kuokoteza mtandaoni.

What you see is what you get. 🤝
Real product. Real quality. Real results.

📩 DM to place your order.

✨ SANDAL OUD ✨A scent that speaks of elegance, comfort, and luxury.Our Sandal Oud is beautifully balanced — light, smoot...
05/06/2026

✨ SANDAL OUD ✨

A scent that speaks of elegance, comfort, and luxury.

Our Sandal Oud is beautifully balanced — light, smooth, and never overwhelming. It leaves a clean, sophisticated fragrance that lingers on your clothes and fills your home with a warm, welcoming atmosphere.

✔ Long-lasting scent
✔ Perfect for clothes and home
✔ Soft Arabic fragrance
✔ Ideal for everyday use
✔ Leaves a memorable impression wherever it is used

If you love a fragrance that is rich yet gentle, Sandal Oud is made for you. Experience the beauty of a scent that stays with you long after you’ve left the room.

✨ CLOTHES SPRAY ✨Siri ya nguo kunukia vizuri sio oud pekee… 😉 ni combination ya oud na clothes spray nzuri.Kabla hujafuk...
04/06/2026

✨ CLOTHES SPRAY ✨

Siri ya nguo kunukia vizuri sio oud pekee… 😉 ni combination ya oud na clothes spray nzuri.

Kabla hujafukiza nguo zako kwa oud, spray kwanza Clothes Spray yetu. Hii husaidia harufu ya oud kushika vizuri zaidi, kudumu muda mrefu zaidi na kutoa scent inayovutia sana. 😍

Na usihofu… ❌ HAIACHI MADOA kwenye nguo zako.

Unaweza kuitumia kwenye:
🤍Abaya/Baibui
🤍Kanzu za mskitini
🤍 Nguo za kuswalia
🤍 Kanga na dera
🤍 Nguo za wageni
🤍 Vitanda
🤍 Mapazia
🤍 Sofa na maeneo mengine ya nyumbani

Wageni wakiondoka wasibebe tu chai na maandazi… waondoke na kumbukumbu ya harufu nzuri ya nyumba yako pia. 😂❤️

Make your home unforgettable.
Make your clothes smell luxurious.
Make people ask, “Umenukia nini?” 😍

✨ SANDAL BUKHOOR ✨Not all bukhoor is created equal… 🌿Sandal Bukhoor yetu imejaa chenga halisi za sandal zilizoshindiliwa...
04/06/2026

✨ SANDAL BUKHOOR ✨

Not all bukhoor is created equal… 🌿

Sandal Bukhoor yetu imejaa chenga halisi za sandal zilizoshindiliwa kwa wingi ndani ya chupa, zikiwa zimeroweshwa mafuta yanayotoa harufu safi, nzito na long lasting. 😍

Inatoa harufu nzuri bila moshi wa kuudhi. Ni perfect kwa kufukiza nyumba, nguo na kuacha mazingira yako yananukia kwa muda mrefu. 🤍

Usinunue kwa kuangalia bei pekee, nunua quality ambayo utaiona na kuisikia tangu siku ya kwanza. ✨

Available in 3 sizes:
🤎 Big (Tang) – TZS 160,000
🤎 Half Size – TZS 80,000
🤎 Small Size – TZS 60,000

One burn… and your home will smell like luxury.

Swipe👉 kuona feedback za wateja wetu🥰
04/06/2026

Swipe👉 kuona feedback za wateja wetu🥰

Swipe 👉 kuona feedback za wateja wetu🥰
04/06/2026

Swipe 👉 kuona feedback za wateja wetu🥰

🌸✨ OUD & BUKHOOR LESSON OF THE DAY ✨🌸Watu wengi wanauliza, “Kwa nini nyumba za Waarabu zinanukia vizuri kila muda?” 🤔Sir...
03/06/2026

🌸✨ OUD & BUKHOOR LESSON OF THE DAY ✨🌸

Watu wengi wanauliza, “Kwa nini nyumba za Waarabu zinanukia vizuri kila muda?” 🤔

Siri siyo kwamba wanafukiza Eid tu… Siri ni kwamba wanafanya kuwa sehemu ya daily routine yao. 😍

🏡 K**A UNATAKA NYUMBA YAKO IWE FRESH KILA SIKU:

✅ FUKIZA UBANI kila siku asubuhi baada ya usafi wa nyumba na jioni kabla ya magharibi.

Ubani husaidia kuondoa harufu mbaya za chakula, unyevu, viatu, na harufu zilizojificha ndani ya nyumba. Pia huacha mazingira yakiwa safi na yenye utulivu.

✅ FUKIZA OUD baada ya ubani.

Baada ya nyumba kuwa fresh, tumia oud kuipa nyumba yako signature scent nzuri ya kifahari. Hii ndiyo hatua inayofanya wageni waingie na kuuliza:

“Yaani hapa mmefukiza nini?” 😂❤️

📌 MARA NGAPI KWA SIKU?

• Ubani: mara 1-2 kwa siku.
• Oud: mara 1 kwa siku inatosha, au wakati wowote unapopokea wageni.

Ukifanya hivi continuously kwa wiki kadhaa, nyumba yako itaanza kuzoea harufu nzuri na hata nguo zako zitakuwa zinabeba ile scent automatically. ✨

🌹 VIPI UPANGILIE OUD ZAKO?

✔ Oud za bei nafuu kidogo tumia kwa matumizi ya kila siku. Hizi ndizo workhorses wa nyumba yako.

✔ Oud za premium na za gharama zaidi zitunze kwa matumizi maalum:

* Chumbani kwako
* Kufukiza nguo
* Wageni muhimu
* Eid
* Harusi
* Special occasions

Hata magari yetu tunaweka mafuta mara kwa mara… sasa kwa nini nyumba ifukizwe mara moja kwa mwaka? 😭😂

Mtu anafukiza Ramadhan, Eid inapita, Christmas inapita, mwaka mpya unaingia, ndipo anakumbuka tena kiberiti kilipo! 🙄🤣

✨ Harufu nzuri si event, ni lifestyle.

Kuwa na stock ya kutosha ya ubani na oud nyumbani ili usikute una wageni halafu unaanza kutafuta cha kufukiza dakika za mwisho. 😅

Remember:
A clean home looks beautiful…
But a clean home that smells amazing feels luxurious. 🤍✨

✨ AROUSAH OUD ✨If you know quality, then you know Arousah. 🤍A friendly reminder 😊: Don’t focus only on the price, focus ...
02/06/2026

✨ AROUSAH OUD ✨

If you know quality, then you know Arousah. 🤍

A friendly reminder 😊: Don’t focus only on the price, focus on the quality you’re getting. Kuna vitu vya bei nafuu lakini havitoi performance, longevity na luxury experience k**a unavyotarajia.

Arousah is for those who appreciate premium quality and don’t compromise when it comes to smelling amazing. 😍

Available in 3 sizes:

✨ Big Size — TSh 350,000
✨ Medium Size — TSh 250,000
✨ Small Size — TSh 65,000

WhatsApp to order … 0777414154

✨ DON’T GET LEFT BEHIND — THE TREND IS HERE! ✨Ladies, this is the burner everyone is talking about! 🤍🔥If you love keepin...
02/06/2026

✨ DON’T GET LEFT BEHIND — THE TREND IS HERE! ✨

Ladies, this is the burner everyone is talking about! 🤍🔥

If you love keeping your clothes beautifully scented with oud and bukhoor, then this stylish burner is a must-have. Perfect for showing off your outfit-fumigation routine just like the trend you’ve been seeing everywhere! 😍

✔️ Strong & durable metal body
✔️ Does NOT break like fragile burners
✔️ Elegant and modern design
✔️ Perfect for clothes and home
✔️ Easy to carry and use

Stay on trend and elevate your fragrance routine with a burner that’s built to last. Don’t wait until they’re sold out — secure yours today! ✨🤍

Tsh 45,000

🔥 NEW ARRIVAL – PREMIUM DEHN OUD COLLECTION 🔥For true oud lovers, the wait is over.Introducing our exclusive collection ...
01/06/2026

🔥 NEW ARRIVAL – PREMIUM DEHN OUD COLLECTION 🔥

For true oud lovers, the wait is over.

Introducing our exclusive collection of pure Dehn Oud oils — rich, deep, powerful and unforgettable. These are not ordinary fragrances; they are luxurious oud oils crafted for those who appreciate authentic Arabic scents.

✨ Extremely strong and long-lasting
✨ Just ONE drop lasts all day
✨ Deep woody, smoky and luxurious aroma
✨ The scent evolves beautifully with time, becoming richer and more captivating on your skin and clothes
✨ Perfect for special occasions, daily luxury and oud collectors

A single drop is enough to leave a lasting impression wherever you go.

This exclusive package contains 5 different Dehn Oud scents, carefully selected for those who love powerful and sophisticated fragrances.

🎁 5 Scents Package
💰 TZS 85,000 only

Address

Kiembe Samaki
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when oud_gallery54 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to oud_gallery54:

Share