01/07/2023
π¨π¨π£πππ§ππ¦ π¬ππ‘ππ π‘π πππ‘ππ π¬π π‘π π
Ni rasmi sasa klabu ya Yanga na benki ya Nmb imeingia mkataba wenye mahusiano yafuatayo.
-Kuanzia kila mwananchi anaweza kujiunga kuwa mwanachama wa Yanga kupitia benki ya Nmb,na kadi yake atapata hapohapo.Ili kuongeza wigo wa wanachama wa Yanga Kwenye mfumo wa mabadiliko
-Yanga na Nmb pia wameingia mahusiano ambayo benki ya Nmb itakwenda kuwasaidia Yanga (Kuwekeza)kwenye miundombinu ya uwanja wa Yanga ambao unatarajiwa kuanza kujenga pale jangwani kaunda stadium.
Β©Rais Eng Hersi Ally Said