nolanrapael0

nolanrapael0 Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from nolanrapael0, Shopping & retail, Tabata.

04/06/2026

03/06/2026

Wakulima wa maziwa hii sio ya kukosa kabisa uhitaji tena kutumia mda mrefu Kupooza maziwa kwasababu utakuwa unapoteza muda wako bure
tunakuletea chiller system ya Kupoza
maziwa kwa haraka zaidi
Chiller hizi zipo za ukubwa tofauti Kuanzia liter 50 mpka liter 30000
Inategemea na uhitaji wa mteja
V Pia tuna mtambo wa kuchemsha maziwa pasteurizer
Kuanzia
liter 50 mpaka liter 500
Karibuni sana Tunapatikana dar eś salam

03/06/2026

Wakulima wa maziwa hii sio ya kukosa kabisa uhitaji tena kutumia mda mrefu Kupooza maziwa kwasababu utakuwa unapoteza muda wako bure
tunakuletea chiller system ya Kupoza maziwa kwa haraka zaidi
Chiller hizi zipo za ukubwa tofauti Kuanzia liter 50 mpka liter 30000 Inategemea na uhitaji wa mteja
✅Pia tuna mtambo wa kuchemsha maziwa pasteurizer🔥Kuanzia liter 50 mpaka liter 500
Karibuni sana Tunapatikana dar eś salam Tabata shule
0688769751

30/05/2026
30/05/2026

#

30/05/2026

28/05/2026

biashara za miamia ni biashara nzuri snaa kwani hazina mtaji mkubwa snaa na zinanunulika sanaa
Tuone sehemu unazoweza kuuza biashara
hii
1.shuleni
2.sokoni
3.minadani
4.mtaani
5. kwenye mikutano
6.nyumbani
Namna ya kufanya biashara hii kwa urahisi
1. Unaweza kuuza jumla kwa kuwapa watu wakauze nawao wapate faida
2. Unaweza kuuza mwenyewe sehemu
tajwa hapo juu
3.unaweza kuajiri watu wa kuuza na
ukawalipa kwa makubaliano yenu
4. Unaweza kuwapa watu wakauze na uwalipe kwa asilimia ya mauzo Yao
5. Unaweza kuwapa watu kwa Mali kauli wakauze alafu jioni walete mauzo na uwalipe kwa bei ya jumla
6. Unaweza zalisha mzigo ukamjazia mteja
friza lake nyumbani kwake na akimaliza mzigo akulipe pesa
NB.zingatia kununua mashine bora zenye uwezo mzuri wa kugandisha kwa haraka zaidi kutoka
0688769751 call

Address

Tabata

Telephone

+255688769751

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when nolanrapael0 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to nolanrapael0:

Share