20/05/2025
KUNA WATU KUTULIZA MIKONO HAMUWEZI KABISA
SASA NAWAPA SUGGESTIONS;
1. Avoid kupop chunusi na mikono hasa wenye kucha ndefu au mikono ikiwa michafu.
2. Kwa usalama zaidi itoboe ikiwa imeiva.
3. Kuepusha kusambaa kwa bacteria na kuzaliana kwa acne mpya toboa na ukiminye bila kusambaza discharge.
4.tumia cotton buds k**a inavyonesha kwenye picha kuavoid kusambaza bacteria.
5. Unaweza deep cotton buds kwenye maji moto before uweke .
6. Every pop unatakiwa utumie new and fresh cotton buds usirudie rudie apo na moja utasambaza bacteria.
7. Usipake actives k**a salicylic avid au benzoyl piroxide kwenye sehemu uliyo tumbua. Kidonda kiache bila product aina yoyote uanweza fanya cold pressing ya icing tu usipakae kipozi chochote kwenye open wound ya acne.
8. Muda mzuri ni usiku . Inapunguza risk ya bacteria na chunusi mpya.
🔺MUHIMU ZAIDII USITUMBUE CHUNUSI K**A HAIJAIVA VIZUR,
🚩SIO KILA CHUNUSI NI YA KUTUMBUA ZINGINE NI NON INFLAMATORY HAZITOKI NJE ZINABAKI NDANI YA NGOZI K**A KIJIPU HIZO USITHUBUTU KUGUSA .BEST WAY NI KUTUMIA DAWA KUTOKA KWA WATALAMU WA NGOZI HOSPITALI.
Kwa zaidi karibu tukupatie products sahihi kwa acne skin ili kuepuka adha ya madoa na chunusi za kila siku.
0683195760