04/02/2024
Ofa ofa ofa
Tumeshusha mzigo mpya wa mashuka ya cotton size 7/8 shuka ni nzuri hazichuji wala kutoa upele unapata kwa elf 20 tu na jumla ni elf 18 kuanzia shuka 10
Tuna mto pamoja na foronya yake, material ni sufi jumla ni elf 8 kuanzia mito 10 rejareja elf 10
Tupo songea mjini maeneo ya mtini, tunatuma mzigo mikoa yote kwa gharama za mteja karibuni sana 0654046393
https://chat.whatsapp.com/FUQkbN7muBJHu4KEsnaCNW