NKOTA Shopping Center

NKOTA Shopping Center Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NKOTA Shopping Center, Household Supplies, Singida.

16/02/2017
31/07/2016
NKOTA Shopping Center imewaletea sufuria za kupikia vitu viguma K**a maharage na nyama hata maindi (Pressure cooker) uku...
25/09/2015

NKOTA Shopping Center imewaletea sufuria za kupikia vitu viguma K**a maharage na nyama hata maindi (Pressure cooker) ukubwa tofauti kuanzia liter 5 hadi 11. Niimara zinadumu kwamuda mrefu hata kwenye majiko ya gesi. Karibuni Sana. Huduma yetu mafanikio yako.

NKOTA shopping center imewaletea majiko mapya ya gesi (gas cooker) yenye plet 2 ni imara zaidi na yana garant ya miezi 1...
28/07/2015

NKOTA shopping center imewaletea majiko mapya ya gesi (gas cooker) yenye plet 2 ni imara zaidi na yana garant ya miezi 12. HADUMA YETU MAENDELEO YAKO. karibuni sana

NKOTA SHOPPING CENTER imewaletea majiko mapya ya kisasa ya umeme energy saver, Yanakuwa na ofa ya sufuria moja. HUDUMA Y...
26/07/2015

NKOTA SHOPPING CENTER imewaletea majiko mapya ya kisasa ya umeme energy saver, Yanakuwa na ofa ya sufuria moja. HUDUMA YETU MAENDELEO YAKO. Karibuni sana. kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0767283333

22/07/2015

habar zenu wapendwa, karibun sana katika page mpya ya NKOTA shopping center, Page yetu inahusika na mambo ya uuzaji wa vyombo vya nyumbani,
Ofisi zetu kuu zinapatikana mkoa wa singida mjini mtaa wa sokoni pamoja na jamatin mtaa wa wauza viatu.
ukifika soko kuu la singida maeneo ya mabucha yalipo ulizia kwa mama shaban vyombo.
KARIBUNI SANA WAPENDWA.

Address

Singida

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NKOTA Shopping Center posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share