Gewa Tv

Gewa Tv Tunashughulika na kupiga picha za video za kwaya, Documentaries, na matukio yote yahusuyo picha. kwa mahitaji hayo tafadhali wasiliana nasi.

04/01/2022

Tunakukaribisha Enyi waimbaji wa nyimbo za injili, kurekodi sauti na picha kwa bei rahisi zaidi. Kwetu sisi mteja ni mfalme, wasiliana nasi ili tuweze kukuhudumia.

Gewa TvInawatakia watu wote sikukuu njema za Christmas 🤶 na mwaka mpya mwema 2022.Waimbaji na kwaya zote karibuni mpate ...
19/12/2021

Gewa Tv
Inawatakia watu wote sikukuu njema za Christmas 🤶 na mwaka mpya mwema 2022.

Waimbaji na kwaya zote karibuni mpate recording na shooting zenye ubora na bei rahisi zaidi. Wasiliana nasi kwa 0624040538. Fanya booking Sasa!!

Gewa Tv inapenda kuwaalika waimbaji wote wa ili kupata offer hii ya Mwaka. "unarekodi sauti Bure na ku shoot video kwa k...
22/08/2021

Gewa Tv inapenda kuwaalika waimbaji wote wa ili kupata offer hii ya Mwaka. "unarekodi sauti Bure na ku shoot video kwa kulipia, popote ulipo tutakufuata. Waweza kutazama kazi zetu hapa Facebook au nenda YouTube kiisha tutafute kwa Jina la" "GewaTv" angalia kwa Kadri ya uwezo wako. Usiache ku like, comment na ku subscribe katika channel yetu. Asante Sana

22/08/2021

Je ungependa kurekodi audio au video ya tukio lako? Wasiliana nasi GewaTv nasi tutaifanya kazi yako kwa uzuri kabisa.

Tunarekodi audio na ku shoot video za matukio mbalimbali, k**a kwaya na mengineyo. Wasiliana nasi ili kupata offer hii.g...
19/03/2021

Tunarekodi audio na ku shoot video za matukio mbalimbali, k**a kwaya na mengineyo. Wasiliana nasi ili kupata offer hii.
[email protected]

26/02/2021

Karibuni Gewa Tv kwa Audio recording na video shooting za kwaya na matukio mbalimbali.

Asanteni.

29/12/2020

TUNAFANYA SHOOTING YA PICHA ZA VIDEO KWA AJILI YA KWAYA NA VIKUNDI. LAKINI PIA TUNAPIGA PICHA NA KUANDAA DOCUMENTARY ZA MASHIRIKA NA MAKAMPUNI. KARIBU TUFANYE KAZI NA WEWE, TUNAAMINI HUTOJUTA. TU NAKUAHIDI KAZI MAKINI TENA YENYE UBORA.

KARIBUNI NYOTE

04/04/2020

Karibu Gewa TV kwa shooting za video mbalimbali

31/03/2020

Done at Gewa TV

30/03/2020

Done by Gewa TV

30/03/2020

Imefanywa na Gewa TV

Address

Nyakato
1770

Opening Hours

Monday 07:00 - 18:00
Tuesday 07:00 - 18:00
Wednesday 07:00 - 18:00
Thursday 07:00 - 18:00
Friday 07:00 - 18:00
Sunday 07:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Gewa Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Gewa Tv:

Share