Centerofpaymenttzz

Centerofpaymenttzz Afya tips
✨ Inspiring -40+ Journey
💪 Health | supplements/Vitamins
Education only not medical advice
👣 Prepare | Elevate | Thrive

14/03/2026

1. Uwezo wa kunyonya damu (Absorbency)
• K**a damu yako ni nyingi chagua pad yenye kunyonya sana (heavy flow).
• K**a damu ni kidogo chagua pad nyembamba (light flow).

2. Urefu wa pad
• Kuna short, regular na long / night pads.
• Usiku ni vizuri kutumia ndefu ili kuzuia damu kuvuja.

3. Kuwa na wings (mabawa)
• Pads zenye wings hushik**ana vizuri na chupi na huzuia kuvuja pembeni.

4. Ubora wa material
• Chagua pad laini na rafiki kwa ngozi ili kuepuka muwasho au fangasi.

5. Harufu (scented au unscented)
• K**a una ngozi nyeti ni bora kutumia pad zisizo na harufu.

6. Unene wa pad
• Wengine hupenda nyembamba kwa comfort.
• Wengine hupenda nzito kidogo kwa kunyonya damu nyingi.

7. Usafi na brand
• Nunua pads za brand zinazojulikana k**a
• Always
• Sofy
• Kotex

✅ Kidokezo muhimu:
Badilisha pad kila masaa 3–4 ili kuepuka harufu, maambukizi na muwasho.

14/03/2026

✍️KUNA MWANAMKE HAONI PERIOD HATA MIEZI 3.

✍️NA HAJALI WALA NINI.🙌

✍️ UTAKUJA KUJITIBIA UVIMBE KWENYE KIZAZI 🤔

Moja Ya Sababu Zinazopelekea Mwanamke Kukosa period/ hedhi au Kupata Hedhi Isiyoeleweka ni

📍Hormone Imbalance: hormone zikivurugika husababisha madhara haya.

👉 Uke Kuwa mkavu sana

👉 Husababisha tatizo la Miscarriage / mimba kuharibika mara kwa mara.

👉 Kutoshika ujauzito

👉 Tarehe za period kubadilika badilika

👉 Kukosa ute wa ovulation

👉 Kupata hedhi zaidi ya mara moja kwa mwezi.

👉 Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa

👉 Husababisha maumivu makali wakati wa hedhi.

👉 Kupata hedhi kidogo sana au nyingi sana

👉 Kutokwa maziwa wakati haunyonyeshi.

👉 Kupitiliza hedhi zaidi mwezi.

📍 Kukosa Hisia Kabisa Ya Tendo La Ndoa Yaani Kukosa Raha Au Utamu Wa Penzi Unafanya Ilimladi Tu Kuridhisha Mume Wako.

10/03/2026

Hizi ni siri na tabia muhimu zinazoweza kukusaidia kuishi bila maambukizi ya fangasi sugu (fungal infections) hasa kwa wanawake. Ukizingatia mambo haya mara nyingi sana unapunguza sana hatari ya kupata fangasi mara kwa mara. 🌿

1. Kutunza usafi wa sehemu za siri
• Osha kwa maji safi kila siku.
• Epuka kutumia sabuni kali au zenye manukato mengi kwenye uke kwa sababu hubadilisha pH ya uke na kuruhusu fangasi kuota.

2. Epuka nguo za ndani zinazobana sana
• Vaa chupi za pamba (cotton) badala ya nylon.
• Nguo zinazobana sana huhifadhi jasho na unyevu ambao fangasi hupenda.

3. Badilisha nguo za ndani mara kwa mara
• Badilisha chupi angalau mara 1–2 kwa siku.
• Usikae na nguo za ndani zilizo na unyevunyevu (k**a baada ya kuoga au kufanya mazoezi).

4. Punguza sukari nyingi kwenye chakula
• Fangasi hupenda sana mazingira yenye sukari nyingi mwilini.
• Epuka soda, p**i nyingi, na vyakula vyenye sukari nyingi.

5. Kunywa maji mengi
• Maji husaidia kusafisha mwili na kuweka mfumo wa kinga (immunity) vizuri.

6. Tibu maambukizi mapema
• Ukiona dalili k**a:
• kuwashwa uke
• uchafu mweupe k**a mtindi
• harufu isiyo ya kawaida
• maumivu wakati wa kukojoa

Nenda hospitali mapema kabla hayajawa fangasi sugu.

7. Epuka kutumia dawa bila ushauri wa daktari
• Matumizi ya mara kwa mara ya antibiotics bila sababu yanaweza kuharibu bakteria wazuri na kusababisha fangasi.

8. Tumia probiotics au vyakula vyenye bakteria wazuri
• K**a:
• mtindi (yoghurt)
• vyakula vya asili vilivyoferment

Husaidia kuweka uwiano wa bakteria mwilini.

9. Hakikisha mwenzi pia anatibiwa k**a kuna maambukizi
• Wakati mwingine fangasi hurudi kwa sababu mwenzi hajapata matibabu.



✅ Ukweli muhimu:
Fangasi sugu mara nyingi hutokea kwa sababu ya:
• kujitibu bila vipimo
• kutomaliza dawa
• kurudia dawa ile ile bila ushauri wa daktari.

10/03/2026

Wengi Wanaoupuuza Tezi Dume Mpaka Inakuwa Kubwa

Alianza kuona dalili ndogo ndogo… kukojoa mara nyingi usiku.Alidhani ni kawaida tu.

Miezi ilivyoenda, kukojoa kukaanza kuwa kwa shida. Wakati mwingine alikaa muda mrefu chooni akisubiri mkojo utoke.

Marafiki zake walimwambia aende hospitali, lakini alijipa moyo akisema:“Bado sio mbaya sana… itaisha yenyewe.”

Kadiri muda ulivyopita hali ikawa mbaya zaidi. Maumivu yakaanza kuongezeka na mwili ukabadilika.

Siku moja aligundua kitu kingine kinachomshtua… alishindwa kabisa kufanya tendo la ndoa k**a zamani. Hapo ndipo alipoanza kupata hofu kubwa.

Alipoenda hospitali ndipo daktari alimwambia ana tatizo la kuvimba kwa tezi dume linalojulikana k**a Benign Prostatic Hyperplasia.

Daktari alimwambia ukweli mgumu:“K**a ungekuja mapema, dawa zingesaidia kudhibiti hali yako. Lakini kwa sasa tezi dume imekuwa kubwa sana.”

Hatimaye ilibidi afanyiwe upasuaji ili kupunguza tatizo.

Ndipo alipojuta sana kwa nini alipuuza dalili za mwanzo.

Ukweli ni kwamba wanaume wengi hupuuza dalili za tezi dume mapema mpaka tatizo linakuwa kubwa zaidi.

Dalili za kuangalia ni k**a:• Kukojoa mara nyingi hasa usiku• Mkojo kutoka kwa shida• Maumivu wakati wa kukojoa• Kujisikia kibofu hakijaisha mkojo

Usipuuze dalili hizi.Afya yako ni muhimu kuliko kuchelewa kutafuta msaada.

Share ujumbe huu ili wanaume wengi wajifunze kabla haijawa too late.
゚viralシfypシ゚

09/03/2026

Fanya haya kuweka maumbile yako sawa

Morning wapambanajiJe huyu niwewe..unaitaji bidhaa Kwa ajili yabiashara yako kutoka kariakoo?Vaitu vya jumlaRastaMadelaV...
17/07/2023

Morning wapambanaji
Je huyu niwewe..unaitaji bidhaa Kwa ajili yabiashara yako kutoka kariakoo?

Vaitu vya jumla
Rasta
Madela
Vifaa vya umeme
Vifaa vya boda boda/bajaji
Dagaa wakukaanga kutoka Mwanza

Bonyeza link kujiunga

https://chat.whatsapp.com/EtomRtIiYV52rUuUmlfDiT

Tupo kwa ajili yakukurahisishia upatikanaji wa mzigo wabiashara yako....

Lakini unaweza kupost bidhaa zako katika platform yetu hii kwa kuongeza wateja

Bonyeza website hii jisajiri na uingize bidhaa zako

http://Nyumbanidigitalstore.co.tz

WSE tupo kwa ajili ya mfanyabiashara

Morning wapambanajiJe huyu niwewe..unaitaji bidhaa Kwa ajili yabiashara yako kutoka kariakoo?Vaitu vya jumlaRastaMadelaV...
17/07/2023

Morning wapambanaji
Je huyu niwewe..unaitaji bidhaa Kwa ajili yabiashara yako kutoka kariakoo?

Vaitu vya jumla
Rasta
Madela
Vifaa vya umeme
Vifaa vya boda boda/bajaji
Dagaa wakukaanga kutoka Mwanza

Bonyeza link kujiunga

https://chat.whatsapp.com/EtomRtIiYV52rUuUmlfDiT

Tupo kwa ajili yakukurahisishia upatikanaji wa mzigo wabiashara yako....

Lakini unaweza kupost bidhaa zako katika platform yetu hii kwa kuongeza wateja

Bonyeza website hii jisajiri na uingize bidhaa zako

http://Nyumbanidigitalstore.co.tz

WSE tupo kwa ajili ya mfanyabiashara

WhatsApp Group Invite

.karibu katika familia ya nyumban digital store utangaze biashara yako Jisajiri...Kisha weka bidhaa zako na maelezo....I...
27/04/2023

.karibu katika familia ya nyumban digital store utangaze biashara yako

Jisajiri...Kisha weka bidhaa zako na maelezo....

Ingia katika Website yetu hapa chini

http://nyumbanidigitalstore.co.tz Habari yako mamii....karibu katika familia ya nyumban digital store utangaze biashara yako

Jisajiri...Kisha weka bidhaa zako na maelezo....

Ingia katika Website yetu hapa chini

http://nyumbanidigitalstore.co.tz

Karibu na ulist biashara yako Leo Bure ..tutakutangazia...tutahakikisha biashara yako inafika mbele

Hakikisha umeweka picha quality..maelezo yakutosha na mawasiliano

Kisha hakikisha umeenda katika category sahihi....

Ukipata changamoto usisite kuniuliza

Kwa mawasiliano watsap 0764176261

Address

Uhuru Street
Mwanza
11

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Centerofpaymenttzz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share