Mastory Club

Mastory Club Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mastory Club, Movie & Music Store, Mwanza.

09/04/2026

Unaipa asilimia ngapi floor ya

26/03/2026

Being Cooked

06/07/2025

Listen to this....👂

06/07/2025

Wooooh....🫡

HOW I MET MY WIFE: ep1(jinsi nilivyokutana na mke wangu)___________________________   This is a story of how i met my wi...
24/06/2025

HOW I MET MY WIFE: ep1
(jinsi nilivyokutana na mke wangu)
___________________________
This is a story of how i met my wife and not merely how i hit the mom and dota. Natanguliza radhi maana udambwi unaweza chelewa kiasi ila you will not be disappointed ukianza.

Baada ya chuo watu wanakuaga na zile resolutions za maisha, how they want to play their game in life. Kwangu mimi nilianza pia kuwaza kujitegemea zaidi, maana i felt like maisha yangu yote yameamuliwa na mama yangu. She chose shule ya kusoma, nini nisome, chuo gani, course gani, nikae wapi, ninunue nini etc, so hata zile papuchi nlizokua nakula chuo niliona ilikua ni kwa sababu ya support ya my mom. Maana she made me live like a king. I wanted change.

So i returned home and started working in a family company, ila ilikua ni kampuni ambayo utaalamu wangu haukutumika sana and kibaya zaidi my twin sister ndo alikua boss wangu. Nikihitaji hela, inabidi nimpigie magoti sis. Nikamwambia mom, i can't do this, nataka niajiriwe mahala pengine.

Baada ya siku tatu mom ananiambia nenda Dodoma ofisi fulani kuna kazi uliyosomea. Nikawa very excited. Kufika Dom bana, naingia that office nikaelekezwa ofisi ya raslimali watu. Kufika reception ya ofisi nikamuona dada mmoja wa makamo, kavaa sketi wanaziita penseli, ingawa ni ndefu ila inachora umbile lake lilivyo, juu amevaa blouse ya light blue. Nikamsalimia shikamoo, akajibu then nikamuomba kuonana na boss wake ananiambia kaa hapo usubiri, mnyamwezi nikakaa yule dada kaingia ofisi ya ndani. Baada ya nusu saa akaingia binti mwingine mfupi amebeba tray lenye thermos, mayai na slices za mkate. Kaniuliza vipi? Namsubiri boss. Mbona yupo ndani? Ndo nikagundua nilibugi stepu.

Nikazama ndani, samahani nyingi na nini. Shida yako? Nikaulizwa, nikajibu. Vyeti na barua ya maombi ya kazi? Dah hata sikua navyo. Boss kaanza kuwaka pale, nyie mnaotegemea vimemo kwangu hampiti, kalete vyeti uviache kwa secretary, kesho interview, na usidhani uko alone uliyeletwa kwa vimemo. Dah mtihani.

Nikasema ngoja nirudi zangu tu home hapa hakuna kazi. Nikiwa naenda stendi nikakumbuka resolutions zangu za kufight alone. Nikasema hata k**a sio pale ila ntatafuta chochote chakufanya hapa Dom. Cha kwanza nikaamua nikaprint vyeti vyangu from my laptop (hiyo kumbuka ni mwaka 2008), then nikavipeleka ofisini. Then what next, nikachukua room moja ya hotel nzuri pale Dom, nia ni kuwa nitafute manzi mzuri ambaye ntapitisha nae siku. Kuna msimamo mmoja ambao mpaka leo ninao, sichukuagi dem tu ilimradi dem, lazima akidhi vigezo vya ubora niliojiwekea, ambao sio wa kitoto ndugu msomaji. So siku hiyo nimezunguka jioni viwanja kadhaa hasa maeneo ya chuo cha mipango ila sikufanikiwa.

Kesho yake kwenye interview kidogo nijikojolee, maana yule HR ambaye baadae nolimfaham jina anaitwa Boss Rona alikua k**a amenikamia mimi, ananiangalia kwa hasira ananiuliza maswali ya ajabu ajabu basi tu nikaona huyu hanipendi. Majibu yametoka tumepita mimi na dada mmoja anaitwa Lyamuya (jina la ukoo ndo mara nyingi tulikua tunalitumia) what a surprise!!!!!!. Badae Boss Rona akatuita kutupa orientation pale, tukatambulishwa kwa regional manager na wafanyakazi wengine, then akaniita pembeni akaniambia"inawezekana uliletwa Dodoma kwa kimemo, ila kwenye interview umepita kwa uwezo wako, i expect you to help the department utakayokuwepo" nikashukuru Mungu.

Hii ofisi ilikua ni ya Uma, ni shirika la serikali so mishahara inachelewa kweli kuanza kuflow kwa waajiriwa wapya. Kwakuwa niliazimia kujitegemea hela aliyonipa Mom nilitafuta gheto nikalipa, na hata mwezi haukuisha ikakata. Mm ni mtu ninayejipenda, always ntavaa vizuri na ntahakikisha nanukia vizuri, so nikajua nikiomba wafanyakazi wenzangu mkopo watajua nawatania kwa jinsi nilivyo. Boss Rona, ndo sikutaka kabisa kumfuata maana najua hanipendi. Nikamfuata boss mkuu, kaniambia nenda kwa HR duh.

Nikagonga kwa heshima pale ofisi kwake, miguu nimeibana, mikono nimeishika pamoja kwa mbele k**a nanawa. Yaani naingia ofisini ni kuanzia magotini kwenda chini tu ndo kunatembea. Bt one thing i know for sure nlikua nimependeza, kuna hivi vi Sweater vilikua fashion kipindi kile vina vimraba vyeupe na vyeusi kwa mbele, nime roll up the sleeves, a Rolex watch, silver necklace, kodrai nyeusi na raba nyeupe, na Mungu kanipa Sura na kimo. Sema mbele ta HR nlikua nakua k**a mtoto. Baada ya salam, nikamweleza shida yangu, nimeishiwa boss, kaniangaliaaaaa, then nikaanza kuona anaingiwa na huruma machoni, nikahisi huyu atakua na mtoto so anapata ile huruma ya mzazi. Akaniuliza, is everything ok at home? Nikamwambia yeah, bt wanajua nina kazi now so nataka wapumzike. Kaniangalia tena k**a dkk nzima, then nikasikia anamuita secretary, muite mhasibu. Basi akanisaidia kupata advance salary na kitu kinaitwa subsistence allowance.

After that nikajibana matumizi sana, nakumbuka ratiba yangu ilikua nikitoka job, uwanjani kucheza basketball, nikirudi napika, naoga, najisomea mambo mbalimbali then nalala. Weekend nacheza na watoto wa majirani pale, mchana naenda kushinda garage flani hivi ya mshikaji tunacheza nae kikapu jioni tizi au kwenye kijiwe cha saluni ya mshikaji then kupika kulala. The lifestyle made me popular, bt no dem. Pale nilipopanga kuna manzi ambaye hajafika vigezo vyangu alionesha wazi ananitaka bt sikutaka mazoea. Ila kuna mshikaji akanitonya demu wa hivyo hachelewi kukutangazia ww shoga au hudindi, dah. So tunafanyaje? Dawa ni mbili, kumla yeye ili kuzuia rumor kabla haijaanza, au tafuta manzi umle na majirani washuhudie, duh.

Option ya kwanza was out of discussion. Ya pili was more appealing, sema itanibidi nishushe kidogo viwango. Huyu mshikaji aliyekua ananipa hizi option kwao wanaduka na ndo nlipokua naenda kupiga nae stori, sasa mdodo wa k**e ni kisu balaa, sema mfupi halafu ndo kamemaliza form four so bado kadenti ila nikasema mbinu ya bro itabidi itumike kwa hakahaka.

Sikuchelewa hata, next day jioni nikaibuka kwao na msela, nikamkuta kavaa kisinglendi chake, bahati nzuri mdogo wake nae alikuepo dukani, basi jamaa katoka tukawa tumekaa kwa nje, baada ya muda nikasubiri muda hakuna mteja nikamwambia mshkaji ngoja ninunue soda tunywe, nikasimama, jamaa katupa mgongo, nikajidai kuagiza pale huku nimechukua peni nikaandika juu ya gazeti lililokua pale kwenye counter ya duka, nlijua nina a window of only few seconds so sikuandika maneno marefu, "kesho saa tisa uje uchukue zawadi yako kwangu" nikahakikisha ameona, nikachukua soda nikakaa.

Kesho ilikua ni public holiday nakumbuka, so nikakaa kusubiri. Tena sikukaa ndani, nje ili hata majirani wakiwa ndani mwao akifika nifanye juu chini walau mmoja wa majirani ashuhudie mgodi ukizama. Bahati ilikua upande wangu, muda manzi anakuja yule mdada anayenitakaga alikua yupo nje, so wala sikuchelewa. Ingia ndani, nikafunga mlango, kugeuka namuona bado kasimama, nukamfata kwa nyuma kumhug, kakajichomoa eti zawadi yangu ilo wapi? Yaani hawa watoto wa shule ndo maana sipendagi, visumbufu balaa. Nikakaambia nilichelewa kununua ntakununulia tukitoka, eti kakataka kuondoka, k**a zawadi hamna basi ntakuja ikiwa tayari.

Nikaona fedheha inaninyemelea maana yule dada akiona manzi katoka baada ya dkk tano si ndo mtaa mzima utaambiwa mm sio rizki. Nikakaambia nlikua nakutania, ile perfume nilikununulia, bahati nzuri haikua imetumika sana ni k**a imejaa,. Kakafurahi, nikaanza tena mautundu. Kana nistopisha, eti kanauliza, nikikutwa na mwanamke wako? Kidogo nikazabe makofi, nikasema hawa watoto wanahitaji nguvu sometimes. Alikua amevaa suruali flani ya jeans. Yaani ndugu wasomaji, ilinichukua almost one hour kumtoa hiyo suruali, ila sikujuta. Ngozi ya yule binti ilikua very soft, yaani unajua ule usoft mbaka unahisi unaeza muumiza ukimpapasa. Ingawa alikua amelala kifudifudi, pichu nyeusi, kitop cheupe ila mkono wangu haukubanduka kwenye nyama laini za tako lake. Waungwana nlikua na ugwadu wa miezi kadhaa, nilivyoona katulia macho kayafumba, mzee nikapenya. Nimeshughurika nako mpaka mida ya saa 12 hivi kakaondoka, perfume hata hakakukumbuka tena.

Kwa kuwa kalikua jirani sikutaka tena. Kalishaserve the purpose. Nikawa naenda kwa msela maramojamoja nikikakuta kananipa shikamoo yangu, naipokea then napiga stori na mchizi.

Stori nikaanza kuzisikia saluni, eti nasikia unang'oa mdogo wake flani, mi nakanusha. Nikaona hapa mtaani nishachoma nyumba natakiwa kuhama (ushauri kwa mabaharia, usiharibu too close to home). Nikaanza kumuomba Boss Rona anipe makazi kwenye nyumba za shirika. Nilijua kule kila nyumba iko independent so ntakua free. Boss ananikazia tu, ooh, nyumba hakuna ingawa taarifa za kiinteligensia zinasema zipo, oooh subiri kuna walio leta maombi kabla yako, ingawa najua hakukua na mtu anayetaka makazi kule kwa wakati huo. Basi tu nikajua boss anaendeleza roho mbaya yake kwangu.

Boss Rona alikua ni wale wamama wanaojitunza, umri wake ni 37 ila ni k**a ana 27, she was not very beautiful bu she was sexy, and she knew it, maana alijua namna ya kuvaa nguo zinazoonesha assets zake, miguu and hips. Alikua pia anavaa miwani kitu kilichofanya aonekane even more sexier kwangu, bt tuliishia kumsifia tu tukiwa na colleagues hakuna ambaye alishathubutu kumnyemelea. Then one day akaniita ofisini, nimefika sioni cha maana anachoniambia, mwishoni akasema nimekupatia house,............ weweeeeeee weraaaaaaa, nilishangilia nikamfuata bila hata kukusudia nikamhug, ooh thanks boss, God bless you nyingi na nini. Badae kasema, why so desparate kuhama ulipo? Basi sipapendi tu, uswahili mwingi, boss akasuggest tukapatembelee makazi mapya nipaone.

Baada ya kazi kanichukua in her Suzuki hao mpaka quarters. I liked the position, ipo mwanzoni kabisa, mgeni anafika kwangu hakuna anayemuona. Basi kanipa keys tukazama, ananionesha pale utaweka kitanda, hapa uweke meza, sasa zile movement zake zikanifanya niwe namchora vizuri. Najua alinotice macho ya kifisi yanamtamani ila hakusema kitu. Baada ya muda kanirudisha hadi mtaani, nikamwambia karibu ndani. Hakupinga wala nini, anajidai kuvua viatu nikamkataza, yeye anasema hajazoea kuingia ndani na viatu akawa katoa kimoja nikafanikiwa kumzuia asivue cha pili, sasa ile kuzuiana tukajikuta tunagusana gusana, nikamsogeza akakaa kitandani, then nikachukua kiatu kingine nikaanza kumvalisha.

Leo alikua kavaa kigauni ambacho kiunoni kinafungwa belt, nilivyokua pale chini namvalisha akawa kanyoosha mguu ili nikiweke vizuri kiatu, sikuishia kuvalisha kiatu mazee, nikaunyanyua zaidi kidogo mguu wa boss Rona nikawa k**a naumassage, mikono ilivyofika kwenye goti nikaizungusha nyuma ya goti nikaweka lips juu ya goti. Mikono ikawa inamove kwenda ndani zaidi, ikilisogeza gauni pia na kutoa nafasi kwa ulimi wangu utembea na paja kwa juu. Nikaona mwenyewe kalala kitandani, nikaendelea na zoezi langu mguu wa pili, then nikaik**ata pichu nikaivuta magotini,(hua ikifikishwa hapa inashuka yenyewe k**a inajua vile, chupi bana), Rona gauni lipo kiunoni, chupi hana, nik**a mwili unanialika, nikatoa shati, nikafuata mate. Wow. Mpaka leo hua nikisikia wimbo wa Rihanna "whats my name" hasa ile intro ya drake, "i had you girl with them soft lips" namkumbuka Rona.

Those lips were sooooo soft and sweet, kidogo nisahau kuna kitumbua kipo wazi huku chini. Yeye ndo alinikumbusha, maana alianza kufungua mkanda na zipu ili amtoe babu. Alivyofanikiwa akaniweka sawa kati kati yake akaishika mashine mwenyewe kataka kuipenyeza, nikajichomoa, nikapiga magoti nikamgeuza. Kuna watu wamekariri goli la kwanza lazima liwe kifo cha mende. Kwa kweli siku hiyo sikutaka scenario yoyote iingilie kati tamanio langu kuu la kuona tako la boss likitingishika wakati napiga machine. Hata Rona mwenyewe alikua k**a surprized hivi, nikamtenga vizuri, kumbuka mimi bado jeans yangu sijatoa na Rona pia gauni bado lipo usawa wa kiuno, chupi imekwama kwenye kiatu cha mguu mmojawapo (yes mpaka sasa hajavua viatu), kifua chini (sio mikono au viwiko) kiuno juu, ...... yah yah yah yah yah yah (in the voice of yule mzungu alicheza picha ya gods must be crazy). I enjoyed. Chapa sana vibao vya matako huku speed ikiwa speed constant. Gauni lile likitaka kushuka zaidi kifuani nalipandisha inakua k**a kata K, or sometimes naliruhusu liyafunike the inakua k**a ni kinguonguo, yah yah, yah, yah. Huyu sasa sikua na haja ya kusubiri majirani wamuone, they heard her.

That was a start of a relationship that took many years a daughter to break. Hiyo siku isingekua anawatoto home, angelala. Yes, Rona ana watoto watatu, mmoja wa ujanani (alimpata akiwa 18y.o) anaitwa Nora yuko Ifakara girls, wapili ana k**a 8 yrs na wa mwisho ana 4 yrs. The husband yuko dar kikazi pia, wanaonanaga kwa mwezi mara moja.

Over the months, Boss Rona alitokea kunipenda sana, yaani hadi ofisini kwenye vikao akawa akitaka kuwakaripia watu, najikuta nakua upande wa anayekaripiwa basi boss anatulia anaishia kusema next time uwe makini Juma. She tried to remain professional, ila i know she was obsessed with me. She wanted me all the time anywhere, nakumbuka oneday yupo kwenye kikao chao cha management, akanitumia msg, i want you now. Mvua kubwa ilikua inanyesha that day, so nje hakukua na movement za watu, nikapitia kwa secretary wake nikamwambia boss amesema unipe funguo za gari yake, then nikachukua mwamvuli hadi kwenye Suzuki,. Parkimg ilikua nyuma ya majengo ya ofisi zetu. Nlivyofika nikamtumia msg, nipo kwenye gari yako njoo now. Akajibu i cant, we are about to discuss important issues kutoka HQ,. Nikamwambia sijali, i want her now. Nikazima simu.

Nikaona kwa mbali mtu anakuja, nikateremsha kabisa suruali, akaingia kanikuta siti ya nyuma nishamsimamishia mashine, hakuchelewa, akaipanda. Mm nacheza na mapaja, na makalio, yeye ananiymnyonya lips huku anakatikia rungu. Huko nje maji ya mvua yanatiririka kwenye vioo. She screamed when she came and stopped, but hakuchomoa. Akawa ananiangalia tu, ananiambia thanks babe. For what? Kaniambia kwa kutimiza fantasies zangu. Zipi? Kajibu kutiwa kwenye mvua k**a hivi, kutiwa huku nasubiriwa nimetoroka kwenye kikao. Nikacheka. Kuna fantasy nyingine imebaki,. Akacheka pia. Akajichomoa kajifuta fasta anataka kutoka. Nikamsgika mkono, nambie your other fantasy, ... oh, babe, nasubiriwa nimewaambia ninaongea na simu emergency. Nikamuacha bt alivyofungua mlango akatoka, akarudisha kichwa kwene gari akanikiss then akasema, my other fantasy ni kutiwa gerage na fundi magari. Then kasepa. She is crazy, or is she?

Ratiba yetu ikawa ni kila weekdays, tukirudi home, anapitia kwanza kwangu. Uzuri na yy aliishi kule kule quarters za shirika na nyumba yake nikiwa sebuleni kwangu naiona kwa nyuma. So weekends akiamuaga akiwa kwake ananipigia nakuja sebuleni then anatoka nyuma ya nyumba yake anajifunua nione chupi aliyovaa, au anacheza kwa kukata mauno (and she knew how) so ilikua burudani tosha.

Jumamosi moja jioni nikanyatia hadi kwake, nakumbuka mumewe alikuepo, nikaenda hadi anapopaki gari yake nikavunya taa ya indicator. Asubuhi nikawa nafanya zangu jogging nikajidai kugonga kwao,. Akatoka dogo, mwambie mama taa ya gari yake imevunjika, ila awe makini na mafundi feki, k**a yuko tayari nimuelekeze fundi mwaminifu. Nikasepa. Later ananipigia nipeleke kwa huyo fundi. Nikamuelekeza tu mtaa, uzuri akapafahamu.

Boss Rona alifika garage ya yule mshikaji wangu tunayepiga nae kikapu. Mm nishampanga mshkaji. Maana jpili hawafungui na ni garage ambayo mbele ina bonge wa geti. Boss anashangaa mm namfungulia geti aingize gari. Nimevaa overroll ya blue ya yule fundi, imechafuka kwa oil chafu, nimejipaka kidogo pia usoni ni kwenye mkifua wangu uliokubali mazoezi. Nikafunga geti, akashuka anauliza, whats this, leo alivaa shati refu la vifungo, sketi ya mpasuo kwa nyuma. Nikaachana nae, nikaenda kwenye gari, nikafungua box la taa, nikachukua taa mpya ambayo nishainunua nikaanza kuifunga. Ananitazama tu. Nilipomaliza nikamwambia, ready to go boss, kuwa makini sana na hizi taa they are expensive. Akauliza, how much pamoja na ufundi? For a sexy woman like you its free.. eti, "jamani fundi, sema sh ngapi", nikamwambia, unless unataka kunilipa kivingine, ila hela yako sichukui. Kivingine k**a? Nikafungua yale mavifungo ya overroll, nikamtoa babu. Like an obedient soldier, akapiga goti chini, kashika mashine kaiweka mdomoni. Hapo mkononi bado na spana, namgusa nayo kwenye matiti,. Alicheza na mic hadi nkawatoa wareno. She was the first woman to swallow my sperms. Akasimama kaniegemeza ukutani, kaanza kunipa denda huku kanishika mashavu.

Nikaona hii mechi ntapoteza uwanja wa nyumbani. Sikumfungua vishikizo ndugu msomaji, nilivichana, then nikamsogeza nkwenyegari yake nikamshikisha bonet. Sketi nayo nikaona inanichelewesha, nikatafuta ule mpasuo nikashika hukunahuku nikairarua mbaka kiunoni, chupi hii apa (mimi na chupi za k**e ni mabest kinoma, hazijawahi niletea kauzibe) nikaivuta tu ikawa k**a nimeivika kwenye tako la kulia, mzee nikamgusisha madini mwenyewe kasimama. Niliamua hii iwe mechi ya fujo, piga k**a naua nyoka. Akaona sasa anaenda kupoteza, akajichomoq then kanisukuma chini, nikawa k**a nimekaa, mgongo nimergemea ukuta then kaja kwa juu (k**a nilivyosema awali pichu za k**e zinanitii, wala haikutoka ilipo), boss kajipimia, hapo overroll nimevaa mguu mmoja tu, sikumbuki hata muda gani nilivua mguu mmoja. She did me good, huku ananiambia maneno yake pale ya kimahaba mwana nik**aliza. Akaniweka kichwa kwenye manyonyo yake, huku chini naona mashine inasimama ikiwa bado ndani, nikamlaza chini sasa kifo cha mende, sikutaka fujo hapa, slowly. But sio juu chini juu chini, hapana, hii movement ilikua chini, mbele, juu, nyuma, chini, kulia, juu, kushoto, juu, mbele....... slowly. Walah, boss Rona machozi yalimtoka. Tulitiana pale over 3hrs. Baadae ndo tunakuja kugundua Rona hana nguo ya kurudi nayo home maana nilichana sketi, nimechana shati. Uzuri alikua na mtandio, huku juu nikampa tshirt yangu safi akavaa. Shida alikua amechafuka oil everywhere, na mbaya zaidi magoti yake yamechubuka yanatoa dam kiasi. Nikasema huyu leo ndoa yakesidhani k**a itapona.

Mazee nimechoka kuandika. Nitaiendeleza baadae kidogo. Walau mabaharia ma mabebez msome a story of how i met my wife....,Itaendelea....!

Credits: JF & KigaKoyo.

Ukistahajabu Ya Dj eXii unatayaona ya walimwengu. Fumanizi hili Guest house IringaTukio hili limetokea leo asubuhi mida ...
20/06/2025

Ukistahajabu Ya Dj eXii unatayaona ya walimwengu.

Fumanizi hili Guest house Iringa

Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.

Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.

Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali k**a unavyoona kwenye picha.

Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.

TAMBARA: THE TOMORROW WAR (2021)_______Genre: Sci-Fi, Action, ThrillerDuration: 138 minutesRating: 6.6/10 (IMDb)Origin: ...
02/04/2025

TAMBARA: THE TOMORROW WAR (2021)
_______
Genre: Sci-Fi, Action, Thriller
Duration: 138 minutes
Rating: 6.6/10 (IMDb)
Origin: USA
Director: Chris McKay
_______

SHORT STORY BEHIND

Ujumbe wa dharua unaifikia Marekani Miami, Florida. Ujumbe unasema,"We are you. 30 years from now We are fighting a war 30 years in the future. The human race is losing. We need you to fight for our survival.", Mwanamama huyo Jenerali anaongeza kwa kusema,"If you think we’re here to ask you to do something for us, you’re wrong. We’re here to ask you to fight. For your lives, for your future."( Yai lipo huko kweli au mpaka nitafsiri tena...!?😂😂)

Maneno haya yalikuwa hatua muhimu ya kuzindua harakati za kijeshi na kutangaza dharura kwa jamii ya sasa ili kushirikiana na vikosi vya kijeshi vilivyosalia kupambana dhidi ya tishio la miaka 30 mbele. Jenerali Sherman, alilazimika kutoa taarifa ya dharura kwa jamii ili kuwaomba msaada kutoka kwa kizazi cha sasa, ambapo watu walilazimika kujiunga na vita hivyo ili kuokoa dunia.

Dan Forster, Mme, Baba na mhadhiri Katika chuo kikuu ndani ya mjii wa Florida. Former US Marines Force anajikuta katika shinikizo la kujumuika kujitolea kwenda vitani. Kwa pamoja familia ikagawanyika Mke(Maggie) na bintiye(violent) wakiamini kujitolea kwake kunaweza kuwa mwanzo wa wao kubaki bila Dan. Hakuna namna maana k**a una mapenzi ya kweli na familia yako utafanya kila kitu kuilinda. Forster anaungana na vikundi vingine vya watu wanaokubali kwenda katika future kukabiliana na jinamizi wasilolijua ambalo hata serikali ilishindwa kuliweka wazi kulinda taharuki na woga kwa wananchi wao.

Uenda magonjwa mengi yako mbele ya muda wetu k**a ilivyokuwa Corona na k**a tungeweza tungewai kuzuia kabla ya yale yaliyotokea. Ila sasa 'White Spikes' ni janga lingine linalotakiwa kushughulikiwa kwa haraka sana. K**a white spikes wakifaniki kudominate maana yake itachukua miezi michache sana wao kutoka 2051, kuja kuangamiza ulimwengu wote wa miaka hii.

Safari ya kwenda katika future inaanza na hitilafu katika mtambo wa kusafirisha unasababisha landing mbaya kwa raia wote wengine wakiangukia katika vyuma na sehemu ngumu na kusababisha kupoteza maisha hata kabla ya operation dhidi ya White Spikes. Dan Forster na rafikiye wa muda mfupi wanafanikiwa kudondokea katika swimming pool na kuwa salama yao. Wakiwa na maraia wengine kadhaa wanaingia mtaani kwa usaidizi wa muongozo kutoka Base ya jeshi lililokuwa likishughulika na janga hilo.

White Spikes si tu kwamba walikuwa ni viumbe wa ajabu ila pia walikua wanajua kupigana vita. Tofauti na viumbe wengine, hawa white Spikes walikuwa na uwezo wa kukushambulia hata kwa umbali wa zaidi ya mita miamoja. Kwa ufupi tu muziki wa hawa viumbe ulikuwa ni next level mazee.

Mission ya awali kabisa ilikuwa ni kuvielekeza vikosi vyote kuelekea ilipokuwa Lab ya kijeshi iliyokuwa inafanya tafiti mbali mbali ili kuweza kupambana na viumbe hao na kilichotakiwa kuchukuliwa kutoka Lab hiyo kupelekwa katika Lab nyingine salama ilikuwa ni ile sampuli ya utafiti ambayo ilikuwa ikiendelea kufanyiwa majaribio.

Malkia wa White Spikes akiongoza jeshi kubwa la Spikes anatoa ishara ya kufatiliwa wakiana Dan baada ya wao kufanikisha kupata sampuli hile japokuwa walikuta Lab imeharibiwa na watu wengi wakiwa wamepoteza maisha. Nje ya Lab na katika korido za ngazi katika jengo hilo wamejaa White Spikes wakiendelea kudumisha Doria 😀.

Nini ilikuwa hatima ya kina Dan..!?, Je Dan aliweza kurudi kuungana na familia yake tena..!?, Iliwezekana kuwamaliza White Spikes wote..!?, Haya yote maswali yatamalizwa kwa kuijipa muda na kuitazama Filamu hii bomba kabisa.

Niandikie Filamu unayopenda tuje na uchambuzi wake ila zingatia Filamu hiyo iwe na kuanzia rate ya 5/10. Kula chuma hicho....!!!



TAMBARA: THE GORGE (2025)▪️ Genre: Action, Sci-Fi, Romance, horror▪️ Date: 2025 (Apple TV+)▪️ Rate: 6.8/10▪️ Parental Gu...
05/03/2025

TAMBARA: THE GORGE (2025)

▪️ Genre: Action, Sci-Fi, Romance, horror
▪️ Date: 2025 (Apple TV+)
▪️ Rate: 6.8/10
▪️ Parental Guidance: R (Restricted)
▪️ Origin: USA
▪️ Time: 2hr/ 7min
---

STORY BEHIND

Katika ulimwengu wa hatari na usiri, watu wawili katika Gorge, Lev na Olivia k**a mawakala wa kijeshi wa siri waliotumwa kufanya operesheni mbalimbali zilizofanikiwa.

Wakati huu walitumwa katika operesheni maalum ndani ya eneo lililojulikana k**a THE GORGE. Kazi yao kuu ilikuwa kuingia ndani ya Gorge na kuzuia kitisho kilichokuwepo humo, ambacho kilihusiana na majaribio ya kijenetiki na maumbile mseto ya viumbe.

Unaweza kujiuliza kwa nini walipewa misheni ya kulinda eneo hilo...!?, Sasa iko hivi:-

Ndani ya The Gorge, binadamu waliokuwa ndani ya kituo hicho walikuwa sehemu ya majaribio ya kisayansi ambayo yalihusisha mchanganyiko wa DNA ya binadamu na viumbe wengine k**a wadudu, wanyama, na mimea. Tafiti hizo zilifanywa na shirika la siri The Order, likiongozwa na Dr. Reynolds (Sigourney Weaver), kwa lengo la kuunda wanadamu walioboreshwa (enhanced humans) wenye uwezo wa kipekee k**a nguvu za wanyama, uwezo wa kujiponya haraka, au akili yenye ufahamu wa hali ya juu.

Hata hivyo, majaribio hayo yalizalisha athari zisizotarajiwa, badala ya wanadamu walioboreshwa, waliishia kuwa viumbe wa kutisha waliopoteza ubinadamu wao. DNA zao zilianza kugeuka na kuingiliana na viumbe wa asili, na mwili wao ukawa k**a wenye “maambukizi” yasiyodhibitika.

Matokeo yake, walipata sifa za wadudu k**a exoskeletons ngumu, uwezo wa kuishi kwenye mazingira magumu, na hata akili ya pamoja (hive mind) inayowaunganisha kwa njia isiyoeleweka.

Hali hii ilisababisha hofu kubwa, kwani baadhi yao walikuwa bado na fahamu za kibinadamu lakini walishindwa kudhibiti mabadiliko yao. The Order walipoona hali inazidi kuwa mbaya, waliamua kufunga kituo na kuhakikisha hakuna anayeweza kutoka nje, wakihofia kuwa “maambukizi” haya yanaweza kuenea na kutishia dunia nzima.

Lakini Ben ama Lev (Miles Teller) na Olivia (Anya Taylor-Joy), wanapojaribu kutoroka kutoka The Gorge baada ya kuona wameshajua Siri iliyowafanya wawepo hapo na hisia zilizokuwa baina yao, pia wanagundua kuwa wao wenyewe huenda wakawa sehemu ya majaribio haya, na kwamba damu yao ina siri inayoweza kuwa suluhisho au janga kubwa zaidi kwa binadamu so wanaamini kabisa hata wao wanatakiwa kufa.

Utamu wa ili dude unaanzia hapa. Kwa nini wafe ilihali walikuwa ni moja ya watu waliotegemewa kutokana na uzoefu, vipaji na uwezo wa hali ya juu waliokuwa nao?.

Walitakiwa kufa kwa makusudi kwa sababu:-
1. Kudhibiti Siri – Serikali haikutaka mtu yeyote kutoka nje akiwa na habari kuhusu uhalisia wa majaribio ya Gorge.

2. Hatari ya Maambukizi – Kulikuwa na uwezekano kwamba yeyote aliyeingia Gorge angeweza kuathirika na majaribio hayo, hivyo kufa kwao kulikuwa njia ya kuzuia kuenea kwa maambukizi au mabadiliko ya kijenetiki.

3. Walihadaiwa – Wakiwa na imani kuwa walikuwa kwenye misheni ya kuokoa, mwishowe waligundua kuwa wao wenyewe walikuwa sehemu ya majaribio na serikali haikuwa na mpango wa kuwaokoa.
_____

SWALI LA KUJIULIZA

K**a The Gorge ilikuwa ni kitisho kikubwa kiasi hicho, kwa nini serikali haikukiteketeza kabisa?.

Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuelezea mantiki ya serikali kuendelea kukihifadhi badala ya kukiharibu:-
i/. Ilikuwa Ni Maabara ya Siri kwa Utafiti wa kijeshi.

ii/. Waliogopa Madhara ya Kuliteketeza

iii/. Walikuwa Wakijaribu Kukidhibiti Badala ya Kukiharibu

iv/. Hili Lilikuwa Siri Nzito – Wasiwasi wa Kisiasa na Kijamii

v/. Kuna Uwezekano Walikuwa Wamepoteza Udhibiti

Kwa kifupi, Gorge lilihifadhiwa kwa sababu lilikuwa sehemu muhimu ya utafiti wa kijeshi, lilihusisha teknolojia hatari isiyoweza kufutika kirahisi, na lilikuwa na madhara makubwa endapo lingeteketezwa. Serikali iliamini kuwa kuendelea kulidhibiti kwa siri ilikuwa chaguo bora kuliko kulifuta moja kwa moja.

Tusimalize uondo eeeh, tafuta hili dude ubless siku yako mazee. Humu ndani kuna mkono mwingi Risasi za mwendo na wamba wa maana. Huyo bi Dada si kinyonge hata kidogo. Yaani hili dude uenda ndo likawa Bora kuliko madude yote ya mpaka mwezi huu.

---

MAIN CHARACTERS

▪️ Miles Teller (Lev)
▪️ Anya Taylor-Joy (Olivia)
▪️ Sigourney Weaver – Mtu mwenye mamlaka anayejua ukweli wa eneo hili.

Kauli mbiu ya filamu hii “They’re not keeping you out. They’re keeping them in.”

TAMBARA: KABZAA (2023)▪️ Genre: Action, Crime, Drama▪️ Date: 17 March 2023▪️ Rate: 6.1/10 IMDb▪️ Origin: India▪️ Time: 2...
03/03/2025

TAMBARA: KABZAA (2023)

▪️ Genre: Action, Crime, Drama
▪️ Date: 17 March 2023
▪️ Rate: 6.1/10 IMDb
▪️ Origin: India
▪️ Time: 2h 16m

SHORT STORY​

Filamu hii inamhusu Arkeshwara, mwanajeshi wa Jeshi la Anga ambaye maisha yake yanabadilika ghafla baada ya baba yake, aliyekuwa mwanaharakati, kuuawa kikatili na magenge yenye nguvu. Mauaji hayo yanamfanya Arkeshwara kuingia katika ulimwengu wa giza, ambapo vita vya madaraka, hila na usaliti vinatawala.

Kadri anavyojizatiti kulipiza kisasi, ndivyo anajikuta akivutwa zaidi ndani ya mfumo wa uhalifu na hatimaye kuwa mmoja wa watu wenye nguvu kubwa katika ulimwengu huo. Lakini safari yake haikuwa rahisi hata kidogo.

Anakabiliwa na maadui wenye nguvu, na usaliti kutoka kwa wale aliokuwa akiwamini, na mzigo wa damu inayomwagika kutokana na matendo yake.

Wakati anapanda hadi kileleni mwa utawala wa giza, Arkeshwara anaanza kupoteza uhalisia wa mtu aliyekuwa hapo awali. Je, ataweza kudhibiti mamlaka aliyoyapata au itakuwa chanzo cha kuanguka kwake? Na je, atapata haki aliyokuwa akiitafuta au ataishia kuwa sehemu ya giza?

MAIN CHARACTERS​

▪️ Upendra - Arkeshwara
▪️ Sudeep
▪️ Shriya Saran
▪️ Murali Sharma
▪️ Dhananjaya

DONDOOSinners ni filamu mpya ya kutisha inayoongozwa na Ryan Coogler, ikimshirikisha Michael B. Jordan katika nafasi kuu...
25/02/2025

DONDOO

Sinners ni filamu mpya ya kutisha inayoongozwa na Ryan Coogler, ikimshirikisha Michael B. Jordan katika nafasi kuu. Filamu hii inatarajiwa kutolewa tarehe 18 Aprili 2025.

SHORT STORY

Katika kipindi cha marufuku ya unywaji wa pombe nchini Marekani (Prohibition era), ndugu mapacha Smoke na Stack (wote wakiigizwa na Michael B. Jordan) wanarejea katika mjini kwao baada ya muda mrefu.

Wanapofika, wanakutana na mfululizo wa matukio ya kutisha yanayohusisha viumbe vya ajabu vinavyowahangaisha wakazi wa mji huo.

Wakiwa na dhamira ya kulinda jamii yao, ndugu hawa wanaamua kukabiliana na hofu zao na kuamua kuuvaa ujasiribwakipambana na nguvu za giza zinazotishia kuangamiza kila kitu wanachokipenda.

MAIN CHARACTERS

Michael B. Jordan k**a Smoke na Stack – Ndugu mapacha wanaorejea nyumbani na kukutana na matukio ya kutisha.

Hailee Steinfeld k**a Mary – Mwanamke mwenye siri nyingi, anayehusishwa na matukio ya ajabu katika mji huo.

Delroy Lindo – Mzee wa mji anayejua historia ya viumbe vinavyosumbua jamii.

Wunmi Mosaku – Mtafiti wa mambo ya kisayansi.

Jack O'Connell – Rafiki wa zamani wa ndugu hao.

Filamu hii inaashiria ushirikiano mara tano kati ya Michael B. Jordan na Ryan Coogler, baada ya kazi zao zilizopita k**a Fruitvale Station, Creed, na Black Panther.

Kwa wale wanaopenda filamu za kutisha zilizojaa hadithi za kusisimua na uigizaji bora, Sinners ni filamu inayosubiriwa kwa hamu kubwa.

Wazee wa kazi mpooo......dubwana hilo March 7 tu 👊




Address

Mwanza
09

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mastory Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mastory Club:

Share