Nodiefy

Nodiefy Nunua Bidhaa mbali za matumizi ya hospitalini na Nyumbani.

14/10/2025

Portable 2 in 1 Vacuum cleaner Blower device
-Inapuliza na kuvuta uchafu
-Ni ya kuchaji
-Inatumia Type C
-Unasafishia kwenye gari, nyumbani na ofisini

Bei: 50,000 Tsh

18/07/2023

Pata stand simu maalum kwa matumizi ya mezani kwa ajili ya kujirekodi video, kujipiga picha na matumizi mengine ya simu ukiwa ofisini, nyumbani au mahali popote. Nzuri kwa Video content creators kwa sababu huitaji mtu akushikie simu ukiwa unajirekodi kwa ajili ya vipindi vya mitandaoni, video za kucheza, au za vichekesho.

- Stand ni Imara
- Inazunguka nyuzi 360°
- Unaweza kuisogeza au kuongeza kimo cha simu yako
- Sio nzito
- Unaweza kuibeba mahali popote

Bei ni 50,000 Tsh

Mikoani tunatuma popote, Mwanza mjini tunafanya free delivery.

Mawasiliano
0719877067
0763877067

Pata selfie stick kali kwa gharama ndogo tu, ni wireless zenye kutumia Bluetooth kwa ajili ya kujipiga picha pamoja na k...
01/07/2023

Pata selfie stick kali kwa gharama ndogo tu, ni wireless zenye kutumia Bluetooth kwa ajili ya kujipiga picha pamoja na kuchukua video.

Bei ni 30,000/= Tsh.
Mwanza mjini tunafanya free delivery.
Tunatuma mzigo popote Tanzania 🇹🇿

Selfie sticks kwa ajili ya Picha na Video. Huna haja ya kuomba mtu akupige picha tena, tumia Selfie sticks za kisasa zen...
28/06/2023

Selfie sticks kwa ajili ya Picha na Video. Huna haja ya kuomba mtu akupige picha tena, tumia Selfie sticks za kisasa zenye Remote yenye kutumia Bluetooth ambayo inafanya kazi hadi mita 10. Inarefuka, kuzunguka na kukunjika, pia ni imara na rahisi kubebeka popote pale.

Pata kifaa cha kupimia wingi wa Oxygen kwenye Damu na cha kupimia kasi ya mzunguko wa damu kwenye mishipa (Pulse-oximete...
10/06/2023

Pata kifaa cha kupimia wingi wa Oxygen kwenye Damu na cha kupimia kasi ya mzunguko wa damu kwenye mishipa (Pulse-oximeter)

✓ Inasaidia kugundua k**a mtu anapungukiwa oxygen kwenye damu kwa wenye shida ya upumuaji
✓ Inawaisha matibabu ya kuongezewa oxygen kwa watu wenye Pumu (Asthma), Pneumonia, na shida nyingine zinazohusu kupumua.
✓ Inasaidia kupima mzunguko wa damu kwenye mishipa (Pulse rate)
✓ Inafaa kwa watu wa mazoezi
✓ Inafaa kwa waogeleaji na wazamiaji
✓ Inafaa kwa watu wenye Asthma ya aina zote
✓ Inafaa kwa watoto wanaokumbwa na pneumonia za mara kwa mara pamoja wenye shida za kupumua
✓ Inatumia betri ndogo

Tunatuma popote pale Tanzania, tutumie ujumbe DM au Maoni kwenye comment section

Pata Vifaa vya kupimia msukumo wa damu (Blood Pressure Machine).✓ Ina kioo angavu chenye Mwanga wa LCD pamoja na Backlit...
10/06/2023

Pata Vifaa vya kupimia msukumo wa damu (Blood Pressure Machine).

✓ Ina kioo angavu chenye Mwanga wa LCD pamoja na Backlit
✓ Ina kifungashio kirefu cha mkono
✓ Inatoa ujumbe wa sauti
✓ Inatumia USB Type C na battery
✓ Inaweza kutumiwa na kutunza kumbukumbu za watu wawili na zaidi
✓ Nzuri kwa matumizi ya hospitalini na Nyumbani.
✓ Wajawazito, Wenye presha ya damu, Kisukari, Figo, magonjwa ya moyo wote wanaweza kutumia.
✓ Wafanya mazoezi na watu wa kawaida wote pia wanaweza kutumia
✓ Unaweza kutumia na kutembea nayo popote pale na kujipima.
✓ Ni rahisi kutumia kwa mtu yeyote yule.

Tucheki Inbox ama andika ujumbe kwenye kisanduku cha maoni hapo chini kwa maswali zaidi.

Tunapokea order na kusafirisha popote pale Tanzania.

The other day, AZAM TV posted the trailer of their new movie that they made for about 6 years. The way the movie was mad...
02/06/2023

The other day, AZAM TV posted the trailer of their new movie that they made for about 6 years. The way the movie was made is that it used the CGI (Computer Generated Imagery) system that is widely used in Hollywood and we have seen it in movies like Superman, Avatar, Avengers and others. This EONII movie is entirely in Swahili but surprisingly it has Robots and Machines like Robots, and its theme is Technology and the appearance is of Tanzania after 2061. It is a very good trailer. I see a big step for the Tanzanian Film Industry.

EONII has too much expectations to improve Tanzania's film industry.

Address

Uhuru Street
Mwanza
33000

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 15:00

Telephone

+255719877067

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nodiefy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share