18/08/2023
Tanzania Football Federation
Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Wallace karia,umebeba dhamana kubwa sana kwenye mpira wetu,,Ni aibu sana tena sana kwenu Shirikisho kuruhusu tukio la jana kwa timu ya Tabora United kuingia uwanjani na wachezaji 8.Kumbukeni hizi timu ndogo zinapambana sana kutafuta wadhamini ili kuwasaidia ,,Na wadhamini wakubwa kwenye ligi yetu wameweka pesa nyingi sana kuipa thamani ligi yetu.Acheni utoto.
Tanzania Kuwa ligi namba Tano Afrika sio kazi ndogo ni kwa hisani ya wadhamini wetu ambao wameipa heshima ligi yetu,,leo hii kamati ya mashindano bodi ya ligi imewadhurumu waziwazi Tabora United haki yao tena kwenye ufunguzi wa mechi ya kwanza ya Ligi.Hivi assume ingekuwa Simba,,Yanga,ndio Wana wachezaji 8 pekee wenye sifa ya kucheza ligi mngekubali mechi ichezwe..!!??
Kuna msimu makolo waligomea mechi kwa kusema tu wachezaji wao wana mafua na mechi haikuchezwa je haki ipo wapi kwa hawa Tabora United.!!Tff acheni kufanya kazi kwa kuwapa nguvu timu kubwa na hizi ndogo mkaona K**a hazina thamani.K**a Kuna bingwa ambaye tayari mshamwandaa mpeni kombe lake mapema kuliko kukumbatia ujinga K**a huu.
Amkeni Viongozi.