sokopoa_

sokopoa_ Tanzania's number one digital Market place

Nunua bidhaa kutoka  kupitia sokopoa.Dona ,sembe na mchele na vingine vingi , swipe left kuona bei.
27/07/2021

Nunua bidhaa kutoka kupitia sokopoa.
Dona ,sembe na mchele na vingine vingi , swipe left kuona bei.

Choose your bibi weapon spice, chagua silaha yako ya mapishi, swipe left kuona aina na bei.Utamu kunoga na bibi spices  ...
13/05/2021

Choose your bibi weapon spice, chagua silaha yako ya mapishi, swipe left kuona aina na bei.
Utamu kunoga na bibi spices
Sokopoa, sokolako

Unga wa Active mama  ni unga mzuri sana wa uji, unafaa kwa watoto na kwa watu wazima swipe left kuona bei Delivery ni 20...
13/05/2021

Unga wa Active mama ni unga mzuri sana wa uji, unafaa kwa watoto na kwa watu wazima swipe left kuona bei

Delivery ni 2000 tu kokote, alafu ukinunua bidhaa zaidi ya sh 30000 delivery bure kabisa.

Mambo yote ni sokopoa,usisubiri kuhadithiwa.
Bofya link kwenye Bio ili kufanya manunuzi

Je,Umefanya manunuzi kwa ajili ya Ramadhan?Nunua kupitia sokopoa ufurahie urahisi wa manunuzi.
13/05/2021

Je,Umefanya manunuzi kwa ajili ya Ramadhan?
Nunua kupitia sokopoa ufurahie urahisi wa manunuzi.

Unahitaji viungo? Soko dogo la kariakoo la viobgo na kariakoo shimoni lipo Sokopoa.Mvua zinanyesha tulia nyumbani, ingia...
13/05/2021

Unahitaji viungo? Soko dogo la kariakoo la viobgo na kariakoo shimoni lipo Sokopoa.
Mvua zinanyesha tulia nyumbani, ingia sokopoa kila kitu kitaletwa hadi mlangoni kwako.
Sokopoa ni soko la wote

Kila siku tunakusogezea bidhaa nzuri kwa ajili yako, kila kitu kiganjani mwako.Rahisi na haraka zaidi na SokopoaSokopoa,...
13/05/2021

Kila siku tunakusogezea bidhaa nzuri kwa ajili yako, kila kitu kiganjani mwako.
Rahisi na haraka zaidi na Sokopoa
Sokopoa,bei poa
Ili kuona bidhaa zingine kwa ajili yako ingia duka kitaa ndani ya Sokopoa.

Feri kiganjani mwako, Unaweza kununua samaki kutoka soko la Feri kupitia Sokopoa.Je,unapenda samaki gani wa baharini?
13/05/2021

Feri kiganjani mwako, Unaweza kununua samaki kutoka soko la Feri kupitia Sokopoa.

Je,unapenda samaki gani wa baharini?

13/05/2021

Hamia Sokopoa, upate unachostahili
Kila kitu kiganjani mwako.

Nunua axion kupitia Sokopoa, Ni usafi tu ,rahisi na haraka zaidi.Bonyeza link kwenye BIO yetu ili kufurahia urahisi wa m...
13/05/2021

Nunua axion kupitia Sokopoa, Ni usafi tu ,rahisi na haraka zaidi.
Bonyeza link kwenye BIO yetu ili kufurahia urahisi wa manunuzi.

ACKSAH lactation products sasa zinapatikana sokopoa, Wana Oats cookies, lactation powder na fenugreek seeds.Tunaendelea ...
13/05/2021

ACKSAH lactation products sasa zinapatikana sokopoa,
Wana Oats cookies, lactation powder na fenugreek seeds.
Tunaendelea kuongeza bidhaa nzuri kwa ajili yako, mambo yote ni Soko Poa.

Ugali lazimaUnga Kilo 5 mzuri sana,dona au sembe Tshs 5000 tu.
13/05/2021

Ugali lazima
Unga Kilo 5 mzuri sana,dona au sembe Tshs 5000 tu.

13/05/2021

Je, umeshindwa kufanya manunuzi au umekosa bidhaa, tutumie message kupitia icon ya WhatsApp ndani ya Sokopoa.
Agents wetu watakupa msaada wa karibu zaidi.

Address

Mwananyamala

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255765960254

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when sokopoa_ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share