31/12/2018
Wale wa mwaka mpya mpooooooo?
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Story Za Sele Masikio, Book shop, Mara, Musoma.
Wale wa mwaka mpya mpooooooo?
MUUZA CHIPSI
(MKE WA KAKA)
Sehemu Ya 27
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
Ilipoishia Jana
Tukija huku kwa kijana chidi, simu yake iliita usiku huo,.. Alishtuka mana alikuwa kaizima sasa kwanini inaita saa tatu yote hii,.. Sasa kumbe simu hio ipo (.AIC.) Automatically Incoming Calls.. Yaani hata k**a imezimwa ikipigwa itaita tu,...
Alipoangalia jina alikuwa ni yule rafiki yake ambae alimpa kazi ya kumtafutia chumba
"oyaa side vp"
"poa niaje chidi"
"fresh tu, vp saa hizi kwema"
"kwema tu,... Asee chidi umelala nini"
"yes nipo home now"
"njoo twenzetu tukaruke kwanja acha kuzingua"
"aaahhh saa hizi"
"yes ndo mida hii... Hata akina zai na rafiki zake wanasepa uko"
"wacha bwana"
"yes k**a vp nije na toyo hapo mtaani"
"haina noma basi we timba basi chapu"
Chidi alitoa laini kwenye simu hio kubwa na kuweka kwenye ile simu ndogo ili hio kubwa isije kupotea,.. Alimaliza kisha akaamka na kufungua mlango,.. Wakati huo kaka yake alikuwa kalala fofofo haswa,.. Chidi akawa yupo hapo nje akimsubiria rafiki yake saidi aje ampitie
Tukija huku kwa akina sarah na mama yake, tuliishia pale sara kaona jina la Baby Boy
"heeeee baby boy?"
Aliingea hivyo kwa sauti ndogo, huku akimwangalia mama yake k**a alikuwa akija au laaa.. Na nia yake ni kufungua chati ya huyo mtu anaeitwa baby boy ni nani, na kwanini amuandike baby boy,... Sarah alibofya lile jina la Baby Boy, na kukuta meseji ya mwisho ilioandikwa hivi
"poa, bye bye bayby wangu"
"poa mamy"
Heeee sasa akatoa macho huku akiwa ndio anapandisha juu ili kuona chati zilizopita....
SONGA NAYO.......
Kiukweli dunia ya sasa hatujui inaelekea wapi, kwasababu zamani hakukuwa na hali ya mtoto mdogo kutembea na mama mtu mzima, kwanza ilikuwa ni laana, but for now imekuwa k**a fashion kuwa na Jimama liliokuzidi umri, lakini hayo yote yameletwa na wamama hao hao, coz mtoto mdogo hawezi kuntongoza mtu mzima hata iweje,.. Jimama lina miaka 40 mpaka 50, we mtoto una miaka yako 18 mpaka 22, ungewezaje kwenda kumtongoza mtu mzima kiasi hicho, hivyo hao hao wamama ndio wanawaanza vijana hao, na bijana hao kwa tamaa zetu tunajikuta tunakubali... Basi hio haina shida, unakuta mama na mtoto wake wanachangia mwanaume mmoja,... Inasikitisha sana ila ndio dunia yetu ya sasa,.. Na mimi katika takwimu zangu za baadae miaka 50 ijayo watu watakuja kutembea na wazazi wao waliowazaa, kwasababu k**a unatembea na rafiki wa mama yako tena wana umri sawa na mama yako, na unamkuna mpaka anakupa pesa, huoni kwamba baadae watu watatoka na Wazazi wao??..
Sasa huku kwa sarah aliokuwa akisoma sms za WhatsApp walizokuwa wakichati mama yake na kijana chidi,
"poa, bye bye bayby wangu"
"poa mamy"
Hizo sms za mwisho zilimchanganya sana sarah na kuhisi labda mama yake anamsaliti baba yake, na vile baba sarah ni mtu wa kusafiri safiri tu kila wakati,.. Sarah akawa anataka kusoma sms za juu, lakini alichelewa na kukutwa na mama yake,
"sarah..."
Sarah alishtuka na kuitupa simu mezani huku akiomba msamaha mana kakutwa akiwa anasoma...
"toka lini ukaanza kushika simu yangu"
"nisamehe mamy,.. Nilikuwa naikagua k**a ni ile simu nilioinunua mchana"
"kwani we huoni kwa macho"
"naona.. Lakini nilikuwa naiangalia Programu zake zilivyo, kumbe ni ile ile tu"
"sasa sikia, ole wako siku nikuone umeshika hii simu, utantambua"
"lakini mama... Huyo Baby Boy ni nani"
Aliuliza sarah bila kukoma wala nini
"si mtoto wa shangazi yako mele"
Mama alimdanganya mana hapo hata akimfokea, lakini keshaona tu, hivyo akawa mpole na kumdanganya kuwa ni mtoto wa shangazi yake mele..
"heeeee ndio umemsevu baby boy"
"mbona hata yeye anajiita baby boy"
"mmmhhh baraka nae ana mashauzi, haya huo ubaby boy kautolea wapi"
"mi najua sasa,."
Basi kwakuwa kulikuwa na ndugu yao ambae ni sharobaro sharobaro ambae anajiita baby boy, basi mzigo wote ulimwangukia yeye,..
Tukija huku kwa akina rehema ambae ni mke wa Ibrahim, aliokuwa tayari keshavaa na walikuwa wakifunga mlango, kana kwamba kuna mahali walikuwa wakienda kwa wakati huo,..
"mmmghh shoisti"
Aliongea jasu kwa kumshangaa rafiki yake rehema kwa nguo alioivaa
"nini jasu"
"yaani umevaa hilo tentemente na chupi tu"
"ndio"
"heeeee, huoni k**a hilo tentemente linaonysha"
"kwani linaonyesha sana"
"sio sana, lakini unavyotikisa shost utafikiri hujavaa chupi yani"
"jasu, mjini hapa... Nikivaa Hijabu nitapata wapi pesa ya kula mimi, na vidume vyenyewe ni vya kuhesabu"
"mmmhhh haya Twende.. Ila shost mlaini mpaka raha yani"
"jasu, unataka ulete tabia ya kule shule si ndio eee"
"baaasi twende, heeee hutaniwi"
Basi jasu na rehema waliita tax na kuipanda,
Tukija huku kwa kijana chidi, aliokuwa yupo nje akimsubiri saidi ili waende wote PIN POINT (Disco)... Ghafla rafiki yake anatokea na pikipiki wakapanda mshkaki, (wawili kwenye pikipiki moja) waliondoka na kuelekea huko kunako Disco, Kijana chidi ndio kwanza anaenda Disco, toka aje jijini Arusha hajawahi kuingia Disco hata siku moja, huwa anayasikiaga tu watu wakisifiana,...
Kwakuwa ni usiku na barabara haikuwa na jamu iliweza kuwazuia watu hao, hivyo walifika mapema mno hapo PIN POINT, walikuta watu wengi hapo nje ila chidi yeye ni kushangaa tu, mana hajawahi kukutana na shamra shamra k**a hizi,..
Vijana wanalipia kiingilio kisha haoo wanaingia ndani,... Kule ndani hakuna cha mwanga wala nini ni mambo ya Disco Light tu,.. Hivyo mkipotezana tu kuonana ni majaliwa, ila saidi alikuwa ni mwenyeji wa vitu hivyo, kwahio yeye alikuwa k**a anaosha macho tu,...
Chidi na saidi walienda pale kaunta na kuagiza kinywaji, chidi yeye aliagiza Redbull huku saidi akiagiza safari, basi wao walikuwa wakiangalia tu watu walivyokuwa wanacheza na hua saidi yeye akilewa huingia kati na luanza kucheza,..
"chidi, mtoto yule, ngoja nikacheze nae"
"kuwa makini side"
Saidi alimka pale kwenye viti vya kaunta kisha akaingia kati na kuanza kucheza na mtoto wa k**e...
ILANI YA WAHALIFU WA KIMTANDAO
TAFADHALI SANA KWA WEWE UNAEKOPI SIMULIZI HII BILA IDHINI YA MMILIKI,... HURUHUSIWI KUIFANYIA CHOCHOTE K**A VILE, KUUZA, KUKOPI, NA VINGINE... HATUA KALI ZITACHUKULIWA, KWA KIFUNGU CHA UKIUKWAJI WA SHERIA ZA MITANDAO,... HAKIKISHA UNA KIBALI MAALUMU CHA KUFANYA HIVYO, LAA SIVYO NI KOSA LA KIMTANDAO KWA KUHUJUMU KAZI ISO YAKWAKO....
NDUGU MSOMAJI, HAKIKISHA ANAEKUUZIA SIMULIZI HII NI MMILIKI HALALI MWENYE NAMBA HII, +255714419487.. Sharbiny Rashidy Kingazi... LAA SIVYO NAWE NI MMOJA KATI YA WAHUJUMU WA KAZI ZA WATU, KATIKA MITANDAO...
WALE WA KUPESTI MITANDAONI HAKIKISHA, UNAPATA IDHINI KUTOKA KWA MMILIKI HUSIKA KWA SIMU NO, +255714419487 WhatsApp
ILI UPATE MAELEZO, VIGEZO, NA MASHARTI YA KUFANYA HIVYO,.. TAFADHALI SANA HATUPO KWA AJILI YA KUINGIZANA PABAYA KISHERIA... TUWE MAKINI NA HILI...
Alivyotoka saidi tu, Pale kaunta, waliingia waschana wawili,.... Kumbe Akina rehema na jasu walikuwa nao wakija huku huku disco,... Heeeeee patamu apo,
"mambo"
Rehema alitoa salamu kwa yule aliomkuta pale kaunta,
"poa"
Aliitikia kijana chidi huku akiendelea kuangalia waliokuwa wakicheza, hasa alikuwa akimwangalia rafiki yake saidi jinsi alivyokuwa akicheza na yule mwanamke,..
"nipatie Castle lager"
Rehema aliagiza kinywaji huku na jasu nae akiagiza chakwake, chidi akiwa na Redbull yake taaratibu kabisa wala hataki papara,... Sasa rehema katika kupewa kile kinywaji kwenye chupa, mana anataka kupiga tarumbeta... Kisude (kifuniko) cha bia ile kikadondoka, ikabidi rehema ainame na kukitafuta, Saa ngapi chidi hajaona chupi iliokuwa ikionekana kwa mbali kupitia gauni alilovaa rehema,.. JAMANI JAMANI, NINYI WANAWAKE MNATUTESAGA ETI HIVI VIGAUNI VYENU VYEPESIIII, AFU WENGINE MNAVIVAA VIKAVUU HUNA HATA KITU NDANI, MNATUTESA SANA NA MNALIJUA HILO, AFU MKITONGOZWA ETI UNA MPENZI, SASA NGUI ZA KUTUTESA HIVYO ZANINI LAKINI NYIE...
Chidi alijikuta anapaliwa na kile kinywaji na kuanza kukohoa kwa kile alichokiona mana ugonjwa wa chidi ni kuona chupi au ngozi adimu k**a paja au na vingine vingi, sasa hapo kaona kinguo, maskini ya mungu chidi wa watu mpaka kapaliwa na kinywaji chake,. Na rehema sio mchezo yaani kajaaliwa na kuvaa hivyo alifanya kusudi, na sio yeye tu ni asilimia kubwa ya wasichana wanavaaga nguo zao kwa kusudi maalum,... Sio kuwa hawajui,
"Koho, koho, koho, koho, koho"
Chidi kukohoa hakumuishi mpaka karibia atapike,.. Rehema alinyanyuka baada kuona kisude hicho, kisha akawa anampa pole kijana chidi,
"pole kaka"
Sasa chidi ni mzuri sana kwa kuangaliana, yaani k**a mwanamke una aibu basi ukiangaliana na chidi, ni lazima ushushe macho yako chini,... Basi chidi akawa anamwangalia sana yule mtoto wa k**e, mpaka rehema akaangalia chini kwa jinsi alivyoangaliwa na chidi,... Chidi aliona hapa nitazua mengine, chidi Aliondoka pale kaunta na kujichanganya kule kati, ila hakuwa na mtu wa kucheza nae hivyo akawa anacheza tu mwenyewe huku akinywa kinywaji chake taaratibu bila mashaka yeyote yale...
Tukija huku kwa Ibrahim ambae ndio alikuwa anazinduka, lakini alishtuka kuona mdogo wake hayupo,.. Alishangaa mno, mpaka akaamka na kuja mpaka huku kwenye kasebule, kana kwamba labda chidi atakuwa anaangalia tv, lakini pia hakumkuta, alipogusa mlango aligundua umefungea, na ukumbuke kuwa kila mtu ana funguo zake hivyo chidi ana zakwake na Ibrahim ana zakwake,...
"aaahhhh huyu mtoto kaenda wapi saa hizi"
Alijiuliza bwana Ibrahim huku akirudi chumbani taratibu...
"au kamrudia yule malaya wake nini"
Alijiuliza maswali mengi huku akipanda kitandani ili kulala... Alipogeuza macho pembeni aliiona ile simu kubwa ambayo lisaa limoja liliopita alimgombeza kuwepo kwa simu hio...
"mtoto mjinga sana huyu, sasa msimu wote huu, wanini sasa, yaani utoto ni ujinga... Afu hii bado mpya kabisa hii, huyu mtoto kanunua lakini ananificha... Mshenzi huyu"
Aliirudishia kwenye chaji yake ambayo sio ya kuchomeka, ni kuiweka tu juu juu k**a kwenye kibakuli hivi lakini sio kibakuli ni chager yake,.... Basi Ibrahim aliendelea kulala zake baada ya kuona ndugu yake atakuwa katoka..
"lakini kweli ninachomfanyia chidi, sio kizuri... Muda wote namfokea bila sababu"
Ibrahim alikuwa akijijutia kwa vile alivyokuwa akifanya kwa mdogo wake chidi...
"lakini sema huyu mtoto nae kazidi sana wacha nimfokee tu pumbavu zake"
Ibrahim alivuta shuka na kujigubika gubi gubi
Tukija huku PIN POINT Disco kwa akina chidi na rafiki yake saidi, tunamkuta chidi akiwa anaendelea kuyarudi mangoma mwenyewe.... Lakini ghafla anapita rehema na kumwambia chidi kuwa
"kumbe huna mtu wa kucheza nae, sasa si ungesema tu"
Aliongea rehema huku akikaa mbele ya chidi tayari kwa kucheza nae,.. Chidi aliona hio ilikuwa bahati ya mtende kwa mtoto mzuri k**a huyo, tena aliokuwa ana umbo la kumvutia kila mwanaume aliostahili kuitwa mwanaume,... Kiukweli rehema alishona haswa maeneo ya huku, yaani k**a ni maandazi basi tungelisema hamila imekolea vuzuri, lakini kwakua ni binaadamu, sijui tusemeje hapo... Mana rehema sijui aliikalia wapi hio hamila,
Chidi aliona ni zali la mentali kucheza mtoto k**a huyo,...
Sasa k**a unavyojua michezo ya disco, kuna kubambiana, na rehema hakuwa na aibu ya kumgusisha chidi wowowo lake,... Sasa mbaya zaidi ni kwamba, hisia za kijana chidi hua zipo karibu sana hivyo kitendo cha kuguswa na kalio la rehema, basi hali yake ilianza kuwa mbaya, na vile rehema alivyo mlaini na zile nguo chache alizovaa... Chidi alitamani kuacha kucheza mana alihisi dada huyo angemkoromea kwasababu anamgusa gusa na Zakaria yake, hivyo akawa anataka kuacha... Lakini kabla hajaacha kucheza rehema aligundua kuwa huyu kijana tayari hisia zake zimeamka,
"we boy, mbona unanigusa na nanii yako"
Aliongea rehema huku akilegeza sauti tena alikuwa kamgeukia kwa mbele wakawa wanaangaliana
"samahani dada angu, naomba tuache"
"mmmhhh afu unaonekana hujapata demu muda mrefu eee, si kweli"
"ndiooo"
Chidi aliitikia huku akidhani kuwa kuitikia huko huenda kukawa bahati nzuri kwake,
"mmmhhh pole mwaya, ila samahani kwa kukuamsha hisia zako"
Rehema aliondoka na kumuacha chidi akiwa kakaa sehemu flani hivi ya giza, alivyoona vimepungua akarudi kati na kuanza kucheza mwenyewe,.. Ghafla kukatokea kada kengine
"boy naomba tucheze"
Chidi sio mchoyo, walianza kucheza huku mtoto wa k**e huyo akiwa kapata moto wa kucheza,..... Saa ngapi rehema hajarudi na kumkuta chidi ana kaschana kengine
"we dada vipi... Unavamia tu wanaume za watu"
"heeee sa mi si nimemkuta hana mtu"
"ishia uko..."
Mmmhhh chidi alishangaa kuona rehema alikuwa akimpigania sana,...
"we boy, mbona unanisaliti tena"
"we si uliondoka"
"no nilienda kuongeza kinywaji tu"
Basi wakaendelea kucheza, lakini safari hii rehema alikuwa akimfanyia chidi makusudi, kwani alikua akiichukuwa mikono ya kijana chidi na kuishikisha kwenye matiti yake huku akimbinulia kwa nyuma,... Kiukweli sijawahi kumsikia chidi akilia kimapenzi, ila hapa namsikia.. Wakati huo Zakaria yake ilikuwa Ndi Ndi Ndi haswa, tena rehema kujua hilo, alizidi kumgusishia na kujirudisha nyuma...
Chidi alipoona kapewa uhuru mpaka kwenye kifua, naye alijiongeza...
Saa ngapi Chidi hajaanza kulipandisha lile gauni la rehema.. Gauni refu ambalo huwa wakitembea wenyewe hulishika hapa mbele na kutuachia tabu huku nyuma...
"we boy, kucheza gani huko jamani"
Chidi alijifanya hasikii, lakini rehema hakuwa akizuia kupandishwa kwa gauni hilo, bali alikuwa akiongea tu
"boiiiiii... Utaniacha uchi mwenzio nina chupi tu"
Itaendelea....... SAFI SANA KWA SAPOTI, ENDELEENI VIVYO HIVYO, ILA USISHEE ZAIDI YA MARA MBILI.. SAMBAZA MARA MOJA TU, KILA MMOJA SHARE MOJA ZIFIKE 200 AU HATA 150 ZINATOSHA... KAZI KWENU
MWENDELEZO WA STORI HII INAPATIKANA WhatsApp Na Facebook, kwa INBOX pekee
KWA NJIA YA Facebook BONYEZA HAPA KISHA TUTUMIE MESEJI
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
AU.... TUCHEKI KUPITIA WhatsApp, NAMBA +255714419487
Utazipata Zote Mpaka Mwisho Kwa Simu No: +255714419487 WhatsApp, Au, Like Page Yetu Ya Facebook Kwa Kubonyeza Hapa Chini ili Usipitwe
www.facebook.com/Chombezo-Media-571095712946246/
tAfBoy {.Tanzania's Frugal Boy..}
AIISSII U KILL ME LEGACY 70
WRITER…………………………………………EDDAZARIA G.MSULWA
WEBSITE………………………………………… www.storyzaeddytz.com
CONTACT……………………………………….. 0657072588/0768516188
AGE……………..18+
ILIPOISHIA
Nikachukua simu na kumtakia usiku mwema Victoria ambaye kwa sasa ana ishi nyumbani kwa bi Jane. Kitendo cha kumaliza mazungumzo haya ya simu, mlango wa chumbani kwangu ukagongwa. Nikanyanyuka hapa kitandani na kutembea kwa hatua za kujiamini hadi mlangoni. Nikafungua mlango huu nikajikuta nikistuka sana mara tu baada ya kukutana uso kwa uso na mama yangu mzazi.
“HALOOOO SON RANDY”
Yemi alizungumza huku akitabasamu kwa dharau jambo lililo nifanya nijaribu kuufunga umlango huu ila Yemi akauzuia na akaingia ndani kinguvu.
ENDELEA
Kitu kilicho nishangaza ni walinzi wote ambao wapo kwenye hii kordo wamshindwaje shindwaje kumzuia Yemi kuingia ndani ya hichi chumba. Nikafunga mlango na kumgeukia Yemi na kumkuta akikaa kwenye moja ya sofa huku akikunja miguu yake nne.
“Ehee nasikia unahitaji kuoa?”
Nikamtazama mama kwa macho makali huku moyo wangu ukiwa na jazba kubwa sana.
“Kaa mimi ni mama yako. Huwezi kunifanya jambo lolote”
“Unahitaji nini?”
“Nijibu swali langu. Je unaoa?”
“Hata nikioa wewe inakuhusu nini?”
“Hahaaa….baba yako ndio amekufundisha ujerusi wa kijinga si ndio”
“Nisikilize Yemi”
“Samahani umeniita nani?”
“Yemi”
“Sio mama tena?”
“Utajijua, sihitaji shida na wewe, sihitaji tabu na wewe na nilisha ondoka kwenye maisha yako ili niepukane na dharau na manyanyaso yako ya kijinga. Samahni sihitaji tabu na wewe nakuomba utoke”
“Hahaaa…..kweli umekuwa. K**a uliondoka kwenye maisha yangu. Rudisha mwili wako tumboni mwangu ili niweze kujua kwamba wewe umekua kidume na umeondoka maishani mwako”
Yemi alizungumza kwa kufoka sana hadi jazba yangu niliyo nayo ikaanza kupungua taratibu moyoni mwangu.
“Niliteseka peke yangu leba nikiwa ninakuzaa kunguni wewe. Baba yako alikuwa busy na wanawake zake na kuendelea kutomb**n** pasipo kujali kuna mwanamke nimembebea ujauzito wake. Nimekusomesha kwa pesa yangu, nimekulisha kwa pesa yangu na umepata hiyo elimu kichwani mwako kwa ajili ya pesa yangu. Leo hii unajikaza kibesi na kuniita Yemi. Wewe nani,una kipi eheee?”
Yemi aliendelea kufoka kwa jazba ambayo nilsha wahi kumuona nayo kwa miaka kadhaa ya nyuma kipindi nilipo kuwa ninaishi chini ya uangalizi wake.
“Yote hayo ni kutokana na baba kumuua mume wako?”
Nilizungumza kwa kujiamini na kumfanya Yemi kunitazama kwa macho yenye hasira kali.
“Baba alikuwa sahihi kutetea penzi lake. Ulimsaliti na kutembea na Donald Bush ukamuacha yeye akiwa katika hatari ya kuuwawa ehee. Ulikuwa ni mwanamke gani usiye shindwa kuibana miguu yako na kutuliza uch*****”
Kabla hata sijamalizia sentensi yangu nikakwepa pochi ya mama aliyo nirushia kwa hasira huku machozi yakimwagika usoni mwake.
“Ninazungumza ukweli. Ulimsaliti baba yangu wewe ni nini ulitarajia kukipata kutoka kwake eheeee?”
“NYAMAAAZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA……………………..!!!”
Yemi alizungumza huku akinyanyuka kwa haraka na kuanza kunifwata sehemu nilipo simama akajaribu kurusha kofi nikaudaka mkono wake wa kulia.
“Mimi ni mama yako na nina haki ya kufanya maamuzi ya maisha yangu pasipo kupangiwa na mtu wa aina yoyote.”
“Hata baba yangu ni mtu naye ana maamuzi ya kufanya hususani kuhakikisha kwamba analinda penzi lake kwa mwanaume anaye mpenda ndio maana ak**akata vipande kwa vipande choko wako Donald Bush na next anakwenda kukumalizia na wewe kwa kukusambaratisha na wapuuzi wako ambao munahitaji kunitumia mimi ili kumuumiza yeye. Umefeli”
Nilizungumza huku nikiwa nimeyang’ata meno yangu kwa hasira sana. Tukatazamana na Yemi k**a dakika tano hivi kisha akatabasamu huku akijifuta machozi yake.
“Hivyo ehee?”
“Ndio na ninaomba utoke ndani ya chumba changu sasa hivi kwa maana heshima ya mama ulisha ipoteza kwangu na kilicho baki kwako ni historia kwamba nilikaa tumboni mwako tu.”
“Hahaaaaa………”
Yemi alicheka kwa dharau huku akiutoa mkono wake kwa nguvu kiganjani mwangu.
“Utanitafuta”
“Ili iweje nikutafute wewe. Ulinikataa na nilisha jizalilisha vya kutosha siku niliyo ondoka ofisini kwako uchi. Hivyo sina cha kukutafuta wewe, labda tu unieleze kaburi la babu yanug mzaa wewe lipo wapi?”
“Huna undugu naye na huna haja ya kufahamu ni wapi alipo baba yangu na koma kumuulizia”
Yemi mara baada ya kumaliza kuzungumza maneno hayo akaokota pochi yake na kuondoka eneo hili huku akiubamiza mlango wa chumba changu kwa nguvu sana. Nikashusha pumzi nyingi sana huku nikiwa siamini k**a nimepata ujasiri wa kuzungumza tena na mama yangu. Nikaufunga mlango wangu kwa ndani, kisha nikachukua simu, nikahitaji kumpigia Dany ila roho yangu ika sita kwani hata dunia iishe leo Yemi atabaki kuwa mama yangu mzazi tu na hakuna kitu kinacho weza kubadilisha jambo hilo. Nikaingia bafuni, nikaoga kisha nikarudi kitandani na kuulazimisha usingizi.
***
K**a ilivyo pangwa ndivyo jinsi mambo yalivyo kwenda. Dany hakuhitaji tufanye sherehee pekee, ila alihitaji tuweze kuirudia ndao yetu na kuifunga katika kanila la KKT, Mbezi beach. Wingi wa waru walio huzuria kanisani hapa hakika kwangu walinishangaza sana. Wazazi wa Victoria walio wasili siku tatu nyuma pamoja na ndugu zake wengine nao ni miongoni mwa watu walio hudhuria kanisani hapa. Ulinzi umeimarishwa kila sehemu na haijalishi k**a hapa ni kanisani ila wapo walinzi walio ingia na silaha zao ili kuhakikisha kwamba hili jambo la sisi kufunga ndoa linakuwa salama salmi.
Nikiwa eneo hili la mbele pamoja na mpambe wangu ambaye sijui ni wapi Dany amemtoa. Nikamshuhudia Victoria akiwa katika vazi moja zuri sana huku pembeni yake aliwa amesimama baba yake na wanaingia kwa mwendo wa taratibu na kuwafanya watu wote hapa kuwatama. Mlio mzuri wa kinanda kinacho pigwa taratibu, ukawasindikiza Victoria na baba yake hadi sehemu hii niliyo simama. Mzee Philemon akanikabaidhi mwanaye nikamshika mkono Victoria na kutembea naye hatua kadhaa hadi eneo la viti vyetu.
“Umependeza mke wangu”
Nilizungumza kwa kukong’oneza na kumfanya Victoria kutabasamu. Mchungaji Ndimbo akaanzisha ibada hii taratibu huku kanisa zima likiwa kimya likimsikiliza. Muda wa kuvishana pete ukawadia, nikatoa pete hizi nilizo pewa na bibi yangu, nikamkabidhi Victoria pete yake kisha nami nikabaki na pete ambayo nitamvisha. Baada ya kula kiapo cha kuishi naye miaka yote ya uhai wangu kwenye shida na raha, taba na maradhi. Nikamvisha pete hii na wato wote wakashangilia kwa furaha. Victoria naye akaapa kiapo hicho huku akinivisha pete hiyo na kufanya watu wote kujawa na furaha. Tukatangazwa kuanzia hivi sasa, ni mke na mume na tutaweza kupeasa busu. Nimasogelea Victoria karibu yangu na kumpiga busu moja zito mdomoni mwake hadi nikamhusi jogoo wangu akifurukuta ndani ya suruali yangu.
Mchungaji akatuita kwenye moja ya meza na kusaidi vyetu vyetu vya ndoa, kisha tukawageukia mashuhuda wetu na kuwaonyesha vyeti hivi na kuwafanya watu wote kusimama na kupiga makofi. Katika kuangaza angaza humu kanisani, nikamuona Yemi kwenye moja ya bechi huku akiwa amevalia miwani kubwa yeusi pamoja na kofia kubwa la duara ambalo limefisha uso wake kwa asilimia kadha.
‘Amekuja hadi huku huyu mwanamke’
Nilizungumza kimoyo moyo huku nikiendelea kumtazama Yemi sehemu alipo kaa. Nikastuka sana mara baada ya kumtazama mwaname wa pembeni yake aliye valia ushingi, kitendo chake cha kuivua miwani aliyo ivaa ndipo nilipo gundua kwamba mwanamke huyo ni Marieta.
“Tumefikia mwisho wa ibada yetu. Na Mungu awabariki muingiapo na mutokapo na mukazae matunda mema. Amen”
Sauti ya mchungaji ikatufanya tumtazame, huku akilini mwangu nikianza kumuwaza Marieta ambaye siku ya mwisho mimi kukutana naye alikuwa ametekwa na Yemi na alinijulisha kwamba ana ujauzioto wangu ambao endapo nitachelewa kufanya lile alilo niagiza kwa kipindi kile kulifanya. Basi Marieta na mwanangu wanakwenda kufa.
Tukaanza kutoka kanisani humu huku watu wa wanapuliza Matarumbeta wakiyapigwa vizuri na kwa shangwe kubwa sana. Nikajaribu kuangaza kila kona ili niweze kumuona hata Yemi ila kwa wingi wa watu sikuweza kumuona mtu yoyote. Tukaingia kwenye gari letu la kifahari tulilo andaliwa na taratibu msafara huu wa magari mengi kuliko hata msafara wa raisi, ukaanza kuondoka eneo hili la kanisani.
“Waoo mume wangu pete hizi ni nzuri jamani”
Victoria alizungumza huku akinionyesha pete yake niliyo mvisha ambayo katika kuitazama vizuri ina majina yetu.
“Yaa niliamua kukufanyia suprize”
“Nashukuru mume wangu. Siamini k**a tumefunga ndao mume wangu. Hivi unajua kwamba harusi yetu inarushwa live(mubashara) kwenye chaneli ya Sky News. Aljazira na BBC”
“Weee sikufahamu hilo?”
“Ndio hivyo mume wangu. Yaani hapa nina jisikia amani na furaha sana mume wangu”
“Kweli”
“Ndio mke wangu nakupenda sana”
Taratibu Victoria akanisogelea na kuanza kuninyonya midomo yangu taratibu. Tukafika kwenye moja ya hoteli moja yenye mandhari mazuri na eneo hili limetengwa kwa ajili ya kupiga picha na kupata mapumziko ya muda mfupi kabla ya kuelekea ukumbini.
Tukashuka kwenye gari letu huku nikimsaidia Victoria kushuka. Wingi wa wapiga picha walio andamana nasi hakika inadhihirisha kwamba harusi hii ni ya kifahari. Tukaanza kupiga picha za kila aina huku ndugu zetu pamoja na wazazi wakijimuika kwa pamoja.
“Hei ulikuwa unashangaa nini pale mbele?”
Dany aliniuliza kwa kuninong’oneza huku naye akiwa amesimaam pembeni yangu, katika moja ya pozi la picha la sisi wawili tu.
“Kuna mtu nilimuona”
“Nani?”
Nikajifikiria kwa sekunde kadhaa huku nikitabasamu nikiwatazama wapiga picha hawa.
“Yemi na Marieta”
“Nini?”
“Ndio Yemi nilimshuhudia kwa macho yangu”
“Pumbavu sana huyu mwanmke, endapo akifanya jambo la ajabu nitahakikisha kwamba nina muua kwa mkono wangu mimi mwenyewe”
Dany alizungumza kwa sauti ya chini sana na kwa msisitizo mkubwa sana huku uso wake ukiwa umejawa na tabasamu.
“Huyo Marieta nani?”
“Nimwanamke aliye baba ujauzito wangu. Ila sijajua k**a amejifungua au laa kwa maana muda wa mwisho nilimshuhudia akiwa ametekwa na Yemi”
“FUC**”
Dany alizungumza kwa jazba kidogo. Tuk**aliza kupiga picha na baba kisha Yemi na ndugu zake wengine wakajumuika nasi katika kupiga picha huku Jojo naye akiwa miongoni mwao. Zoezi hili lilipo isha tukaeleka katika chumba chetu cha kupumzikia.
“Honey mbona baba k**a alikasirika muda ule ulivyo kuwa unapiga naye picha?”
“Kuna mambo kidogo yaliingiliana ila si unajua kwamba ni mtu asiye penda uzembe uzembe.”
“Ahaa, niliogopa nikahisi labla kuna tukio kubwa limetokea?”
“Hapna mke wangu”
Nilizungumza huku nikivua koti langu la suti na kulining’iniza kwenye henga maalumu.
“Ila mume wangu na wewe umependeza kweli kweli”
“Asante mama”
Mlango ukagongwa na nikafungua, Jojo akaingia pamoja na mdogo wake Victoria. Wakatusalimia kwa furaha huku nao wakiwa wamevalia sare yao.
“Randy baba anakuhitaji, sisi tutabaki hapa tukikulindia mkeo”
Jojo alizungumza kwa mfumo wa utani kidogo.
“Sawa yupo wapi?”
“Ukitoka hapo kwenye kordo utamuona”
Nikamuaga Victoria kwa kumbusu, nikafungua mlango na kumkuta Dany pamoja na walinzi wengine wanao endelea kulinda eneo hili. Tukaingia kwenye moja ya chumba na kumkuta Livna akiwa eneo hili.
“Jana Yemi aliingia chumbani kwako kwa nini hukutuambia”
Livna alizungumza huku akinitazama usoni mwangu. Akawasha tv iliyomo humu chumbani na kutunionyesha video ilivyo rekodiwa na cctv kamera, ikimuonyesha Yemi akiingia chumbani kwangu.
“Walinzi hao walikuwa na kazi gani wakashindwa kumzuia kuingia chumbani kwangu?”
Ilibidi nijibu kwa kuuliza swali huku nikimtazama Livna.
Livna akanionyesha video nyingine ya jinsi Yemi alivyo kuwa akijitambulisha kwa mkuu wa walinzi hao huku akimuonyesha picha za mimi na yeye tulizo piga toka nipo mtoto mdogo hadi nina kua na mlinzi huyo hakuwa na kipingamizi na akamuamini Yemi ndio sababu ya yeye kuingia chumbani kwangu kwa njia rahisi sana.
“Hiyo ndio mbinu aliyo itumia kuingia chumbani kwako. Ila kwa nini hukuzungumza?”
“Nimuambie nani sasa. Wewe au Dany? Huyo mlinzi ilibidi aje kuwaeleza nyinyi mabosi wake mulio muajiri ila si mimi kuwaambia”
“Randy sikiliza. Unajua kabisa ni uadui gani ulipo kati yangu mimi na mama yako. Mimi kufafanyia sherehe kubwa k**a hii, nina imani kwamba atafanya tukio lolote baya. Hilo ndio jambo linalo tuumiza sana kichwa kwa wakati k**a huu”
Dany alizungumza kwa sauti ya upole sana huku akinitazama usoni mwangu.
“Yemi hawezi kunidhuru”
“Nini?”
“Hawezi kunidhuru. Yule ni mama yangu mzazi na nimekaa tumboni mwake miezi tisa laiti k**a angehitaji kunidhuru basi angenidhuru nikiwa tumboni mwake”
“Ila umeniambia kwamba amekutekea sijui Marieta gani huko. Je hilo ulioni au unahitaji sasa hivi amteke huyo Victoria wako eheee?”
Swali la Dany likanifanya nikae kimya kwa sekunde kadha, huku nikitafakari kwa maana hili alilo lizungumza Dany lina ukweli ndani yake. Gafla tv ya hii ikabdilisha munekano wa video ya kamera za cctv na kuonyesha video inayo onyesha ukuta tu na kutufanya sote tuweze kuikodolea macho tv hiyo. Tukamuona mtu akiwa amesimama huku akionekana nusu kifua. Taratibu kamera hiyo ikapanda juu hadi usoni na sote tukamuona Yemi akitazamana nasi.
“DANY, bwana harusi RANDY DANY na wewe malaya mzee LIVNA LIVBA, nina imani kwamba muna niona vizuri. Mupo hapo hotelini na mujiandae kwa vifo vyenu kabla hata ya hamjatoka kwenye huo mlango hapo chumbani.”
Maneno ya Yemi yakatufanya tutazamane huku moyoni mwangu nikianza kujawa na wasiwasi na kumfikiria mke wangu aliyepo chumba cha pili, sijui k**a atakuwa salama katika hili.
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU INAYO FWATA YA SIMULIZI HII YA KUSISIMUA. WAALIKE RAFIKI ZAKO WAWEZE KUJIUNGA NA WEBSITE YANGU YA www.storyzaeddytz.com ILI WAWEZE KUSOMA HADITHI HIZI ZA KUSISIM
POWER 70
WRITER…………………………………………EDDAZARIA G.MSULWA
CONTACT………………………………………..0657072588/0768516188
WEBSITE…………………………………………. www.storyzaeddytz.com
ILIPOISHIA
“Ila mkuu Dar kwa sasa sio salama kwa sisi viongozi kwa maana k**a mwezetu mmoja mumeona tukio lililo fanyika na sisi hapa tunajitahidi kuhakikisha kwamba tunawatuliza wafuasi wetu wasifanye fujo huku tukihitaji kujua ni kitu gani serikali inaweza kufanya juu ya mauaji haya”
“Nimewaelewa, ila kwa sasa nipo ndani”
“Upo ndani wapi sijakuelewa mkuu?”
“Hakikisheni kwamba siku ya leo haiishi muwe mume onana na mimi kwani tupo karibu sana kuweza kushinda na kukichangua chama tawala vipande vipande ambavyo itawachukkua miaka zaidi ya mia moja kuweza kukirudisha madarakani.”
ENDELEA
Mgombea uraisi kwa chama pinzani akakaa kimya kwa sekunde kadhaa huku akionekana kutafakari jambo.
“Sawa tumekuelewa mkuu. Tujulishe ni wapi na saa ngapi tuweze kuonana”
“Sawa baada ya muda mfupi nitawatumia location ya wapi tunaweza kukutana”
“Sawa mkuu”
Nikakata simu huku moyo wangu ukiwa umejawa na furaha kubwa sana pamoja na amani kwani dalili za ushindi zinakaribia hivi karibuni. Nikawapigia simu Qeen na Latifa na kuwaita ofisini kwangu.
“Kuna jambo la muhimu sana nahitaji liweze kufanyika kuanzia hivi sasa”
“Jambo gani”
“Nina imani kwamba munaelewa kila kitu kinacho endelea kwenye familia ya baba yangu mkwe pamoja na chama chake tawala muna kifahamu?”
“Ndio mkurugenzi”
“Nimeamua kumsaidia kikamilifu”
Qeen na Latifa wote wakanitazama kwa mshangao kwani ninacho waeleza sicho kile ambacho nimekipanga kwenye mapambano haya.
“Nahitaji wasanii wenye uwashawishi ambao kwa kipindi hichi kifupi kilicho baki wanaweza kurudisha imani kwa baba yangu mkwe”
“Samahani Ethan. Kuna kitu gani kilicho kupata?”
Nikatabasamu kwa maana hawaelewi nini maana yangu. Kutokana ofisi yangu siiamini sana kwa mazungumzo ya siri, kwani kunaweza kuwa na kamera au kinasa sauti kilicho tegeshwa. Nikaona sio jambo jema na la muhimu kwa mimi kufafanua maana yangu ya mimi kuwa hivi."
“Ninaomba muweze kufanya k**a nilivyo waagiza. Wasanii tutawalipa kiasi chochote cha pesa ambacho watakihitaji. Lifanyeni hilo na usiku nahitaji kuonana na wasanii hao hapa ofisini”
Qeen na Latifa wote wawili wakaonekana kuto kuwa na furaha na maamuzi yangu. Nikawaruhusu kwa ishara ya mkono ili waweze kunyanyuka na kuondoka. Japo ni maamuzi ya kuwaumiza Qeen na Latifa ila kwa sasa nina takiwa kuwa makini sana kuhakikisha kwamba mpango wangu nilio kusudia unakwenda k**a vile nilivyo panga. Qeen wakanifahamisha kwamba wamewapata wasanii kumi, sita wakiwa wa muziki na sita wakiwa wa kuigiza. Majira ya saa moja usiku nikakutana nao ofisi hapa huku wakiwa na mameja wao. Nikaanza kuwaeleza mpango madhubuti wa kufanya kazi kubwa sana katika siku chache ili niweze kuhakikisha kwamba mzee Poul Mkumbo anarudi kwenye mfumo mzuri.
“Mkurugenzi ila hili swala linaweza kutufukuzia mashabiki wetu kwa maana hivi sasa mashabiki wengi sana wapo kwenye upande wa chama cha upinzani”
“Hilo nalifahamu, ila kwa mwaka unaingiza kiasi gani?”
“Nani….Mimi?”
Nikatabasamu kwa jinsi msanii huyu anavyo jistukizia.
“Ndio”
“Si chini ya milioni themanini”
“Je tukikupatia milioni mia na stini utalifanikisha hilo?”
Wasanii hawa wakaanza kutazamana na kitu nilicho kifahamu kwa haraka haraka, uchu wa pesa ndio ulio wafanya waanze kutazamana tazamana.
“Zungumza musiogope kuweni huru?”
“Mimi nitafanya”
“Wote mupo kumi, kila mmoja nitamlipa milioni mia mbili. Tuna wiki moja na siku tatu, kabla ya watu hawajaanza kupiga kura. Je mutalifanikisha hilo?”
“Ndio tutalifanikisha”
Wasanii hawa walijibu kwa pamoja huku kila mmoja akiwa amejawa na furaha kubwa sana.
“Sharti namba moja. Muna account zenu za Instergram, Facebook, Snapchat na Twitter. Hizo ndio ninazo hitaji muweze kuzitumia kuanzia muda huu na kuwapa watu taarifa. K**a ulikuwa chama pinzani, futa picha za chama hicho kwenye accout yako kish ingiza picha ambazo ni za chama chako”
“Namba mbili. Kuna mikoa kadhaa ambayo muheshimiwa anakwenda kufanya kampeni zake. Mutazunguka nasi na nina imani kwamba mutapiga shoo za kufa mtu si ndio”
“Hilo halina tatizo mkuu”
“Tatu, sinto penda usnich wenyewe munaita umbea. Ukiwa huna kifua cha kuweka siri. Mlango upo wazi, nyanyuka na toka sasa hivi ofisini kwangu hata kabla sijafanya malipo kwenye accont zenu.”
Wasanii wakatazamana kwa sekunde kadhaa na sikumuona hata mmoja aliye jaribu kusogeza hata kiti chake ili anyanyuke.
“Ukimya nao pia ni jibu kwamba kati yetu hakuna mmbea si ndio”
“Ndio mkurugenzi”
“Qeen niitie muhasibu ila ngoja…..”
Nikanyanyua simu ya mezani kwangu na kumpigia muhasibu wa kampuni yangu, nikamuhitaji afike ofisini kwangu na ndani ya muda mfupi akafika. Nikamuagiza sekretari kuchapisha mikataba ya makubaliano yangu na wasanii hawa juu ya kuzunguka nao katika kuhakikisha kwamba wanakipigia kampeni baba yangu mkwe. Ndani ya muda mfupi mikataba yote ikawa imeisha na kila msanii aliye taja accont namba yake kabla ya kuingiziwa pesa kwenye accont yake, anatia saini karatasi mbili, moja nina baki nayo mimi na nyingine anaondoka naye yeye. Baada ya makubaliano hayo na kila mmoja kudhibitisha kwamba milioni mia mbili zimesoma kwenye simu zake tukasimama kwenye viti vyetu na kuanza kupeana mikono huku wote wakiniomba tuweze kupiga picha za pamoja.
“Jambo moja la mwisho jamani. Nina amni kwenye vipaji vyenu, tufanye hili jambo kwa pamoja na nyote kumi nina imani kwamba mutakuwa ni mabalozi wa kampuni yangu hii ya simu. Endapo tutafanya matangazo basi nyinyi mutakuwa ni wa kwanza kabisa na mutakula shavu kubwa sana kwangu”
“Tunashukuru sana mkurugenzi”
Kikao hichi kikaisha na nikabaki na Qeen pamoja na Latifa ofisini hapa.
“Unajua hadi sasa hivi mkurugenzi sijaelewa ni kitu gani kinacho endelea kwenye Ubongo wako wa akili”
“Ni wapi ninapo weza kumpata Roman?”
Sikulijibu swali la Latifa zaidi ya kuuliza swali langu.
“Roman anapatikana”
“Wasiliani naye, nahitaji kuonana naye leo pamoja na nyinyi. Kisha muniambie ni wapi mupo niwafwate”
“Ila Ethan”
“Shiiiiii Qeen nina waelewa nini munahitaji kuzungumza ila mimi ni Genius. Musiondoe imani kwangu mimi kila jambo lipo katika uangalizi mzuri sawa”
“Sawa baadae”
“Poa”
Nikaanza kuipitia mikataba hii ya wasanii mmoja baada ya mwengine. Nikaanza kupitia account zao na nikaanza kuwaona jinsi wanavyo niweke kwenye accont zao na wengine wakitangaza hadharani kahama cha cha upinzani. Nikampigia mgombea uraisi chama pinzani na kumfahamisha ni wapi tuweze kuonana. Nikatoka ofisini hapa na moja kwa moja nikarudi nyumbani kwa mzee Poul Mkumbo. Nikawakuta baadhi ya viongozi wa chama tawala wakiwa sebleni wakijadili mambo mengi mmoja wapo ni raisi. Nikawasalimia kwa heshima kubwa sana na mzee Mkumbo akanikaribisha kwenye kikao hichi.
“Nilishindwa kukupigia nina imani kwamba kuna idea mpya uliyo kuja nayo”
“Ndio baba mkwe”
Nikaka kwenye moja ya sofa na kutoa kwenye bahasha mikataba niliyo ingia na wasanii hawa. Nikaanza kutandaza mitaba hiyo wa viongozi hawa nane na wakaanza kuipitia.
“Hii ni nini kijana?”
“Hiyo ni mikataba niliyo ingia na wasanini wenye ushahiwishi mkubwa sana kwneye hii nchi. Nimetazama watu wengi katika kampeni zenu ni vijana na wamama. Ili kuweza kuwaweka pamoja hawa watu na wakakiamini tena chama ni vyema nikahakikisha kwamba wasanii wale walio kuwa chama pinzani tunawarudisha kwenye chama tawala na kutokana wana mashabiki wengi nina imani kwamba wale mashabiki lazima watawafwata wasanii wao wanao wapenda”
“Aiissee hili ni bonge la idea. Unajua hawa wasanii ambao tupo nao huku, naona wanakula tu pesa zetu”
Raisi alizungumza huku akitazama mkataba huo.
“Ndio na isitoshe ni kwamba kila msani hapo nimemlipa milioni mia mbili. Baba mkwe hembu ingia kwenye accont yako ya instergram uangalia watu k**a wameongezeka.
“Weee Biyanka”
Mzee Poul Mkumbo aliita.”
“Biyanka”
“Yes Dany”
“Ingia hapo chumbani nichomolee simu yangu kwenye chaji”
Baada ya muda kidogo Biyanka akafika hapa sebleni na simu ya baba yake. Akamkabidhi mzee Poul Mkumbo simu hiyo.
“Ebwana wameongezeka”
Mzee mwengine alizungumza huku akiwa ameishika simu yake mkononi.
“Unajua jana baada ya ile sauti watu walishuka kutoka milioni mbili hadi milioni moja nuka mbili.
“Eheee aisee wamefika milioni nane!!”
Mzee Mkumbo alizungumza huku uso wake ukiwa umejawa na tabasamu pana usoni mwake.
“Hao sasa ni watu waliomo mitandaoni tu. Ila tuna kazi moja, kwa kupitia hawa wasanii, kwenye kila kampeni ambazo tutatembea popote pale ndani ya Tanzania. Basi tutakwenda nao na watatumika kuvuta watu. Hawa wasanii ambao tayari mulish kuwa nao, hakuna haja ya kuwaacha ibabidi nao wawemo kwenye hili swala. Sawa jamani”
“Sawa sawa kijana. Aissee wewe ni Genius”
Mzee mwengine alizungumza huku akitingisha kichwa.
“Ndio maana sikuhitaji mwanangu aje kueloewa na mtu boya boya. Safi sana Ethan”
Mzee Mkumbo alizungumza huku akitabasamu jambo lililo nifanya nitabasamu huku moyoni mwangu nikiiwazia siku ambayo atalia kilio cha kusaga meno.
“Huu mpango wa wasanii kweli una nguvu”
“Hee milioni tisa”
Mzee mkumbo alizungumza huku akiendelea kuishika simu take na meno yote thelathini na mbili yapo nje.
“Jambo jengine ambalo nina lihitaji. Kuongeza nguvu ya matangazo kwenye vyombo vya habrai. Redio, tv, blogs, website za watu. Yaani tuchafue kila sehemu yaani hata mpinzani akifungua simu yake kwenye mtandao wa whatsapp basi anaona sura yako mzee”
Maneno yangu yakawafanya watu wote kucheka saha huku kila mmoja nikiona sura yake jinsi inavyo tawaliwa na furaha pamoja na shangwe kubwa sana.
‘Jamani mutalia na huyu mbwa mwezenu siku’
Nilizungumza kimoyo moyo huku nami uso wangu ukiwa umejawa na kicheko kizuri sana.
“Hiyo kweli. Ethan mkwe wangu hakika mchango wako, sikutarajia k**a unaweza kuwa na nguvu. Yaani hapana unajua watu wazima tulikaa hapa zaidi ya lisaa. Vicha vinauma, dhairi tunaona jinsi chama kinavyo kufa ila kwa hili hapana jamani ni lazima tuchukue nchi tena kwa kishindo kikubwa. Ile wasiwasi sijui nini ni lazima iishe yote”
“Nashukuru sana baba yangu mkwe. Kwenye maswala ya matangazo ya vyombo vya bahari mimi na Biyanka tutayasimamia. Na kitu kingine, ninatahitji tutengeneze video ya historia yako iwe k**a dakika moja au sekunde arobaini na tano hivi. Nina imani kwamba itafaa sana kwenye matangazo yetu.”
“Hilo halina shida. Yaani hivi sasa ni nyinyi tu vijana wangu. Fanyeni kazi yanani sijui niseme nini Mungu wangu”
“Usijali baba, nimejitolea kupambana, yaani hizi siku sijui kumi na mbili sijui ngapi”
“Kumi na tatu”
Biyanka alizungumza huku akinitazama.
“Yale mafuriko ya wapinzani, yatahamia kwenye chama chako. Niaminini”
“Kwahili mimi sina wasiwasi na wewe. Au kuna mtu mwenye wasiwasi na kijana wangu?”
Wazee wote wakajibu kwamba wana niamini. Nikatingisha kichwa nikiamini sasa nina zidi kuwaelekezea kibla mbuzi wangu na ukifika muda wa kuwachinja basi sinto kuwa na huruma na hata mmoja wao.
“Basi ya kuanza kutembelea vyombo vya habari niianze sasa hivi. Usiku huu. Biyanka tugawane wewe utakwenda kwenye vituo kadhaa nami ninakwenda kwenye vitua kadhaa. Hadi inafika asubuhi kila kiitu kiwe kimekwisha na mkutano wako mzee kesho k**a kawaida utaendelee na matangazo yatakuwa ya kumwaga”
“Sawa sawa”
Nikaondoka sebleni hapa na Biyanka akaniomba niweze kipata chakula cha usiku kisha ndio tuianze kazi hii. Tukala kwa pamoja kisha nikabadilisha nguo alizo ninunulia, tukawaaga wazee hawa, huku Biyanka akiwa ameniandikia vitua vya habari ambayo ninatakiwa kuvitembelea usiku huu kisha naye akaniandikia vitua vyake anavyo kwenda kufanya mazunguzo na wamiliki wake.
“Walinzi”
“Hapana, hii kazi tambua tunatakiwa kuifanya kisiri pasipo kuvuja. Tukiambatana na walinzi mama kesho tutakuwa na skendo mpya za kuzitolea majibu, sasa hapo mimi nitashindwa”
“Nimekuelewa mume wangu”
Nikaingia kwenye gari langu aina ya Range rover, huku Biyanka naya akaingia kwenye gari lake la kila mtu akaende sehemu yake anayo ona kwake ni karibu. Nikawapigia simu Qeen na Latifa na kuwaomba sote tukakutane kwenye kisiwa anacho ishi mtoto Clara ambaye ana siri kubwa sana juu ya mzee Poul Mkumbo. Nikaliacha gari langu kwenye moja ya kitua cha habari, sikuingia ndani nikatoka na kukidi pikipiki hadi karibu na fukwe za bahari, nikamlipa mwenye pikipiki. Kabla sijapanda boti ndogo ya siri tuliyo ificha kwenye fukwe hizi. Qeen, Latifa na Roman wakafika eneo hili. Tukapanda kwa pamoja kwenye hii boti na moja kwa moja tukaelekea hadi kwenye kisiwa hichi. Tukafika katika nyumba anayo ishi Clara peke yake, alipo niaona kwa haraka akanikumbatia huku akilia kwa furaha sana. Ndani ya robo saa, helicopter iliyo wabeba viongozi wa upinzani ikafika. Tukawakaribisha ndani kisha nikamuomba Clara aende kwenye chumba chake ili tuweze kufanya mkutano huu wa siri.
“Kila mmoja simu yake aweke mezani”
Niliwaambia viongozi hawa kwa maana siwaamini toka mwenzao alipo hitaji kuniua. Wakatii amri yangu na nikamuomba Roman aiunganishe simu yake kwa kupitia USB waya na Tv na kuiweka video ya mauaji ya mzee yule. Roman akafanya hivyo na baada ya muda mchache sana video hiyo ya mateso na ya kutisha ikaanza kuonekana jambo lililo wafanya watu wote kushangaa unyama na ukatili huu ambao alifanyiwa mwenzao.
ITAENDELEA
USIKOSE SEHEMU INAYO FWATA YA HADITHI HII YA KUSISIMUA. WAALIKE NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZAKO WAWEZA KUJIUNGA NA WEBSITE YANGU www.storyzaeddytz.com NITAZIDI KUENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZETU KADRI SIKU ZINAVYO ZIDI KWENDA. ASANTENI
Mara
Musoma
S-MAN
Be the first to know and let us send you an email when Story Za Sele Masikio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.