25/06/2017
Wale wanaokuja lugoba high school fom five mwaka huu 2017
For New Students sec School you need these
Sare za shule
WASICHANA
-sketi2 za kijan ndefu pita magot mshono wa rinda ya v mbele-
-shati jeupe mikono mirefu2
-Sketi dark blue2 za kutosha ni vazi peke nje ya clas
-tishirt white2 za kuvaa nje ya darasa
-viatu vyeuc vyenye gidam.kicgino kifupi na soksi white
-doti2 za kanga o kitenge na nguo za michzo
-shka2 za rangi1 iwe yoyote ile
WAVULANA
-suruali nyeus zenye marinda2 pande zote
-shart jeupe mikono mirefu2
-$uruali dark blue za kutosha ndo vazi nje ya darasa
-fulana white2 km vazi nje ya darasa
-viatu vyeuc vyenye gidam na soksi nyeuc
-shka 2rangi moja yoyote na nguo za michzo
MAHITAJI YA WOTE
-ada 70000 kwa mwaka
-taaluma 20000
-matibabu 20000
-ukarabat wa samani 20000
-kitambulisho 10000 hulipwa mara1
-nembo za shule 2000
-fulana zenye nembo ya shule2 sh.14000 zinapatikana hp shule
-NMB ac # 21101200009 Elimu ya kujitegemea lugoba sekondari
- mwanafunzi atapokelewa km amelipa jumla 156000 au 121000 Anaosomeshwa na serikali aje na uthibitisho toka kwa mkurugenzi wa wilaya atokayo -wafazili wengne walipie kbs.
-sweta za shule zipo hp kwa 14000 kwa moja
VIFAA VINGNE
Vitabu vya kujsomea.shle vpo ila vichache
Masomo ya science aje na scientific calculator
-rim 1 A4 akabiz ofsin
-ndoo ndgo ya plastic
-sahani kijiko na kikombe vyote vya bati
Simu haziruhusiwi kbs na nguo za nyumban
km kn tatzo uliza no ya shule ni 0787378081 or 0754898202
Kufka ni tar08 mwz wa7 saa 10 jion
K**a ana afya sio nzuri aje na cheti cha daktari