Miss Chuu

Miss Chuu Home decor

11/06/2024

Hellow wateja wang tumefungua mzigo mpya wa slipper🔥✅...Size 36-40 ✅...Slipper ni nzur alf classic ...Rangi ni nyeupe t mikoani tunatuma kwa uwaminifu tunapatikan MOSHI ....Bei ni 13000 t ....Karibuni Mpendeze✅🥰...Watsap 0657344094

Wateja wang wa mashuka tumefungua mashuka mapya🔥...Shuka zetu ni nzuri alf quality, haizpauki wala hazitoi vipele🔥🥰....S...
05/06/2024

Wateja wang wa mashuka tumefungua mashuka mapya🔥...Shuka zetu ni nzuri alf quality, haizpauki wala hazitoi vipele🔥🥰....Shuka zetu ni foronya nne Size 7*8 Bei 30000 jumla tunauza kwanzia pc 5🔥😋....Tunapitkan Moshi mjini mkoani tunatuma kwa gharama za mteja na kwa uwaminifu....
Watsap 0657344093

Hellow watej wang tumefungua mzigo mpya shuka nzuri shuka mbili na foronya nne king size jumla na rejareja piah zipoPoch...
30/03/2023

Hellow watej wang tumefungua mzigo mpya shuka nzuri shuka mbili na foronya nne king size jumla na rejareja piah zipo
Pochi nzuri n zenye quality bei rahisi mnoo
Duvets zenye shuka zake na foronya zake karibuni😋😍🔥

Mzigo mpya wa zulia zuri kubwa 3D 7/8
30/03/2023

Mzigo mpya wa zulia zuri kubwa 3D 7/8

Hellow wateja wang tumefungua mzigo mpya mashuka mazuri kingsize pure cotton shuka mbili foronya nne, duvets zenye shuka...
08/03/2023

Hellow wateja wang tumefungua mzigo mpya mashuka mazuri kingsize pure cotton shuka mbili foronya nne, duvets zenye shuka mbili na foronya mbili, zulia manyoa na 3D nzuri 7/8

Habari wateja wang siku ya leo tumefungua mzigo mpya mashuka shuka mbili na foronya nne, Maduvets yenye shuka mbili na f...
08/03/2023

Habari wateja wang siku ya leo tumefungua mzigo mpya mashuka shuka mbili na foronya nne, Maduvets yenye shuka mbili na foronya mbili, carpets za manyoa 6/6, 3D nzuri 7/8 karibuniii mzigo n wamoto….

Address

Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Miss Chuu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share