Tapeso Co. Ltd

Tapeso Co. Ltd Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tapeso Co. Ltd, Retail Company, P. o. box 22, Mkuranga.

Tapeso Education center (TEC) tumekuweka hapa sample ya uniforms kwa watoto wetu wa chekechea.Unaweza kununua na kumshon...
10/01/2026

Tapeso Education center (TEC) tumekuweka hapa sample ya uniforms kwa watoto wetu wa chekechea.

Unaweza kununua na kumshonea mtoto wako uniform ya shule mwenyewe.

Kwa wasichana uniform yao inakuwa na mikanda miwili yenye mkato wa x kuanzia kiunoni kupitia mgongoni na kushukia kifuani ikikutana na linda linalounga kiunoni kutokea kwenye tumbo.

Bila kusahau huduma zetu bora kabisa za twisheni kwa shule za msingi na secondary ngazi zote.

Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia namba 0768 387 256.
Tunakujali, tunakupa ubora uliotarajia na tupo kwa ajili yako.
Tukutane highway karibu na Best schools and colleges.

04/12/2022
Ahsante Yesu kwa kufa, kuzikwa na kufufuka pamoja na kundi hili. Naomba ulilinde litunze ubatizo huu, zaidi uwe njia ya ...
11/10/2022

Ahsante Yesu kwa kufa, kuzikwa na kufufuka pamoja na kundi hili. Naomba ulilinde litunze ubatizo huu, zaidi uwe njia ya kugeuza nia na mioyo yao. Ahsante mtumishi wa Mungu Rev Vincent Mwita TAG Suguti (Mji wa Makimbilio)

Matthew 24:3.,4.,5.,6.,7.,8.,9.,10.,11.,12.,13.,14.,15.,16.,17.,18.,19.,20.,21.,22.,23.,24.,25.,26.,27.,28.,29.,30.,31.,...
04/09/2022

Matthew 24:3.,4.,5.,6.,7.,8.,9.,10.,11.,12.,13.,14.,15.,16.,17.,18.,19.,20.,21.,22.,23.,24.,25.,26.,27.,28.,29.,30.,31.,32.,33.,34.,35.,36.,37.,38.,39.,40.,41.,42.,43.,44.,45.,46.,47.,48.,49.,50.,51.
3. And as he sat upon the mount of Olives, the disciples came unto him privately, saying, Tell us, when shall these things be? and what shall be the sign of thy coming, and of the end of the world?
Hata alipokuwa ameketi katika mlima wa Mizeituni, wanafunzi wake wakamwendea kwa faragha, wakisema, Tuambie, mambo hayo yatakuwa lini? Nayo ni nini dalili ya kuja kwako, na ya mwisho wa dunia? 4. And Jesus answered and said unto them, Take heed that no man deceive you.
Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye. 5. For many shall come in my name, saying, I am Christ; and shall deceive many.
Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi. 6. And ye shall hear of wars and rumours of wars: see that ye be not troubled: for all these things must come to pass, but the end is not yet.
Nanyi mtasikia habari za vita na matetesi ya vita; angalieni, msitishwe; maana hayo hayana budi kutukia; lakini ule mwisho bado. 7. For nation shall rise against nation, and kingdom against kingdom: and there shall be famines, and pestilences, and earthquakes, in divers places.
Kwa maana taifa litaondoka kupigana na taifa, na ufalme kupigana na ufalme; kutakuwa na njaa, na matetemeko ya nchi mahali mahali. 8. All these are the beginning of sorrows.
Hayo yote ndiyo mwanzo wa utungu. 9. Then shall they deliver you up to be afflicted, and shall kill you: and ye shall be hated of all nations for my name's sake.
Wakati huo watawasaliti ninyi mpate dhiki, nao watawaua; nanyi mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa yote kwa ajili ya jina langu. 10. And then shall many be offended, and shall betray one another, and shall hate one another.
Ndipo wengi watakapojikwaa, nao watasalitiana, na kuchukiana. 11. And many false prophets shall rise, and shall deceive many.
Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. 12. And because iniquity shall abound, the love of many shall wax cold.
Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa. 13. But he that shall endure unto the end, the same shall be saved.
Lakini mwenye kuvumilia hata mwisho, ndiye atakayeokoka. 14. And this gospel of the kingdom shall be preached in all the world for a witness unto all nations; and then shall the end come.
Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja. 15. When ye therefore shall see the abomination of desolation, spoken of by Daniel the prophet, stand in the holy place, (whoso readeth, let him understand:)
Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu), 16. Then let them which be in Judaea flee into the mountains:
ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani; 17. Let him which is on the housetop not come down to take any thing out of his house:
naye aliye juu ya dari asishuke kuvichukua vitu vilivyomo nyumbani mwake; 18. Neither let him which is in the field return back to take his clothes.
wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake. 19. And woe unto them that are with child, and to them that give suck in those days!
Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo! 20. But pray ye that your flight be not in the winter, neither on the sabbath day:
Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato. 21. For then shall be great tribulation, such as was not since the beginning of the world to this time, no, nor ever shall be.
Kwa kuwa wakati huo kutakuwapo dhiki kubwa, ambayo haijatokea namna yake tangu mwanzo wa ulimwengu hata sasa, wala haitakuwapo kamwe. 22. And except those days should be shortened, there should no flesh be saved: but for the elect's sake those days shall be shortened.
Na k**a siku hizo zisingalifupizwa, asingeokoka mtu ye yote; lakini kwa ajili ya wateule zitafupizwa siku hizo. 23. Then if any man shall say unto you, Lo, here is Christ, or there; believe it not.
Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. 24. For there shall arise false Christs, and false prophets, and shall shew great signs and wonders; insomuch that, if it were possible, they shall deceive the very elect.
Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, k**a yamkini, hata walio wateule. 25. Behold, I have told you before.
Tazama, nimekwisha kuwaonya mbele. 26. Wherefore if they shall say unto you, Behold, he is in the desert; go not forth: behold, he is in the secret chambers; believe it not.
Basi wakiwaambia, Yuko jangwani, msitoke; yumo nyumbani, msisadiki. 27. For as the lightning cometh out of the east, and shineth even unto the west; so shall also the coming of the Son of man be.
Kwa maana k**a vile umeme utokavyo mashariki ukaonekana hata magharibi, hivyo ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 28. For wheresoever the carcase is, there will the eagles be gathered together.
Kwa kuwa po pote ulipo mzoga, ndipo watakapokusanyika tai. 29. Immediately after the tribulation of those days shall the sun be darkened, and the moon shall not give her light, and the stars shall fall from heaven, and the powers of the heavens shall be shaken:
Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika; 30. And then shall appear the sign of the Son of man in heaven: and then shall all the tribes of the earth mourn, and they shall see the Son of man coming in the clouds of heaven with power and great glory.
ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi. 31. And he shall send his angels with a great sound of a trumpet, and they shall gather together his elect from the four winds, from one end of heaven to the other.
Naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne, toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu. 32. Now learn a parable of the fig tree; When his branch is yet tender, and putteth forth leaves, ye know that summer is nigh:
Basi kwa mtini jifunzeni mfano; tawi lake likiisha kuchipuka na kuchanua majani, mwatambua ya kuwa wakati wa mavuno u karibu; 33. So likewise ye, when ye shall see all these things, know that it is near, even at the doors.
nanyi kadhalika, myaonapo hayo yote, tambueni ya kuwa yu karibu, milangoni. 34. Verily I say unto you, This generation shall not pass, till all these things be fulfilled.
Amin, nawaambia, Kizazi hiki hakitapita, hata hayo yote yatakapotimia. 35. Heaven and earth shall pass away, but my words shall not pass away.
Mbingu na nchi zitapita; lakini maneno yangu hayatapita kamwe. 36. But of that day and hour knoweth no man, no, not the angels of heaven, but my Father only.
Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake. 37. But as the days of Noe were, so shall also the coming of the Son of man be.
Kwa maana k**a vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 38. For as in the days that were before the flood they were eating and drinking, marrying and giving in marriage, until the day that Noe entered into the ark,
Kwa kuwa k**a vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, 39. And knew not until the flood came, and took them all away; so shall also the coming of the Son of man be.
wasitambue, hata Gharika ikaja, ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu. 40. Then shall two be in the field; the one shall be taken, and the other left.
Wakati ule watu wawili watakuwako kondeni; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa; 41. Two women shall be grinding at the mill; the one shall be taken, and the other left.
wanawake wawili watakuwa wakisaga; mmoja atwaliwa, mmoja aachwa. 42. Watch therefore: for ye know not what hour your Lord doth come.
Kesheni basi; kwa maana hamjui ni siku ipi atakayokuja Bwana wenu. 43. But know this, that if the goodman of the house had known in what watch the thief would come, he would have watched, and would not have suffered his house to be broken up.
Lakini fahamuni neno hili; k**a mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa. 44. Therefore be ye also ready: for in such an hour as ye think not the Son of man cometh.
Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja. 45. Who then is a faithful and wise servant, whom his lord hath made ruler over his household, to give them meat in due season?
Ni nani basi yule mtumwa mwaminifu mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape watu chakula kwa wakati wake? 46. Blessed is that servant, whom his lord when he cometh shall find so doing.
Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo. 47. Verily I say unto you, That he shall make him ruler over all his goods.
Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote. 48. But and if that evil servant shall say in his heart, My lord delayeth his coming;
Lakini mtumwa yule mbaya akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia; 49. And shall begin to smite his fellowservants, and to eat and drink with the drunken;
akaanza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi; 50. The lord of that servant shall come in a day when he looketh not for him, and in an hour that he is not aware of,
bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani, na saa asiyojua, 51. And shall cut him asunder, and appoint him his portion with the hypocrites: there shall be weeping and gnashing of teeth.
atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno.

07/08/2019

Two in One

Address

P. O. Box 22
Mkuranga

Telephone

+255789920999

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tapeso Co. Ltd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tapeso Co. Ltd:

Share

Category