Chindindindi mshauri wa afya

Chindindindi mshauri wa afya Ukurasa huu unahusika na elimu ya afya na kipato

31/10/2018

MWANAUME anaweza KUCHEPUKA na bado akawa na upendo wa dhati kwa MKE wake lakini MWANAMKE hawezi KUCHEPUKA na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati. Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.
Wanawake wengi wanaoenda mahak**ani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwa
namke asiyechepuka hawezi kwenda mahak**ani kudai talaka isipokuwa k**a mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.
Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake;anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.
Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.
Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbuki kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza KUCHEPUKA Utakuwa mwanaume mwenye BAHATI sana endapo hautakufa ndani ya Miaka 10.
B. Tafiti Znaonesha kuwa 95% ya Wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao WAFE haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).
Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.
Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahiaTendo la Ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.
Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi , huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.
Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao. Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.
Pindi mkeo anapoanza kulala na mwanaume/
wanaume wengine ujue kifo chako ki karibu"

17/01/2018

GHARAMA YA MABADILIKO
Hakuna kitu chochote duniani kilichotokea chenyewe bila msukumo wa aina yoyote iwe kisiasa,kiuchumi,kijamii au kiutamaduni lazima kuna nguvu iliyotumika watu walijitoa ili kuhakikisha wanafikia mabadiliko waliyokusudia. Kitu chochote ili kiweze kuhama kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine lazima kuna nguvu imetumika kuhamisha kitu hicho, hivyo unapozungumzia gharama ya mabadiliko maana yake ni kujitoa katika kufanikisha jambo unalokusudia kulifanya kwa ufasaha. Gharama yaweza kuwa nguvu kazi,mtaji,kufuata ushauri wa kitaalamu, kutenga muda wa kutosha katika kufanikisha shughuli unayokusudia kuifanya, waswahili husema “Punda afe mzigo ufike” maana yake ni kwamba jua liwake mvua inyeshe lazima safari ya kutafuta maendeleo itimie.
Maisha sio tukio la ajali, hakuna taifa lolote duniani lililofanikiwa kwa bahati mbaya inachukua miongo mingi kuweza kufikia mafanikio tunayoyaona, mfano mzuri taifa la Marekani unaloliona hivi sasa halikua hivyo miaka mia moja iliyopita kipindi cha akina Abraham Lincoln. Kuna watu waligharamia ujenzi wa taifa hilo na kuweka misingi imara iliyowawezesha kufikia hapo walipo hivi sasa. Hivyo ili uweze kuwa na maendeleo endelevu lazima kwanza ukubali kugharamia maendeleo hayo.
Binadamu alikuja duniani akiwa hana kitu chochote, vyote tuvionavyo ni juhudi za binadamu hao hao katika kuhakikisha wanaendana na mabadiliko yanayojitokeza katika maisha yao ya kila siku katika nyanja zote kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiutamaduni.
Kumfundisha mtu jinsi ya kuvua samaki ndio njia pekee ya kumsaidia mtu huyo kuondokana na maisha ya kuwa tegemezi katika maisha yake yote. Sasa ni wakati ambao unatakiwa ujitambue kuwa wewe ni nani, nini unatakiwa kufanya ili kuweza kuondokana na hali uliyonayo sasa kwenda hatua nyingine itakayo kufanya wewe kuwa chachu ya maendeleo kwa kujitoa kwako.
Wale wote waliotayari kujitoa na kutumia fursa zinazo wazunguka ndio wenye nafasi kubwa ya kufanikiwa katika ulimwengu huu “Umaskini ni idadi ya fursa ulizopoteza na utajiri ni idadi ya fursa ulizo zitumia vema’’ askofu Josephat Gwajima. Mabadiliko makubwa huhitaji msukumo mkubwa kutoka ndani ‘applied force’ kuweza kufikia malengo uliyojiwekea
Ili kupata nakala ya kitabu "Soft Copy" BOFYA HAPA>>>https://simgazeti.dautechnology.co.tz/home/content/2838

19/12/2017

JE, UKO TAYARI KUJITOA(COMMITMENT) KATIKA SHUGHULI UNAYOIFANYA?
Hatuwezi kuwa na Taifa lenye maendeleo k**a hatutakuwa na watu ambao wako tayari kujitoa na kufanya kazi kwa bidii. Unapokuwa na tajiri mmoja katikati ya masikini sita, watahesabika masikini saba. Hii ina maana kuwa Taifa lolote lenye idadi ndogo ya watu wanaofanya kazi kwa bidii na idadi kubwa ya watu ni wavivu(wasiofan
ya kazi) Taifa hilo litahesabika kuwa ni Taifa la watu MASIKINI.

Kila mmoja wetu anatakiwa kufanya kazi kwa bidii katika eneo lake. Kwa mfano Taifa lenye idadi ya watu milioni 40, wanaofanya kazi ni milioni 10 tu! Ambayo ni sawa na 25% ya watu wote katika Taifa hilo. Mungu alimwambia Abraham kuwa "atambariki na atabarikiwa" Abraham hakukaa na kuanza kusubiri ahadi hiyo itimie, badala yake aliendelea kufanya kazi kwa bidii mpaka akawa tajiri. Haijalishi umeahidiwa Nini na Mungu katika maisha yako, k**a huwezi kujitoa na kufanya kazi kwa bidii MAFANIKO UTAYASIKIA KWA JIRANI YAKO.

Huwezi kufanikiwa kwa kuendelea kukaa kwenye vijiwe na kuhadithiana mafanikio ya watu fulani, kutegemea Mali za wazazi(familia) badala ya kufanya kazi itakayo kuingizia kipato halali. Ukifuatilia historia ya Taifa la Korea Ya Kusini na miiko yao katika kazi huwezi kushangaa kuwa walikotoka na kuwa nchi ya 30 katika maendeleo ya viwanda duniani. Korea Ya Kusini 1948 ilikua miongoni mwa nchi masikini. Hii ni baada ya watu wake kuanza kuwajibika na kufanya kazi kwa bidii.
USIKOSE KUSOMA kitabu cha Siri Za Kufanikiwa Katika Ujasiriamali KUPATA KITABU HIKI INGIA HAPA>>> https://simgazeti.dautechnology.co.tz/home/content/2954

WANAWAKE MNAWAUA WAUME ZENU..! Miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko Kubwa Sana la Tatizo la UKOSEFU WA NGUVU ZA K...
05/11/2017

WANAWAKE MNAWAUA WAUME ZENU..!

Miaka ya hivi Karibuni kumekuwa na ongezeko Kubwa Sana la Tatizo la UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME kwa wanaume wengi.

Mwanzo Tatizo hili liliwakuta hasa wanaume wenye umri kuanzia Miaka 50 na zaidi, Lakini Sasa hata vijana WA Miaka 25-40 nao ni waathirika wakubwa.

Mbali na sababu za kiafya (magonjwa) ,vyakula vya kisasa,msongo wa mawazo nk.. Tatizo lingine ambalo wengi tunalisahau ni UVAAJI MBOVU WA WANAWAKE.

Tendo la ndoa linategemea Sana HISIA(msisimko) ambao kwa mwanaume msisimko huu hutegemea Sana KUONA, wakati Mwanamke Yeye ni Mpaka pale ANAPOPAPASWA.

Sasa K**a mwanaume anashinda akiona viuno vya wanawake mbalimbali akiwa anatoka nyumbani kuelekea kazini, anapanda gari anakutana na wadada ambao matiti yao yapo wazi k**a embe zinataka kudondoka mtini, anashuka kwenye gari anaingia ofisini anakutana na secretary ambaye MAPAJA yake Yote yapo nje ,akiinama basi Mpaka Nguo ya ndani inaonekana.

Kwa Hali hii unategemea akirudi nyumbani ATASISIMKA na mkewe? Kwa Lipi hasa maana K**a mapaja kayaona siku nzima, viuno, matiti na sehemu nyeti za kila Aina za wanawake.

Ukichanganya uchovu WA kazini, foleni barabarani na Yale aliyoyaona siku nzima kwa wanawake ambao MIILI IMEFANYIKA KUWA MAONESHO, hataweza kumuhudumia mke wake Vyema K**a akifanya basi ni KUTIMIZA TU WAJIBU maana hamu Yote iliishia njian.

Laiti K**a wanawake wangeifunika vizuri Miili yao, basi naaamini HAMASA ya wanaume kukutana na wake zao INGEONGEZEKA kwa Kiasi kikubwa maana maumbile Ya Mwanamke yangekuwa hadimu kuonekana OVYO isipokuwa pale anaporudi nyumbani.

WANAWAKE, UVAAJI MBOVU MNATENGENEZA WANAUME WENGI MAPOOZA...!

EBU FUNIKENI MIILI YENU.. MUOKOE WAUME ZENU.

Huna sababu ya kutumia pesa nyingi kutibu magonjwa yanayoweza kukingwa na kutibika ukiwa nyumbani kwako.Magonjwa k**a ku...
22/09/2017

Huna sababu ya kutumia pesa nyingi kutibu magonjwa yanayoweza kukingwa na kutibika ukiwa nyumbani kwako.
Magonjwa k**a kuhara, tumbo, minyoo kutibu vidonda vyenye usaha, homa za Mara kwa Mara ikiwa ni pamoja na malaria SOMA HAPA>> https://simgazeti.dautechnology.co.tz/home/content/2954 upate maarifa ya namna ya kuweza kujikinga na maradhi hayo.

Address

Busokelo
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chindindindi mshauri wa afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share