Charting room

Charting room life, relationship, Busness content😊

01/02/2026

Hello wapendwa charting room tumerudi kwa kasi ya 5G😀, Kuanzia sasa tutakua tuna post kila wakati tutakua na mahudhui mbalimbali ya mafunzo, vichekesho na biashara. Tafadhali k**a unapenda vitu vizuri kaa karibu na ukurasa huu

30/07/2023

Hello, new followers 😀 ahsanteni kwa kuendelea ku like page hii.. page hii inajihusisha na uuzaji wa accessories mbalimbali k**a saa,miwani,hellen,Pete,mikanda,wallet,mikoba nk
Tunapatikana mbeya, tunauza kwa bei ya jumla na rejareja Bidhaa zote zitatumwa hapa
Mawasiliano: 0627839500

Couple watch zipo unaeza ku match na rafiki yako au mme, mke pia zinafaa kwa zawadi ni nzuri mno na hazipauki wala kupat...
14/05/2022

Couple watch zipo unaeza ku match na rafiki yako au mme, mke pia zinafaa kwa zawadi ni nzuri mno na hazipauki wala kupata kutu kwa moja ni 35000, zote mbili ni elf 65000/=
Phone no. 0627839500

Saa, karibu inbox kwa maulizo
26/08/2021

Saa, karibu inbox kwa maulizo

Smart watch zipo kwenye bei ya offer karibu ujipatie yako, sifa zake unaweka line, inapiga na kupokea ina support app zo...
23/07/2021

Smart watch zipo kwenye bei ya offer karibu ujipatie yako, sifa zake unaweka line, inapiga na kupokea ina support app zote, 0627839500 karibuni

Karibuni saa hizi ni elf 10 kwa moja lakin pia wale mnaohitaji kwa jumla tunaanzia pc 6 kwa elf 8 tu karibuni. 062783950...
04/07/2021

Karibuni saa hizi ni elf 10 kwa moja lakin pia wale mnaohitaji kwa jumla tunaanzia pc 6 kwa elf 8 tu karibuni. 0627839500 calls and watsapp

04/07/2021
04/07/2021

Karibuni min wallet ni elf10 kwa pc moja wale wa jumla kuanzia pc 6 pia karibu 0627839500 kwa maulizo zaidi

03/07/2021

Ahsanten wote mnaoendelea kufata ukurasa wangu.

Karibuni mnipe oder ya saa nzuri za watoto ,saa moja nni elfu 6000 na ukichukua mbili unapata kwa 5000 karibuni sana, na...
11/06/2021

Karibuni mnipe oder ya saa nzuri za watoto ,saa moja nni elfu 6000 na ukichukua mbili unapata kwa 5000 karibuni sana, namba ya oder ni 0627839500

Dears, karibuni saa hizi ni unsex mwanamke na mwanaume wote wanavaa,bei yake ni elf10,000 kwa moja lakini ukichukua kuan...
01/06/2021

Dears, karibuni saa hizi ni unsex mwanamke na mwanaume wote wanavaa,bei yake ni elf10,000 kwa moja lakini ukichukua kuanzia pc 5 utapata kwa elf8,000 tunapatikana mbeya lakini tunatuma mikoa yote kwa bei nafuu kabisa. karibuni sana

Address

Mbeya

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Charting room posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share