Jafari Mobile Phones And Accessories

Jafari Mobile Phones And Accessories Jafari Mobile phone And Accessories ni suluhisho la mahitaji yako ya simu, pata smart phone na simu ndogo kwa bei nafuu.

Original charger, batteries, earphones, headsets, glass protector, car mp3, car charger, na cover za simu zinapatikana.

Pata MB 100, Sms 10 na Dakika 10 kila ulipiapo Tsh 850 kila siku.
14/01/2024

Pata MB 100, Sms 10 na Dakika 10 kila ulipiapo Tsh 850 kila siku.

Ipi ni chaguo lako, jipatie kwa  mafinga Soko kuu Karibu na Soko la Samaki.
05/04/2021

Ipi ni chaguo lako, jipatie kwa mafinga Soko kuu Karibu na Soko la Samaki.

Ipi ni chaguo lako. Jipatie kwa Jafari Mobile Phones And Accessories. Mafinga Sokoni karibu na Soko la Samaki.
03/04/2021

Ipi ni chaguo lako. Jipatie kwa Jafari Mobile Phones And Accessories. Mafinga Sokoni karibu na Soko la Samaki.

Je unaifahamu Tecno T485. Ni simu ya button yenye betri kubwa, 4,000 Mah, Laini mbili, Bluetooth na inakubali OTG, yenye...
29/03/2021

Je unaifahamu Tecno T485. Ni simu ya button yenye betri kubwa, 4,000 Mah, Laini mbili, Bluetooth na inakubali OTG, yenye uwezo wa kupokea memory card ya 32 GB. Jipatie kwa Jafari Mobile Phones And Accessories uepukane na kuchaji sumu mara kwa mara.

Je unafahamu ubora wa picha inayopigwa na simu yako unatokana na nini...?. Ni mega pixel. Pixel ni viboksi vidogo vidogo...
29/03/2021

Je unafahamu ubora wa picha inayopigwa na simu yako unatokana na nini...?. Ni mega pixel. Pixel ni viboksi vidogo vidogo vinavyounda picha yako. Na mega pixel ni viboksi milioni moja katika inchi moja. Ubora wa picha hutegemea wingi wa viboksi hivyo. Karibu ujipatie kwa Jafari Mobile Phones And Accessories Tecno camon 16 yenye Megapixel 48 ufurahie ulimwengu wa picha.

Mfurahishe malkia wako wa nguvu kwa kimoja kutoka kwa Jafari Mobile Phones And Accessories. Sambaza upendo
08/03/2021

Mfurahishe malkia wako wa nguvu kwa kimoja kutoka kwa Jafari Mobile Phones And Accessories. Sambaza upendo

Kitu Cha Samsung A10s jipatie kwa Jafari Mobile Phones And Accessories mafinga sokoni karibu na Soko la Samaki.
05/03/2021

Kitu Cha Samsung A10s jipatie kwa Jafari Mobile Phones And Accessories mafinga sokoni karibu na Soko la Samaki.

Umewahi kuona simu ndogo saizi ya kidole gumba chako. Pia unaweza weka sikioni K**a Bluetooth headset. Usikubali kupitwa...
02/03/2021

Umewahi kuona simu ndogo saizi ya kidole gumba chako. Pia unaweza weka sikioni K**a Bluetooth headset. Usikubali kupitwa na toleo hili karibu kwa Jafari Mobile Phones And Accessories ujipatie.

Je ungependa umiliki simu ya aina gani mwisho wa mwezi huu, Jibu lako achia kwenye comment hapo chini.
01/03/2021

Je ungependa umiliki simu ya aina gani mwisho wa mwezi huu, Jibu lako achia kwenye comment hapo chini.

Bluetooth Headset, simu ya mezani na iPhone charger.
28/02/2021

Bluetooth Headset, simu ya mezani na iPhone charger.

Ipi ni chaguo lako, utaipata kwa Jafari mafinga sokoni.
28/02/2021

Ipi ni chaguo lako, utaipata kwa Jafari mafinga sokoni.

Jipatie infinix hot 10 lite kwa bei nafuu, tupo mafinga Soko kuu Karibu na Soko la samaki. Ulizia kwa Jafari.
28/02/2021

Jipatie infinix hot 10 lite kwa bei nafuu, tupo mafinga Soko kuu Karibu na Soko la samaki. Ulizia kwa Jafari.

Address

Mafinga Soko Kuu, Karibu Na Soko La Samaki
Mafinga

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:15
Tuesday 08:00 - 18:15
Wednesday 08:00 - 18:15
Thursday 08:00 - 18:15
Friday 08:00 - 18:15
Saturday 08:00 - 18:15
Sunday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jafari Mobile Phones And Accessories posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share