Nii-herbs

Nii-herbs Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nii-herbs, Kinondoni.

24/04/2025

NII HERBS

KWA  WALE WATU WENYE  MAWAZO(STRESS) WASIWASI(ANXIETY)  NA HUZUNI(DEPRESSION) PANDA LEMON  BALMNi mmea tiba wenye  haruf...
25/11/2018

KWA WALE WATU WENYE MAWAZO(STRESS) WASIWASI(ANXIETY) NA HUZUNI(DEPRESSION)

PANDA LEMON BALM
Ni mmea tiba wenye harufu nzurii na faida nyingi

-Inasaidia kukutolea mawazo,huzuni na wasiwasi
-inasaidia usagaji wa chakula mwilini
-Ni tiba nzuri ya heart burm
-inatibu vidonda
-Inatibu vipere vinavyozunguka mdomo

Tunauza miche,mche mmoja ni sh 5,000/=
Ukinunua mitano ni sh 20,000/=

Tunatuma mikoa yote plz call/sms/watsapp 0679888961
0764837358

Matumizi,

CHEMSHA MAJANI THEN KUNYWA K**A CHAI
MAJI YALIYOCHEMSHWA NA LEMON BALM YATUMIWE KWENYE KUOGA INASAIDIA KUTOA STRESS
KUWEKA MAJANI KWENYE MBOGA AU UJI NK

ANZA KUTUMIA Agora black castor oil SababuKWENYE NYWELE/NDEVU--Yanakuza nywele-Yanafanya nywele kuwa nyeusi-Yanaondoa ki...
25/11/2018

ANZA KUTUMIA Agora black castor oil
Sababu

KWENYE NYWELE/NDEVU
-
-Yanakuza nywele
-Yanafanya nywele kuwa nyeusi
-Yanaondoa kipara
-Yanafanya nywele kuwa shine na laini
-Yanafanya ndevu ziote vyema na ziwe laini

KWENYE NGOZI
-Yanasababisha ngozi isizeeke mepema(Ant-aging)
-Yanaondoa mabaka
-Yanaondoa chunusi

KWENYE LIPS

-Yanatibu lips zilizobabuka na kukauka

KWENYE KOPE/NYUSI
-Yanarefusha cope na kukuza nyusi

Karibu bei ni sh 10,000/= Kwa mls 200
sh 30.000/= kwa lita moja mls 1000/=

Tunapatikana uyole ya kati(Mbeya )
tuna agent5,songea,iringa,Tanga,

IRINGA-(0762521470)
MBEYA-(0764837358/0679888961)
TANGA/DAR ES SALAAM-0676230221

Please sms/whatsapp 0679888961 au sms/piga 0764837358

PANDA MIMEA TIBA K**AMAUA ,,-PEPPERMINT(aina mojawapo ya Mnana) Ukienda kwenye masoko yote ya mboga za kizungu na za kih...
25/11/2018

PANDA MIMEA TIBA K**A
MAUA ,,

-PEPPERMINT(aina mojawapo ya Mnana)

Ukienda kwenye masoko yote ya mboga za kizungu na za kihindi lazima utakuta huu mmea,na vipiece vitano au vinne zinauzwa elfu moja

Faida za peppermint kwa afya

--Inasaidia kutibu harufu mbaya ya mdomo
-Inasaidia kutibu TB
-Inasaidia kurejesha kumbukumbu,
-Inasaidia kutibu mafua na vikoozi kwa mara kwa mara
-Inasaidia kutoa gas tumboni na maumivu aina yoyote ya tumbo
-Inasaidia kupingana na magonjwa yote ya bacteria,
-Inasaidia Mmengenyo wa chakula na hii inasidia zaidi kupunguza uzito
-Inasaidia kutibu maumivu wakati wa hedhii
-Inasaidia kupunguza mawazo (mawazo ni ugonjwa pia)

Ina kazi nyingi sana

Jinsi ya kutumia
-tumia majani k**a majani ya chai .
-pia unaweka majani kidogo kwenye maji ya kunywa.
-Tumia k**a kiungo kwenye mboga au soup

Jinsi ya kupanda tutakutumia video ila panda kwenye dishi au beseni kubwa kwa sababu inakaa kwa miaka mitatu,na inajaa eneo lote la chombo kitakachotumika

Turudi asili ndio Dunia iliko mche mmoja ni sh 5000,ambao utautumia kwa miaka 3.

Mawasiliano

0679888961(watsapp)
0764837358

herbs zingine ambazo tunazo
-chamomile(piece 100 elfu tano)
-oregano
-basil
-lemon balm
-rosemary
-lavendres

PANDA MIMEA TIBA K**AMAUA ,,-PEPPERMINT(aina mojawapo ya Mnana) Ukienda kwenye masoko yote ya mboga za kizungu na za kih...
26/09/2018

PANDA MIMEA TIBA K**A
MAUA ,,

-PEPPERMINT(aina mojawapo ya Mnana)

Ukienda kwenye masoko yote ya mboga za kizungu na za kihindi lazima utakuta huu mmea,na vipiece vitano au vinne zinauzwa elfu moja

Faida za peppermint kwa afya

-Inasaidia kutibu TB
-Inasaidia kurejesha kumbukumbu,
-Inasaidia kutibu mafua na vikoozi kwa mara kwa mara
-Inasaidia kutoa gas tumboni na maumivu aina yoyote ya tumbo
-Inasaidia kupingana na magonjwa yote ya bacteria,
-Inasaidia kutibu harufu mbaya ya mdomo

18/08/2018

-chamomile
-oregano
-basil
-lemon balm
-rosemary

Tunauza mimea tiba mbalimbali1.Peppermint(aina mojawapo ya mnana)Mche sh 5000)=
17/08/2018

Tunauza mimea tiba mbalimbali
1.Peppermint(aina mojawapo ya mnana)
Mche sh 5000)=

OREGANOHii herb inatumika zaidi hasa kwa nchi k**a italy kwa zaidi ya miaka 1000ukiachana na uwezo wake wakutibu magonjw...
26/06/2018

OREGANO

Hii herb inatumika zaidi hasa kwa nchi k**a italy kwa zaidi ya miaka 1000
ukiachana na uwezo wake wakutibu magonjwa ya mengi sana pia inaongeza radha kwenye vyakula mbalimbali

A) FAIDA YA ZA KIAFYA ZA HUU MMEA

GRAM MOJA YA OREGENO INA ANT-OXIDANT NYINGI K**A UMEKULA APPLE MOJA,KUMBUKA KWA SIKU UKILA APPLE MOJA UTAMSAHAU DAKITARI ,VIPI SASA UKITUMIA GRAM MOJA YA HUU MMEA KWA SIKU????

TAFITI ZAIDI YA 800 ZILIZOFANYIKA KAKUOROZESHWA KWENYE
(PUBMED) ZIMEONYESHA NA KUTHIBITISHA MAJANI YA OREGANO YANATIBU VITU VIFUATAVYO

-Magonjwa yanayotokana na bacteria
-Ni tiba ya Fungusi ambazo siku sehemu yoyote,
-Pia ni tiba ya mauvimbe mbalimbali ambayo hayanaga maelekezo
-Inasaidia kutibu magonjwa ya virusi,,Inapunguza makali kwa virusi vya ukimwi na kuna mdaalo ulifanyika ikaonekana haya majani yanauwezo wa kupoteza virusi vilivyo kwenye damu zaidi
-Inasaidia mmeng"enyo wa chakula
-Majani yake yanaua mbu,
-Inatibu u.t.i
-Inatibu aina ya fungus(candida) ambayo inasumbua zaisi wanawake
-Inasaidia kupunguza uzito

JINSI YA KUPANDA HUU MMEA
(AGORA TUNAPROGRAM YA
(PANDA MIMEA TIBA USIPANDE MAUA AMBAYO HAYANA TIJA)

Mmea wa Oregano unapandwa kwenye hali ya hewa yoyote
ila kwenye barufu haistawi vizuri,ila kwa hali ya hewa k**a ya nchi ya Tanzania huu mmea unastawi cha msingi kuwe na rutuba nzuri

Panda kwenye chungu cha maua,au dishi au sehemu yoyote iwe k**a urembo wa nyumba pia tiba asilia

Ukitaka kulima kwa biashara wasiliana na agora team kwa elimu
vitu vichache ni kwamba

=Ekari moja inachukua miche 85,000
Inapadwa cm kati ya mmea na mmea na cm 30 kati ya mstari
=Na uvunaga unafanyika kwa miaka 5
=ukitaka kulima herbs lazima uwe na shamba lako
=usipo tumia chemical unafanya mmea uwe vizuri zaidi ki afya
=Mbegu ya agora ya chamomile kwa wastani kwa akari unavuna
majani makavu ni kg 500.

Mche wa agora wa oregano herbs unauzwa sh 3000/=
Mteja akinunua mimea tiba ya 30,000/= usafiri ni bure

facebook:agora
insta:nseshiville
youtube:nseshiville

Tafadhali andika sms/au whatsapp 0679888961,0764837358

CHAMOMILE(CAMOMILE) Huu ni mmea tiba unaotoa maua,kuna ambao unatoa maua yenye njao na nyeupe na kunaunaotoa maua ya blu...
26/06/2018

CHAMOMILE(CAMOMILE)

Huu ni mmea tiba unaotoa maua,kuna ambao unatoa maua yenye njao na nyeupe na kunaunaotoa maua ya blue na njano

Mafuta ya huu mmea chamomile essential oil ni karibia sh milion 3 kwa lita,
pia maua yaliyokaushwa ya chamomile kwa kg moja ni sh karibia sh 50,000/=.

Huu ni moja ya mimea yenye thamani ya juu sana duniani kutokana na faida ya maua ya huu mmea kwenye afya na muonekano wa binadamu

FAIDA ZA MAUA YA CHAMOMILE(CANONILE)
NA MAUA UTUMIKA ZAIDI KUTENGENEZA CHAI,.K**A CHAI

A).FAIDA ZA KIAFYA

-Inatibu maumivu ya misuli
-Inatibu maumivu ya hendi
-Inatibu maumivu ya vidonda vya tumbo
-Inapandisha kinga ya mwili
-Inabalance kiwango cha sukari mwilini
-Inatibu bawasiri(uvimbe kwenye njia ya haja kubwa)
-Inatibu allegies na vipele
-Inatibu maumivu ya kichwa
-inasaidia kufanya ulale na upate usingizi vizuri

B).KWENYE NGOZI
chai ya maua ya chamomile

-Inasafisha ngozi
-Inasaidia matibabu ya matatizo yote ya ngozi
-Inafanya ngozi iwe nyeupe(natural skin bleacher)
-inatibu muwasho wa ngozi
-inatibu chunusi
-Inafanya ngozi isizeeka mapema
-Ni scrub ya asili
-Inafanya ngozi kuwa nyevuu

C) KWENYE NYWELE
- Inaimarisha rangi ya nywele
-Inazuia mba
-Inakuza nywele

JINSI YA KUPANDA HUU MMEA
(AGORA TUNAPROGRAM YA
(PANDA MIMEA TIBA USIPANDE MAUA AMBAYO HAYANA TIJA)

Mmea wa chamomile unapandwa kwenye hali ya hewa yoyote
ila kwenye barufu haistawi vizuri,ila kwa hali ya hewa k**a ya nchi ya Tanzania huu mmea unastawi cha msingi kuwe na rutuba nzuri

Panda kwenye chungu cha maua,au dishi au sehemu yoyote iwe k**a urembo wa nyumba pia tiba asilia

Ukitaka kulima kwa biashara wasiliana na agora team kwa elimu
vitu vichache ni kwamba

=Ekari moja inachukua miche 85,000/=.
Inapadwa k**a inavyopanda ni cm 25 kati ya mmea na mmea na cm 30 kati ya mstari
=Na uvunaga unafanyika ni msimu k**a mahindi
=ukitaka kulima herbs lazima uwe na shamba lako
=usipo tumia chemical unafanya mmea uwe vizuri zaidi ki afya
=Mbegu ya agora ya chamomile kwa wastani kwa akari unavuna
majani makavu ni kg 364.

Mche wa agora wa chamomile herbs unauzwa sh 1000/=
Mteja akinunua mimea tiba ya 30,000/= usafiri ni bure

facebook:agora
insta:nseshiville
youtube:nseshiville

Tafadhali andika sms/au whatsapp 0679888961,0764837358

-

PEPPERMINT(AINA MOJAWAPO YA MNANAA)Kuna aina  nyingi za mint-spearmint-sweetmint-flovoured mint-peppermint( mix ya  swee...
25/06/2018

PEPPERMINT(AINA MOJAWAPO YA MNANAA)

Kuna aina nyingi za mint
-spearmint
-sweetmint
-flovoured mint
-peppermint( mix ya sweetmint+spearmint)
peppermint ndio best mint

FAIZA ZA PEPPERMINT

a)KIAFYA

-INABORESHA AFYA YA INI, aina hii ya mnana ukiwa mkavu au mbichi
unasaidia mmengenyo wa chakula mwilini hii inasaidia kusaga mafuta na kutoa rehemu mbaya mwilini na uchafu hauwezi baki kwenye ini pamoja na sumu.

-INASAIDIA MMENG"ENYO WA CHAKULA NA INATIBU TATIZO LA KUTOPATA HAJA KUBWA
Mnana kwa masoko ya wahindi na masoko ya mbogamboga za kizungu huwa wanauza gharama sababu ni faida zilizomo kwenye huu mmea,Inasaidia chakula kusagika kiurahisi na watu wenya tatizo la kwenda haja huu ni mmea kwa ajili yao pia k**a unahisi tumbo limejaa chakula au gesi,chukua majani ya mnana tafuna uone maajabu yake

-INATIBU MAUMIVU YA KICHWA

-INASAIDIA KURUDISHA MEMORY

-INASAIDIA KUZUIA MAGONJWA YASABABISHWAYO NA BACTERIA

-INASAIDIA KUONDOA UCHOVU

-INASAIDIA KUZUIA CANCER

-INATOA HARUFU MBAYA YA KICHWA,Hakuna dawa ya meno isiyo na mint

-INATIBU MATATIZO YA MFUMO WA UPUMUAJI

-INASAIDIA WATU WENYE VIDONDA VYA TUMBO

-INASAIDIA KUPUNGUZA UZITO

-INASAIDIA MFUMO WA UZAZI HASA UGUMBA

-INASAIDIA KUPUNGUZA DEPRESSION NA MAWAZO

b)UREMBO

-INASADIA KUFANYA NGOZI IWE LAINI NA INAYOSHINE

-INASAIDIA KUTIBU MATATIZO MBALIMBALI YA NGOZI

-INAPONYESHA MBA KWENYE NYWELE

c)MATUMIZI MENGINEYO

-INATUMIKA KWENYE KUTENGENEZA CHOKOLATE NA MISHUMAA PIA KWENYE NA VINYWAJI VINGI

-INATUMIKA KUTENGEZEA BIDHAA ZA UREMBO

Pia kuna madhara ya mint,
-kwa sababu inasaidia digestion matumizi ya mint nyingi inasababia heartburn
-pia watu wenye aleji na mnana ,hii mint haiwafai
-Watoto wadogo hawashauriwi kutumia

JINSI YA KUILIMA PEPPERMINT

Inakubadi kwenye hali ya hewa aina zote,AGORA TUNAPROGRAM YA
(PANDA MIMEA TIBA USIPANDE MAUA AMBAYO HAYANA TIJA)

Peppermint inawezwa kulima kwenye beseni kubwa maana inamuda wa kutumiwa miaka 4 hadi 5,basi usipande kwenye eneo au chungu kilichobana nafasi

Ukitaka kulima kwa biashara wasiliana na agora team kwa elimu
vitu vichache ni kwamba

=Ekari moja inachukua miche 32,000/=
Ambayo inakuwa na spacing ya kati ya mstari na mstari ni cm 45 to 55cm,
na kati ya mstari na mstari ni cm 25 hadi cm 30
=Na uvunaga unafanyika ndani ya miaka 4 hadi 5,lakini ukomaa baada ya miezi mitatu
=ukitaka kulima herbs lazima uwe na shamba lako
=usipo tumia chemical unafanya mmea uwe vizuri zaidi ki afya
=Mbegu ya agora ya peppermint kwa wastani kwa akari unavuna
majani makavu ni 1.2 tonne

Mche wa agora peppermint herbs unauzwa sh 3000/=
Mteja akinunua mimea tiba ya 30,000/= usafiri ni bure

facebook:agora
insta:nseshiville
youtube:nseshiville

Tafadhali andika sms/au whatsapp 0679888961,0764837358

21/06/2018

ANZA KUPANDA MIMEA TIBA AMBAYO INA MUONEKANO K**A MAUA,Kupanda maua kwenye madishi au vyungu ambayo hayana faida yoyote ni kupoteza muda tu

Agora herbs inakuletea mimea ambayo unaweza panda kwenye dishi yakawa maua pia ni dawa,,na hii mimea inatumika kupikia yaani inawekwa kwenye mboga au kwenye chai,pia kwenye maji

List ya mimea tiba ambayo tunayo ni

Ambayo iko kwa sasa

1.oregano
2.Peppermint-Mnana
3.Chamomile

Ambayo Itaanza kupatikana kuanzia mwezi wa nane ni

1.lemon balm
2.Lavenders
3.Basil
4.Cintronela
5.Rosemary
6.Thyme
7.Lemon grass

Address

Kinondoni
53126

Telephone

+255786498668

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nii-herbs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share