Phyner Store

Phyner Store Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Phyner Store, Shopping & retail, Kariakoo.

Doti setiiSahani kubwa 6Side plate 6Bakuli 6Vikombe 6Serving seti zinakua pcs 3Call/ watsap 0789431587MALIPO BAADA YA KU...
12/05/2025

Doti setii
Sahani kubwa 6
Side plate 6
Bakuli 6
Vikombe 6
Serving seti zinakua pcs 3

Call/ watsap 0789431587
MALIPO BAADA YA KUPOKEA MZIGO WAKO POPOTE ULIPO

12/05/2025
Heri ya mwaka mpya wapendwa wanguuHakika ninyi ni watu wa thamani kubwa kwanguKatika mwaka huu mpya 2025 tutakua na mabo...
01/01/2025

Heri ya mwaka mpya wapendwa wanguu
Hakika ninyi ni watu wa thamani kubwa kwangu

Katika mwaka huu mpya 2025 tutakua na maboresho mengi katika biashara yetu na mengi ni mazuri
Usikae mbali nasi kuanzia sasa
Nitaendelea kuwapa mrejesho wa kila kitu kitakachokua kinaendelea

NAWAPENDA SANA MUWE NA SIKU NJEMA❤️

Hotpot nzuriIndian madeZinatunza moto kwa muda mrefuZinapatikana kwetu,Tupo kariakoo, mtaa wa agrey na lumumbaTunafanya ...
03/12/2024

Hotpot nzuri
Indian made
Zinatunza moto kwa muda mrefu

Zinapatikana kwetu,
Tupo kariakoo, mtaa wa agrey na lumumba

Tunafanya delivery ndani ya dar es salaam na mikoani pia

MALIPO BAADA YA KUPOKEA

CALL/WATSAP 0789431587

Jagi na glass zake 6Material ni kioo kizitooWahiii kabla mali haijaishaa tsh 50,000Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey n...
30/11/2023

Jagi na glass zake 6
Material ni kioo kizitoo
Wahiii kabla mali haijaishaa tsh 50,000

Tunapatikana kariakoo mtaa wa agrey na livingstone
Lakini pia tunafanya delivery,
Popote ulipo mzgo utakufika

Na habari njema ni utalipia ukishapokea mzgo wako

Chupa nzuri ya chai ujazo lita 3.6, inatunza joto kwa muda wa masaa 48.tsh 60,000
29/01/2023

Chupa nzuri ya chai ujazo lita 3.6, inatunza joto kwa muda wa masaa 48.tsh 60,000

25/11/2020

asante sana kwa kuwa mteja wetu...karibu tena na tenaa😍

Chagua uipendayo na ujipatie kwa bei nzuri kabsaa....call/watsap 0789431587.unaweza kubonyeza link kwenye  bio yangu ili...
25/11/2020

Chagua uipendayo na ujipatie kwa bei nzuri kabsaa....
call/watsap 0789431587.
unaweza kubonyeza link kwenye bio yangu ili kujiunga na group letu na kujionea bidhaa nyingi zaidii

karibu tukuhudumiee...call/watsap 0789431587au bonyeza link kujiunga na group letu la watsap na uweze kuona bidhaa nying...
22/11/2020

karibu tukuhudumiee...

call/watsap 0789431587
au bonyeza link kujiunga na group letu la watsap na uweze kuona bidhaa nying zaid

Tunafanya free delivery kwa wakazi wa dar na mkoani tunatuma kwa uaminifu

Jamanii unaikosaje hii...Nyumba ni vyomboo😃.karbu tukisikilizecall/watsap 0789431587tunafanya delivery popotee ulipo na ...
20/11/2020

Jamanii unaikosaje hii...Nyumba ni vyomboo😃.
karbu tukisikilize

call/watsap 0789431587
tunafanya delivery popotee ulipo na mzigo unakufikia

hii siyo ya kukosa kabsaa...weka oda yako mapema.Nyumba ni vyombo😊😊.call/watsap 0789431587unaweza kubonyeza link kwenye ...
19/11/2020

hii siyo ya kukosa kabsaa...weka oda yako mapema.

Nyumba ni vyombo😊😊.

call/watsap 0789431587
unaweza kubonyeza link kwenye bio yangu ili kujiunga na group kwa kupata bidhaa nyingi zaidi

Address

Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Phyner Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share