18/04/2026
π UNAFUGA NG'OMBE? UNAUNDA PELLET? π
Usianze kiwanda chako kwa mguu mbaya mkuu.
Wafugaji wengi wananunua mashine hii ya pellet na kusahau silaha muhimu zaidi: MIZANI SAHI.
SIRI 3 ZA KIWANDA CHA PELLET KILICHOFANIKIWA:
1. PIMA MALIGHAFI KWA USAHIHI
Unahitaji mizani ya 50KG - 100KG kupima mahindi, mashudu, chumvi kwa uwiano sahihi. Ukikosea uwiano, mifugo haiongezeki.
2. PIMA MAGUNIA YA PELLET SAHI
Unahitaji Platform Scale 300KG kupima magunia yako ya 50KG au 100KG kabla ya kuuza. Mteja akilipia 50KG apate 50KG. Uaminifu unajengwa hapa.
Mashine inatengeneza pellet. Mizani inatengeneza PESA na UAMINIFU.
Tuna bundle maalum: Mashine ya Pellet + Platform Scale 300KG + Cheti. Unaokoa pesa na muda.
Unataka kuanza kiwanda chako? Tuongee WhatsApp: 0718 892 644
Mbuzi PelletMachine BiasharaTanzania Wafugaji