Ardhisol T. Limited

Ardhisol  T. Limited Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ardhisol T. Limited, Shopping & retail, Kariakoo.

MILIKI KIWANJA PONGWEJe, umekua na ndoto ya kumiliki kiwanja kwa muda mrefu?Je, unatamani kupata kiwanja kwa bei nafuu?J...
11/11/2021

MILIKI KIWANJA PONGWE
Je, umekua na ndoto ya kumiliki kiwanja kwa muda mrefu?
Je, unatamani kupata kiwanja kwa bei nafuu?
Je, unatamani kupata kiwanja kwa mkopo usio na riba ?
Ardhisol (T) Limited ipo kwa ajili ya kutimiza ndoto zako
Miliki kiwanja rasmi kilichopimwa na kinachotambulika na serikali kwa gharama ya kuanzia Tshs.1,000,000 kwa malipo ya kuanzia Tshs.3000 kwa siku.
Viwanja vipo karibu na huduma zote za kijamii
Wahi sasa usipitwe na fursa hii
Ofisi zetu ziko mkabala na ofisi za halmashauri ya jiji la Tanga
Kwa taarifa zaidi unaweza kujiunga kwenye group letu kupitia link
https://chat.whatsapp.com/CJEGRipwlauBsL4MipqD3W
Au tupigie simu namba
0658 -881991
0783-787833
0689-599989
0745-124138
Nyote mnakaribishwa.

WhatsApp Group Invite

Address

Kariakoo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ardhisol T. Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share