Mwassa Trading Centre

Mwassa Trading Centre Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mwassa Trading Centre, Comic Bookstore, Iringa.

31/01/2023
Karibu update huduma zetu za kukodisha magari kwa gharama nafuu,Aina ya gari unayotaka utapata ,tunao madereva wiliosome...
05/04/2022

Karibu update huduma zetu za kukodisha magari kwa gharama nafuu,Aina ya gari unayotaka utapata ,tunao madereva wiliosomea na wenye uzoefu
kwa mahitaji ya sherehe na safari zote tunapokea booking,ukitaka kuendesha mwenyewe utapewa utaratibu maalumu,kwa mawasiliano 0754 406 230 /0621 054 161 email [email protected]
Ofisi zetu zipo Iringa mjini eneo la soko kuu mkabala na KKKT KANISA KUU /AGAKHANI HOSIPITAL Karibuni sana

Wadau kwema ! Ni siku nyingine Tena ambayo  Mungu ametubariki kuiona kwa neema nawakaribisheni Sana kwa mahitaji ya kuko...
05/04/2022

Wadau kwema ! Ni siku nyingine Tena ambayo Mungu ametubariki kuiona kwa neema nawakaribisheni Sana kwa mahitaji ya kukodi mahari kwaajili ya safari ndefu na fupi,sherehe tuna madereva wenye taaluma ,wazoefu hata hata kuendesha mwenyewe kwa makubaliano maalumu wasiliana nasi kwa simu 0754 406 230 /0621 054 161 email address [email protected] karibuni Sana Bei zetu maelewano kwetu utu na uaminifu ndiyo Jambo la msingi karibu
Ofisi zetu zipo Iringa mjini eneo la soko kuu chumba namba 36 mkabala na KKKT KANISA KUU na AGAKHAN HOSIPTAL

Car for hire, affordable price , comfortable seats, professional drivers,also self drive is offered welcome!
04/04/2022

Car for hire, affordable price , comfortable seats, professional drivers,also self drive is offered welcome!

04/04/2022

Kila Jambo na wakati

05/03/2019

Wadau na marafiki karibuni kwenye biashara yetu upate huduma za uwakala Wa NMB, Crdb, TPB, Access Bank, NBC NA HUDUMA ZINGINE M-PESA, TIGO PESA Pia tunatoa huduma zingine za vifaa vya shule na maofisini kwa bei nafuu kabisa karibuni sana

21/11/2018

Mwassa Trading Centre tunawakaribisha kununua bidhaa zetu za Stationeries pia ni mawakala Wa fahari huduma Crdb, Nmb, Access Bank, TPB Na NBC na uwakala Wa mitandao ya simu

17/07/2017

Nikifurahia jambo na kaka zangu wachungaji Elisha Mwasakifwa na Edward Mwaikali walipohudhuri sherehe ya kuwekwa wakfu Askofu Wa Dayosisi ya Iringa Mch B Gavile

12/03/2016

Address

Iringa

Telephone

0754406230

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwassa Trading Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share