28/08/2025
[GUARANTEED]... .....UTAWEKA AKIBA YA SHILINGI MILION 5 - 10 KWA MWAKA au nikurudishie FEDHA yako!
_Jinsi nilivofanikiwa kuweka AKIBA YA MILIONI 100 kwa miaka 10 mfululizo kila siku bila kuacha, bila kutoa.
_ ...Ilikuwa siku ya juma tano tarehe 23 mwezi 7 mwaka 2015 nikiwa na furaha sana kazini..
GHAFLA..! Mtu aliyekuwa k**a kachanganyikiwa alinikwida shati nyuma yangu na kuniambia....
....Patson kuanzia kesho baki nyumbani usije tena kazini...
Nikashtuka na kugeuka nyuma, nilivomtazama ni nani akageuka na kutoweka...
...LAKINI nilimtambua alikuwa ni BOSS wangu kazini.
Siku hii ndiyo niliyofukuzwa kazi k**a mtaalamu wa data na technolojia katika kampuni ya KEMIWA MICROFINANCE L.T.D..
..Kazi ambayo ilikuwa ikiendesha maisha yangu na kuniweka mjini.
Swali ni Je, nilisimamaje hadi kuweka akiba ya MILIONI 100 ndani ya muda mfupi ?
......ndilo nakwenda kujibu sekunde 30 zijazo.
Kufukuzwa kwangu kazi ndiyo ilikuwa mwanzo wa maisha yangu mapya ya kutafuta milioni 100 k**a akiba bila AJIRA ambayo ningekuwa nafanya kazi hadi leo nisingeipata.
...baada ya kufukuzwa kazi nilizunguka sana na vyeti na kufanya interview lakini sikupatata kazi.
Siku nyingine taasisi moja ya utalii iliniajiri ndani ya saa 48 nilifukuzwa....
..sababu Mkurugenzi aliniambia sikuweza kwendana na speed ya kazi zao.....
....Iliniuma sana kwasababu familia yangu ilikuwa na matatizo makubwa ya magonjwa na siku na *AKIBA YOYOTE* yaani nilikuwa mtupu......
..... ambapo nilihitaji FEDHA na kazi hii ya Kampuni ya utalii niliona ndiyo itanisaidia kupata fedha za kuitibia familia yangu......
By the way.. utakuwa unajiuliza ni nani huyu...
*.....Naitwa Patson Chaula: Mkurugenzi wa Citymax bookshop & Tchnology Tanzania, Mwandishi, MWEKEZAJI na mkufunzi wa FEDHA na BIASHARA..*
Baada ya kufukuzwa kazi mwaka 2015, nilipitia mateso makali yaliyonifanya nikuletee leo MBINU ambazo zitakutoa na wewe hapo ulipo....
Mwaka 2016 nilianza safari yangu ya kuweka akiba kila siku bila kuacha hadi leo..
...Ambapo nilijiwekea lengo la kuweka akiba kwa miaka 10 mfululizo, kila mwaka, kila mwezi, kila wiki, kila siku yaani siku 365 kwa miaka yote nimeweka akiba bila kutoa hata shilingi moja mpaka sasa......
Nimebakiza miezi minne (4) Tu kufikia lengo langu la miaka 10 mfululizo.....
Utakuwa unajiuliza NLIWEZAJE.......?
....ndiyomaana nimekuletea majibu ya swali hili kupitia vitabu vyangu hivi ......
..AKIBA NA UWEKEZAJI pamoja na CHUO CHA FEDHA...
...ambapo nimeandika MBINU za uhakika ambazo zimenisaidia mimi kufanikia hilo ..
...NA...
Zitakusaidia wewe kufikia malengo yoyote ya KIFEDHA ndani ya muda mfupi...
Ili kuhakikia unapata maarifa haya muhimu ambayo sipendi WEWE UYAKOSE au uchelewe kuyapata k**a mimi nilivochelewa .....
*[HAPA]*.......Kuna OFA yako...
Thamani ya maarifa haya k**a nigeamua kuuza ni Tsh 350,000/, ambapo kuanzia tarehe [01/09/2025] nitaanza kuyauza kwa gharama hii...
..LAKINI...
Leo nahitaji kukupatia MAARIFA haya ambayo nimeyaweka kwenye vitabu hivi kwa gharama ndogo sana ambayo hutayapata tena kwa kiasi hiki....
[OFA]....... Leo nakupa nafasi ya kulipia Tsh 50,000 Tu, na nitakuagizia vitabu hivi popote ulipo Tanzania....
*[GUARANTEED]*
Iwapo utasoma MAARIFA haya na hutapata matokeo nitakurejeshea fedha zako zote (100%) bila kuuliza maswali yoyote....!
...LAKINI....
*Watu 20 pekee wa mwanzo kulipia OFA hii ndio watakaipata Tu*.
...baada ya hao 20 wengine watalipia gharama za awali ambazo ni kubwa zaidi...
Na.....
Utapata nafasi ya moja kwa moja ya kukusimamia kuyatekeleza yote niliyoyaandika kwenye vitabu hivi hatua kwa hatua ili kufikia UHURU mkubwa wa KIFEDHA..
Kumbuka: Kwa OFA YA 50,000 itakupelekea kupata UHURU kamili wa kifedha.
*Ili kupata OFA hii piga simu au tuma sms kwa +255753690907* sasa hivi.