25/08/2025
Big Freezers available now
Westpoint 670l off to our client Narco Ranches.
✅For 670litres unaweza hifadhi ng'ombe 6 na pia unaweza pata hifadhi mbuzi mpaka 30. Samaki hadi tani 1
✅Freezer hii ni mahususi kabisa kwa ajili ya biashara za mabucha makubwa na mashamba.
✅Freezer hii ina matumizi madogo ya umeme na partition nzuri kabisa kwa ajili ya kutenganisha vitu kwenye fridge.
Westpoint 670l freezer utajipatia 2,750,000 tu