BF SUMA

BF SUMA Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from BF SUMA, Shopping & retail, Dodoma.

28/06/2024

Mtu yeyote asiwashawishi uwepo wa Unicef fund kupitia account yangu. Hao ni matepeli wa mtandao

22/04/2019

SABABU ZA GANZI

_Ganzi_ ni tatizo linaloashiria kukosekana kwa uhusiano uliyopo kati ya _neva_ na mfumo wa _ubongo_ katika sehemu _husika. Kwa maana hiyo basi, mtu mwenye shida ya ganzi kwenye mkono au mguu na sehemu nyingine yoyote ya mwili basi tofasri yake ni kwamba hakuna uhusiano wa neva na ubongo. Hali hii huwatokea sana Watu wenye _umri_ mkubwa kwa sababu Watu wenye umri mkubwa mzunguko wao wa damu huwa haupo vizuri ukilinganisha na vijana na mishipa ya neva katika sehemu husika huwa haipitishi damu vizuri kwa sababu huwa inaziba.

_Kuna_ sababu_ kadha _wa_ _kadha__ya_ _kutokea_
_kwa_ ganzi k**a _ifuatavyo_;

πŸ”˜ Shinikizo la muda mrefu kwenye miguu na mikono.

πŸ”˜ Kuwa karibu na vitu vyenye baridi sana kwa muda mrefu.

πŸ”˜ mabadiliko ya muda mfupi kwenye neva/mishipa

πŸ”˜Ajali kwenye neva

πŸ”˜ Kunywa pombe kupita kiasi, uvutaji wa sigara na bangi.

Watu wengi hupatwa na tatizo la nganzi bila kupata msaada na huwa hawajui ni nini cha kufanya na kimsingi tatizo la kutokuwa na mawasiliano kati ya neva mishipa ya fahamu na organ husika inaweza kuleta shida hata ya kiharusi ( stroke ). BF SUMMA wamekuletea product aina ya micro2 cycle, ambayo itakuondolea kabisa tatizo la ganzi na mzunguko wa damu kwa ujumla. Na kuruhusu mzunguko wa damu kuwa vizuri kabisa katika mwili wa binadamu.
Karibu tuzungumzie kwa ushauri na kupatiwa dawa pia 0655579325

Kwa yeyote anayehitaji dawa hiyo kwa ajili ya kuimarisha  mifupa au anamatatizo katika viungo anitafute kwa namba 065357...
22/04/2019

Kwa yeyote anayehitaji dawa hiyo kwa ajili ya kuimarisha mifupa au anamatatizo katika viungo anitafute kwa namba 0653579235

22/04/2019
30/01/2019

HII NDIO BIASHARA NINAYOIFANYA. ISOME NA USIPO ELEWA ULIZA NITAKUSAIDIA KUELEWA MTAJI WAKE NI SHILING 40,000 TU

NIPO KATIKA KAMPUNI YA KIMAREKANI YA BF SUMA K**A INAVYOJIELEZA HAPO CHINI

BFSUMA

KIREFU
___________
BRight
Future
Superior
Unique
Manufacturer of America

MALENGO
___________

Kuboresha Afya za binadamu kwa kukinga na kutibu Magonjwa mbalimbali pia Kuboresha Kipato kupitia bidhaa hizi

BIDHAA GANI ZINATENGENEZWA
_____________________

Bidhaa zinazotengenezwa ni tiba Lishe....Tiba asilia zisizo na kemikali zinatibu Magonjwa mbalimbali...Magonjwa ya Mifupa..Maginjwa ya Moyo...Magonjwa ya Mmengenyo wa chakula k**a gesi..Vidonda vya tumbo..Bawasiri...Uvimbe...Uzazi kwa wanaume na wanawake na Magonjwa yote hatarishi

NANI ANAWEZA KUWA MTEJA
_________________________

Mwananchi yoyote anaetaka kurudisha Afya yake au kujikinga na Maradhi Nyemelezi na Hatarishi

JE NAWEZAJE KUPATA BIDHAA HIZi
_________________________

Unaweza pata bidhaa hizi kwa njia mbili

1.Kujiunga na kuwa mwanachama...hapa utapata bidhaa kwa bei ya punguzo kubwa ambalo unaweza kutumia bidhaa ai kuuza oia kwa watu wengine na ukajiongezea kipato

2.Kununua bidhaa kwa bei ya rejareja kutoka kwa mabalozi ambao tayari wana dhamana yakupata bidhaa kwa bei ya jumla..hapa bei itapanda tofauti na ukinunua ukiwa balozi

JE NIFAIDA GANI ZINGINE NAZIPATA TOFAUTI NA FAIDA YA KUUZA/RETAIL PROFIT
________________________

Zipo faida nyingi unazoweza kupata ukiwa balozi wa bfsuma ambazo nik**a zifuatazo

1.Bonus za kila mwezi...hii inategemea perfomance yako wewe na team yako

2.Bonus za safari

3.Bonus za Magari

4.Bonus za Nyumba nk

JE NAPATAJE NAFASI Y KUWA MWANACHAMA
________________________

ili kuwa mwanachama unaitaji kutoa sh 40000 yakitanzania..utasajiriwa kwa Mujibu wa sheria za BFSUMA

Unaweza kuja ofisin kwetu au kuwasiliana na alie kushirikisha hii fursa

Yapo Mengi ya wewe kujifunza kupitia hii kampuni..usisite kuuliza swali...pia unaweza udhuria semina zetu zinazoendelea katika mikoa yetu ya TanzaniaHII NDIO BIASHARA NINAYOIFANYA. ISOME NA USIPO ELEWA ULIZA NITAKUSAIDIA KUELEWA MTAJI WAKE NI SHILING 40,000 TU

Yapo Mengi ya wewe kujifunza kupitia hii kampuni..usisite kuuliza swali...pia unaweza udhuria semina zetu zinazoendelea katika mikoa yetu ya Tanzania kwamba mawasiliano zaidi piga 0653579325

Address

Dodoma
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BF SUMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share