Victory Bookshop LTD Dodoma

Victory Bookshop LTD Dodoma Victory Bookshop LTD provides a large range of stationery items to suit your needs. Visit our shop for all your office and school requirements.

📚 Uwekezaji bora kuliko wote ni uwekezaji kwenye maarifa.Vitabu vyetu vipya vya kujifunza na kujiboresha vimewasili. Kar...
12/06/2026

📚 Uwekezaji bora kuliko wote ni uwekezaji kwenye maarifa.
Vitabu vyetu vipya vya kujifunza na kujiboresha vimewasili. Karibu Victory Bookshop ujiongezee maarifa yatakayokusaidia katika kazi, biashara na maisha kwa ujumla.

09/06/2026

Mzazi au mwanafunzi, unajua ni calculator ipi inafaa kwa O-Level, A-Level au Chuo?
Usinunue calculator kabla ya kujua tofauti zake.
Tazama video hii kwa mwongozo mfupi wa kuchagua calculator sahihi kwa mahitaji yako. 🧮📚

🌙 Eid Mubarak from Victory Bookshop!May this blessed occasion bring peace, happiness, and prosperity to you and your lov...
27/05/2026

🌙 Eid Mubarak from Victory Bookshop!
May this blessed occasion bring peace, happiness, and prosperity to you and your loved ones. Thank you for your continued support and trust.
Wishing you a joyful and blessed Eid.

25/05/2026

📚 Kutoka Atomic Habits hadi Rich Dad Poor Dad, vitabu hivi vinaweza kukusaidia kuboresha tabia zako, mtazamo wako kuhusu pesa na safari yako ya mafanikio.

Ni kitabu gani kati ya hivi ungependa kusoma kwanza?
ThinkAndGrowRich ReadingCulture

Eid Al-Fitr Mubarak!
21/03/2026

Eid Al-Fitr Mubarak!

Tunawatakia wote wanaoadhimisha Ramadhan mfungo mwema na wenye baraka.
18/02/2026

Tunawatakia wote wanaoadhimisha Ramadhan mfungo mwema na wenye baraka.

Address

Lindi Avenue, Uhindini, Dodoma TZ
Dodoma
P.OBOX940

Opening Hours

Monday 08:30 - 13:00
14:30 - 18:00
Tuesday 08:30 - 13:00
14:30 - 18:00
Wednesday 08:30 - 13:00
14:30 - 18:00
Thursday 08:30 - 13:00
14:30 - 18:00
Friday 08:30 - 13:00
14:30 - 18:00
Saturday 09:30 - 13:00
14:30 - 18:00
Sunday 10:00 - 13:00

Telephone

+255754265366

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Victory Bookshop LTD Dodoma posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category