massawej043

massawej043 Luck Executive Homes, established in 2025, is dedicated to offering premium, contemporary

Yes 🀝 usafiri ni bure kwenda na kukurudisha tulipo kutoa ,  piga simu mapema
12/07/2025

Yes 🀝 usafiri ni bure kwenda na kukurudisha tulipo kutoa , piga simu mapema

VIWANJA VIZURI NZUGUNI, NYUMA YA UWANJA WA MPIRATunapenda kukujulisha kuwa kuna viwanja vizuri sana vimeandaliwa katika ...
09/07/2025

VIWANJA VIZURI NZUGUNI, NYUMA YA UWANJA WA MPIRA

Tunapenda kukujulisha kuwa kuna viwanja vizuri sana vimeandaliwa katika eneo la Nzuguni nyuma ya uwanja wa mpira, kila kiwanja kina ukubwa wa sqm 600.

βœ… Barabara zitachongwa na eneo kusafishwa
βœ… Mandhari tulivu na salama kwa makazi
βœ… Bei nafuu na utaratibu rahisi wa malipo

NB VIMEBAKI VIWANJA VITATU TU
Wahi sasa kabla havijaisha! πŸ™πŸ½

Piga simu:
πŸ“ž 0745 200 984
πŸ“ž 0747 999 997

Au tembelea ofisi zetu:
πŸ“ Dodoma Mjini – Mtaa wa Uhindini, mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi

KIWANJA KIZURI CHATANO  BARABARA YA LAMI YA KWENDA CHUO KIKUU CHA UDOM  KINAUZWA ENEO NI OYSTERBAY BLOCK D CENTER DODOMA...
09/07/2025

KIWANJA KIZURI CHATANO BARABARA YA LAMI YA KWENDA CHUO KIKUU CHA UDOM

KINAUZWA ENEO NI OYSTERBAY BLOCK D CENTER DODOMA
BEI 40ML

✴️UKUBWA WA KIWANJA SQM 500
MATUMIZI YA ENEO NI MAKAZI

KIWANJA HIKI KINA FENSI UPANDE ZOTE K**A PICHA YETU INAVYO ONEKANA

NI MOJA YA ENEO PENDWA NA ✴️LINALO JENGEKA KWA KASI KUBWA SANA HII NI KWASABABU NI KARIBU SANA NA MJINI NA NIKARIBU SANA NA OFISI NYINGI ZA UMMA

✴️KM 1 ADI ILIPO MAHAK**A KUU MPYA
KM 2 ADI ULIPO UKUMBI WA JAKAYA CONVENTION CENTER

KM 2 ADI JENGO LA KAMBARAGE ✴️TOWER
KM 2 ADI ILIPO TREASURY SQUARE DODOMA AU JENGO LA HAZINA

✴️NI KARIBU PIA NA TAKWIMU HOUS

✴️KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI MILIKI YA MIAKA 99
NI UMBALI WA KM 4 TUU KUTOKA MJINI KATI
ENEO HILI LIPO KATIKATI YA MAENO YANAYO JENGEKA KWA KASI K**A πŸ‘‡πŸ½
1) MKALAMA
2) KISASA
3) ENEO LA UWEKEZAJI NJEDENGWA

✴️JENGA NYUMBA YAKUISHI
JENGA NYUNBA YA BIASHARA YANI APARTMENTS

OFISI ZETU ZIPO DODOMA MJINI MTAA WA UHINDINI MKABALA NA WIZARA. YA UJENZI NA UCHUKUZI
TUNAPATIKANA KWA SIMU NO 0745200984

SITE VISIT – MRADI WA KIKOMBOπŸ‘‰ Umbali kutoka Njia Panda ya Kikombo hadi Site ni kilomita 2 tu.πŸ‘‰ Eneo la viwanja liko mit...
09/07/2025

SITE VISIT – MRADI WA KIKOMBO

πŸ‘‰ Umbali kutoka Njia Panda ya Kikombo hadi Site ni kilomita 2 tu.
πŸ‘‰ Eneo la viwanja liko mita 100 tu kutoka barabara mpya ya lami inayokwenda Makao Makuu ya Jeshi – Kikombo.

βΈ»

AINA ZA VIWANJA & BEI:

βœ… Viwanja vya Makazi – Tsh 7,000/= kwa sqm
βœ… Viwanja vya Biashara – Tsh 9,000/= kwa sqm

πŸ’₯ Malipo yanajumuisha gharama za uandaaji wa hati.

βΈ»

UTARATIBU WA KUTEMBELEA SITE:

πŸ•£ Kila siku kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 6:30 mchana
🚌 Usafiri wa kwenda site zetu zote ni BURE kabisa!

βΈ»

WASILIANE NASI:

πŸ“ž 0745 200 984
πŸ“ž 0747 999 997

πŸ“ Tembelea ofisi zetu: Dodoma Mjini, Mtaa wa Uhindini – Mkabala na Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.

βΈ»

Usikose nafasi hii ya kumiliki kiwanja katika eneo linalokua kwa kasi!
Karibu sana Luck Real Estate – Tunajenga Maisha Bora.

BLOCK CC – MKALAMA, DODOMANjoo Uwekeze Mahali pa Kipekee!Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja katikati ya Jiji la Dodoma...
09/07/2025

BLOCK CC – MKALAMA, DODOMA
Njoo Uwekeze Mahali pa Kipekee!

Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja katikati ya Jiji la Dodoma, nyuma kidogo ya Mahak**a Kuu, umbali wa km 2 tu kutoka Mjini.

🌍 Eneo lipo karibu na taasisi muhimu za Serikali k**a Wizara ya Fedha na nyingine nyingi – ni mahali panapokua kwa kasi na lenye uhakika wa faida kwa mwekezaji wa sasa na baadaye.

Faida za kuwekeza hapa:
βœ”οΈ Kujenga nyumba ya makazi kwa familia yako
βœ”οΈ Kujenga apartment za biashara kwa wapangaji
βœ”οΈ Kufaidika na ongezeko la thamani ya ardhi mjini kati

πŸ“Œ Hii ni nafasi yako
Usikose kumiliki ardhi yenye thamani kubwa katika ya Jiji la Dodoma.

βΈ»πŸ—οΈ USIKOSE KIWANJA HAPA – ENEO KUBWA LA UWEKEZAJI DODOMA! πŸ‘πŸ“ˆHili ni moja ya maeneo makubwa na ya kimkakati zaidi kwa uw...
07/07/2025

βΈ»

πŸ—οΈ USIKOSE KIWANJA HAPA – ENEO KUBWA LA UWEKEZAJI DODOMA! πŸ‘πŸ“ˆ

Hili ni moja ya maeneo makubwa na ya kimkakati zaidi kwa uwekezaji ndani ya Jiji la Dodoma. K**a huna kiwanja hapa – usipange kabisa kukosa!

πŸ“ Eneo liko jirani na miradi mikubwa ya taifa k**a:
βœ… Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato – mradi mkubwa unaoendelea sasa
βœ… Barabara ya Mzunguko (Ring Road) – barabara kubwa zaidi Tanzania nzima, ya kipekee kwa Dodoma
βœ… Mji wa Serikali – Mtumba (Magufuli City) – kitovu cha serikali kuu na maendeleo

βΈ»

🌍 Faida za kumiliki kiwanja hapa:

βœ… Bei nafuu ukilinganisha na thamani ya maendeleo yanayoendelea
βœ… Miundombinu bora: barabara, umeme, maji
βœ… Fursa ya makazi au biashara – apartment, yard, ofisi, maduka

βΈ»

πŸ“ž Wahi sasa – nafasi ni chache, lakini fursa ni kubwa!
πŸ“² 0745 200 984 | 0747 999 997
πŸ“Ofisi: Uhindini – Mkabala na Wizara ya Ujenzi, Dodoma

BLOCK CC – MKALAMA, DODOMA NYUMA YA MAK**A KUU DODOMA Njoo Uwekeze Mahali pa Kipekee!Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanj...
07/07/2025

BLOCK CC – MKALAMA, DODOMA NYUMA YA MAK**A KUU DODOMA
Njoo Uwekeze Mahali pa Kipekee!

Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja katikati ya Jiji la Dodoma, nyuma kidogo ya Mahak**a Kuu, umbali wa km 2 tu kutoka Mjini.

🌍 Eneo lipo karibu na taasisi muhimu za Serikali k**a Wizara ya Fedha na nyingine nyingi – ni mahali panapokua kwa kasi na lenye uhakika wa faida kwa mwekezaji wa sasa na baadaye.

Faida za kuwekeza hapa:
βœ”οΈ Kujenga nyumba ya makazi kwa familia yako
βœ”οΈ Kujenga apartment za biashara kwa wapangaji
βœ”οΈ Kufaidika na ongezeko la thamani ya ardhi mjini kati

πŸ“Œ Hii ni nafasi yako
Usikose kumiliki ardhi yenye thamani kubwa katika ya Jiji la Dodoma.

🏑 BADO HUJACHELEWA!Hata wewe unaweza kumiliki kiwanja chako cha makazi au biashara eneo la MTUMBA – Dodoma!Eneo hili lin...
07/07/2025

🏑 BADO HUJACHELEWA!

Hata wewe unaweza kumiliki kiwanja chako cha makazi au biashara eneo la MTUMBA – Dodoma!

Eneo hili linakuwa kwa kasi sana na ni sehemu bora kwa:
βœ… Ujenzi wa makazi ya familia
βœ… Biashara au uwekezaji wa muda mrefu
βœ… Apartment au maduka ya kisasa

πŸ“Œ Viwanja vina hati, bei nafuu, na vipo karibu na miundombinu yote muhimu – barabara ya mzunguko, mji wa serikali, na uwanja wa ndege wa Msalato.

πŸ“ KIWANJA KIZURI SANA KINAPATIKANA IHUMWA MTUMBA, DODOMA πŸ›£οΈπŸŒŸ Fursa adimu! Kiwanja kimoja tuu kimebaki katika eneo hili l...
07/07/2025

πŸ“ KIWANJA KIZURI SANA KINAPATIKANA IHUMWA MTUMBA, DODOMA πŸ›£οΈ

🌟 Fursa adimu! Kiwanja kimoja tuu kimebaki katika eneo hili linalokua kwa kasi la Mtumba.
Kipo kiwanja cha pili tuu kutoka Barabara ya Mzunguko (Ring Road).

πŸ“ Umbali Muhimu:
βœ… Km 2 kutoka MJI WA SERIKALI Mtumba
βœ… Km 1 tuu hadi Barabara Kuu ya Dodoma – Morogoro

πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 807
(Mita 20 upana Γ— Mita 40 urefu)

🏠 Matumizi: Makazi & Biashara

πŸ’Έ Bei: Milioni 20 tu
Eneo lipo tayari kwa ujenzi – weka mguu Dodoma sasa kabla nafasi haijaisha!

πŸ“ž Wasiliana nasi leo uweze kutembelea site zetu au kwa maelezo zaidi tupige simu 0745200984

  πŸ™πŸ»
06/07/2025

πŸ™πŸ»

πŸ“ KIWANJA KIZURI SANA KINAPATIKANA – MTUMBA, DODOMA πŸ›£οΈπŸŒŸ Fursa adimu! Kiwanja kimoja tuu kimebaki katika eneo hili linalo...
05/07/2025

πŸ“ KIWANJA KIZURI SANA KINAPATIKANA – MTUMBA, DODOMA πŸ›£οΈ

🌟 Fursa adimu! Kiwanja kimoja tuu kimebaki katika eneo hili linalokua kwa kasi la Mtumba.
Kipo kiwanja cha pili tuu kutoka Barabara ya Mzunguko (Ring Road).

πŸ“ Umbali Muhimu:
βœ… Km 2 kutoka MJI WA SERIKALI Mtumba
βœ… Km 1 tuu hadi Barabara Kuu ya Dodoma – Morogoro

πŸ“ Ukubwa wa Kiwanja: Sqm 807
(Mita 20 upana Γ— Mita 40 urefu)

🏠 Matumizi: Makazi & Biashara

πŸ’Έ Bei: Milioni 20 tu
Eneo lipo tayari kwa ujenzi – weka mguu Dodoma sasa kabla nafasi haijaisha!

πŸ“ž Wasiliana nasi leo upange ziara ya site au upate maelezo zaidi.

Address

P. O. BOX DODOMA 2258
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when massawej043 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to massawej043:

Share