13/06/2026
MOIKA Retinol Cream (AHA & BHA 2%)
Ni cream yenye Retinol + AHA + BHA 2%, ambazo ni viambato vinavyosaidia kufanya “exfoliation” ya ngozi (kuondoa seli zilizokufa na uchafu kwenye ngozi).
Kazi & Faida
👉Kupunguza chunusi (acne)
👉Kufungua na kusafisha vinyweleo (pores)
👉Kupunguza madoa meusi na alama za chunusi
👉Kufanya ngozi iwe laini na yenye kung’aa
👉Kusaidia kupunguza mafuta mengi kwenye uso
👉Kuboresha texture ya ngozi (iwe smooth)
Jinsi ya kutumia
👉Osha uso kwanza na kauka vizuri
👉Paka kiasi kidogo (pea size) kwenye uso
👉Tumia usiku tu (night cream)
💰55,000
☎️0655745783