Mbinu za kutajirika

Mbinu za kutajirika Karibu tujifunze mbinu mbalimbali za kukuza, mitaji, biashara na mitandao ya watu au masoko.

15/06/2026

Bidii haikupi utajiri lakini bila bidii nafasi ya kuwa tajiri ni ndogo

06/05/2026

MAARIFA UNAYOYAHITAJI KUHUSU PESA.
1. MAARIFA ya kutengeneza au kupata pesa
2. MAARIFA ya kuzisimamia pesa
3. MAARIFA ya kutunza pesa
4. MAARIFA ya kuziongeza pesa

25/04/2026

Hatua mojawapo ya kuelekea uhuru wa kifedha ni kujilipa kwanza mwenyewe.
Katika mapato yako yote hakikisha unajilipa kwanza wewe, ndipo uanze kulipa bills zingine

13/04/2026

Usijikatie tamaa kwa sababu hata Mungu mwenyewe hajakukatia tamaa

11/04/2026

Njia mojawapo ya kujenga utajiri ni kuzungukwa na watu waliofanikiwa

08/04/2026

K**a ulikuwa unamwomba Mungu ufanikiwe, ukifanikiwa usitenganishe mafanikio yako na maombi

06/04/2026

Mojawapo ya kweli ya maisha ni

Usihindane na mtu yeyote katika maisha kwa kila mmoja wetu ana njia zake, za pekee na tofauti na mwingine.

Address

Mbezi Beach DSM
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mbinu za kutajirika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category