TSMM system

TSMM system Network marketing, Online business ,Marketing management

Address

Mikocheni B
Dar Es Salaam
P.O.BOX 4923

Sokoine Drive/Ohio street, N.I.C life house wingc, 5floor, room no.262 P.O.Box 75274 Dar es salaam-Tanzania.

General information

Tajirika sasa na TSMM SYSTEM jikusanyie hadi 3,000,000/= kwa mwezi jiingizie kipato kikubwa kupitia mitandao ya kijamii k**a facebook, twitter , instagram, blog nk. Kila bidhaa ya TSMM SYSTEM utakayouza utapata kamisheni nzuri sana, unaweza kuingiza kipato kikubwa tu kwa kuwa Wakala wa mtandao wa TSMM SYSTEM. Unachotakiwa kufanya ni kulike page kisha unashare katika akaunt yako bidhaa unayotaka kuiuza. Anza kuuza bidhaa hiyo kwa kutumia mitandao k**a SMS, FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM, WHATS APP au njia yoyote ambayo kwako itakua rahisi kumfikia mteja. Utakapopata mteja muelekeze katika duka letu na umpatie namba za simu za TSMM SYSTEM, mteja akishapatiwa huduma na kufanikiwa kununua bidhaa ile wewe utapata kamisheni kwa kila bidhaa atakayonunua. Bidhaa ziko nyingi k**a magari, simu za mkononi, nguo, cctv nk, ikiwa ni pamoja na kutafuta wateja kwaajili ya mahotel au makampuni mbalimbali. Furusa hii ni kwa rika lote haichagui kijana wala mzee, mwanamke wala mwanaume. Kumbuka mchakato huu ni endelevu hauna kikomo, jinsi unavyouza ndivyo utakavyojikusanyia kipato. Mpango huu haujalishi upo nchi gani duniani, popote ulipo kamisheni yako itakufikia waliopo ndani ya Tanzania watatumiwa malipo yao kila mwezi kupitia M-pesa, Tigopesa, Airtel money nk, kwa walio nje ya nchi watatumiwa malipo yao kwa west union money transfer. Kwa maelezo zaidi tupigie simu: 0717 20 33 76 au 0786 51 39 87 Tupo Dar es salaam, mtaa wa ohio na Sokoine drive, jengo la N.I.C life house gorofa ya 5. KARIBUNI WOTE MNAKARIBISHWA.

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TSMM system posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to TSMM system:

Share