Smartech.tz

Smartech.tz An online store for electonic,and other smart products at the affordable price,you can't find anywhere that will keep you coming back.

We offer online service for good and quality gadgets/electronics at the affordable price,you can't find anywhere that will keep you coming back.

12/09/2021

🤩 KIDS WRITING TABLET 🤩
ZAWADI NZURI KWA MTOTO
✔TSHS 25,000 tuu (Special Offer)
✅Hii ni Smart Writing Tablet kwaajili ya kuandikia/kuchorea watoto vitu mbalimbali pamoja na kujifunzia.
✅Tablet hii ya kisasa unaandika na kufuta papo hapo.
✅Inamsaidia mtoto kuandika na kujifunza kiurahisi zaidi.
✅Pia unaweza kutumia ofisini au nyumbani
✅Inaokoa muda na matumizi ya karatasi/madaftari.
✅Inatumia betri inayodumu Zaidi ya miaka miwili.
✔TSHS 25,000 (Special Offer)

▪Suitable for all ages
▪8.5 Inch Tablet
▪Doodling & Drawing
▪Calculating & Draft
▪Home, School, Office
▪Birthday/Christmas gift
▪No paper,No chalk

✅Sio ya kukosa, Imenunuliwa zaidi 2021.

Call/Whatsapp 0652638588
Order yako mapema,Lipia baada ya kupokea

17/08/2021

🔥TUMIA HII KUNOLEA VISU VYAKO NYUMBANI🔥
𝗦𝗺𝗮𝗿𝘁 𝗞𝗻𝗶𝗳𝗲𝗲 𝗦𝗵𝗮𝗿𝗽𝗲𝗻𝗲𝗿
Moja ya kifaa muhimu sana kuwa nacho nyumbani/jikoni.
✔️Usipate shida tena visu vinapokua havina makali/butu ukiwa na hii sharpener ya kisasa kabisa.
✔️Ipo katika hatua tatu za kunoa na kurudisha makali
✔️Rahisi sana kutumia bila kutumia nguvu na muda mfupi.
✔️Portable na unaweza kutumia kwa visu muundo wowote.
Nunua sasa na hutojutia kuwa nacho nyumbani kwako.
Unaipata Smartech.tz pekee kwa
TSHS 25,000 tuu. (Badala ya 39,000)
Call/Whatsapp +255 652 638588
Agiza yako utaletewa ulipo bure kwa dar mjini pekee.

19/06/2021

TUMIA HII SMART SECURITY ALARM💥
▪Ni kifaa ambacho unaweka mlangoni au hata dirisani( slide window) mtu/mwizi akifungua tu inatoa alarm yenye sauti kubwa.
▪Usihofie tena kuibiwa nyumbani au ofisini kwako.
▪Ni Wireless, inayo bebeka(Portable)popote na inayotoa taarifa papo hapo inapoguswa.
▪Unaweza kuweka mlangoni na dirishani.
▪Inatoa mlio wa alarm inaweza kusikika hata ukiwa mbali.
Betri yake inadumu zaidi ya mwaka mzima na inapatikana popote.👇
▶️Tshs 29,000/= Ofa ya sasa
▶️Tshs 25,000/= 2pcs
📞+255652638588
Zipo Chache
Order sasa na uletewe bure (Dsm) ,utalip

14/06/2021

💥 MIWANI Hii ya Kisasa (5 in 1 HD Sunglasses).
✔Miwani ya kipekee ambayo unabadili lens papo hapo zenye design/rangi tofauti bila kuwa na miwani nyingine ya ziada.

▶️𝐓𝐬𝐡𝐬 29,900
▪ Unapata lens ya Jua,beach,usiku (Night vision)
▪Unatumia kwaajili ya kuendeshea gari au pikipiki usiku na mchana.
▪ Ni Polarized, Kwa wewe ambae haupendi mwanga mkali basi hii miwani ni kwaajili yako.
▪ Ukiwa na hii miwani haupati shida ya kununua nyingine ya ziada,
Unapata Full Package yenye frame 1 na lens pair 5.

▶️𝐓𝐬𝐡𝐬 29,900 badala ya Tshs 50,000

Agiza yako mapema zipo chache.
Lipia utakapo pata bidhaa yako.
whatsapp/call+255652638588

⚡SAA NZURI ZA CASIO BRAND⚡▪Punguzo la bei na Original quality.▪Water Resistant (Hazipitishi maji).▪BEI YA OFA 35,000 TUU...
07/05/2021

⚡SAA NZURI ZA CASIO BRAND⚡
▪Punguzo la bei na Original quality.
▪Water Resistant (Hazipitishi maji).
▪BEI YA OFA 35,000 TUU
▪Hazibadiliki rangi na mikanda ya chuma imara
▪Zinaonyesha Muda,Tarehe na mwezi (Dual Watch).
▪Zinavaliwa na jinsi yoyote (Me/Ke).
▪Rangi ya Gold,Silver na Nyeusi zinazong`ara.
▪Vaa brand inayokubalika -CASIO na CAQUO

CASIO Ofa Tshs 35,000
CAQUO Ofa Tshs 35,000 (2pc Couple)
Call/whatsapp +255 652 638588.
Zipo chache.Wahi Yako.
Agiza mapema uletewe ulipo,Lipia Baada ya Kupokea bidhaa
(Free delivery Dar town).

07/04/2021

💥 MIWANI Hii ya Kisasa (5 in 1 HD Sunglasses).
✔Miwani ya kipekee ambayo unabadili lensi (glass) papo hapo bila kuwa na miwani nyingine tofauti tofauti.

▶️𝐓𝐬𝐡𝐬 𝟒𝟓,𝟎𝟎𝟎 (Full package)
✔ Unapata lensi ya Jua,beach,usiku na ile ya kuendeshea gari usiku(Night Vision)
✔Polarized, Kwa wale ambayo hawapendi mwanga mkali basi hii miwani ni kwaajili yako.
✔ Full Package yenye frame 1 na lens pair 6.

▶️𝐓𝐬𝐡𝐬 𝟒𝟓,𝟎𝟎𝟎 (Full package)

Agiza yako mapema zipo chache.
Lipia utakapo pata bidhaa yako.
whatsapp/call+255652638588

09/03/2021

👋𝗞𝗶𝗳𝗮𝗮 𝗖𝗵𝗮 𝗠𝗯𝘂 Nyumbani .
Tumia kifaa hivi husaidia kwaajili ya kuzuia Mbu au wadudu wadogo wanaoruka wakati wa usiku.

Sifa kuu:
✔️ Kifaa hiki maalum huvutia Mbu kwa mwanga na fan na kufa ndani yake.
✔️ Hakina kelele wala harufu kali na salama kwa binadamu.
✔️ Kinatumia USB
✔️ Nzuri pia kwa watoto na wasipenda harufu kali.
✔️ Kinatumia umeme kidogo sana.

▶️Tshs 29,000 tuu

📞0652 638588
Zipo chache .
Agiza uletewe ulipo bure na lipia utakapopokea (Dar es salaam mjini),Mkoani unatumiwa gharama ndogo sana.

03/03/2021

SMARTWATCH BORA ZAIDI.
Unapiga na kupokea simu zako kupitia Saa hii.
✅Rahisisha mawasiliano yako papo hapo bila kutoa simu yako mfukoni.
✅Hii Huna haja ya kuweka Sim card.

Sifa Zake:
▪Full touch screen
▪Unaunganisha na App maalum ya simu.
▪Simu za Android and iOS .
▪Waterproof watch .
▪Answer Calls
▪Message notifications za Whatsapp,Insta,FB,Twitter etc.
▪Inapima heart rate,blood pressure,oxygen etc).
▪Mazoezi,running,climbing,cycling.
▪Unaweza kuweka picha yako k**a wallpaper.
▪Calories counter.
Pamoja na features nyingine nyingi..
▶️Sasa ni Tshs 65,000/= badala ya Tshs 95,000.
Wahi ofa hii mapema (Zipo Chache).
📞Piga/Whatsapp +255 652 638588
Agiza uletewe ulipo bure ndani ya Dar mjini na utalipia ukipokea.

18/10/2020

🔥🔥🔥Naviforce Watch

💥𝗢𝗙𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗜𝗧𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗦𝗢𝗢𝗡..💥Saa Za Mkononi Zenye Ubora. ▪Hazipitishi maji yani Waterproof.▪Saa hizi ni Ngozi na Chuma imara ...
20/09/2020

💥𝗢𝗙𝗔 𝗛𝗜𝗜 𝗜𝗧𝗔𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗦𝗢𝗢𝗡..💥
Saa Za Mkononi Zenye Ubora.
▪Hazipitishi maji yani Waterproof.
▪Saa hizi ni Ngozi na Chuma imara halisi.
▪Ni Dual Watch mfumo wa analog & digital.
▪Kuonyesha Muda,Siku na Tarehe pamoja na alarm.
▪Hazibadilishi rangi.
▪Betri zenye warranty zaidi ya miaka 5.
▪Zinawaka taa kwaajili ya kuona usiku.
▪Brand ya Naviforce na Golden hour,
▶️ Tshs 54,000 badala ya Tshs 80,000

📞+255 652 638588
Chagua yako uletewe ulipo bure(Dar)

22/07/2020

😱OFA OFA SMART WATCH (Tsh 39,000)
▪Inakupa notification k**a ukipigiwa au kutumiwa sms kwenye simu yako.
▪Unanganisha na bluetooth na App maalum kwa simu yako.
▪Inakurahisishia kazi kwa kupokea Text za Whatsapp,Facebook,Wechat kuziona n.k kwa vibration.
▪Kwaajili ya mazoezi kucheki kilomitas,steps,calories n.k
▪Kupima mapigo ya moyo,Bp.
▪Matumizi zaidi ya siku 3 bila kuchaji..
▪Hazitumii laini ili kukupa urahisi.
Black color.
TShs 39,000
20% off discount

Agiza uletewe ulipo bure kwa Dar,mkoani unatumiwa kwa gharama ndogo.
Utalipia utakapo pokea.
+255652638588.⛟🌍

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Smartech.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Smartech.tz:

Share