Primetime Promotions

Primetime Promotions With state-of-the-art event technology, we provide world-class expertise in event production
and create memorable experiences that resonate through time.

Welcome to  #2016!
31/12/2015

Welcome to #2016!

Fika Escape Complex 31 Disemba kuanzia saa moja jioni kusema AHSANTE 2015 na kuukaribisha mwaka mpya 2016 kwa   na burud...
30/12/2015

Fika Escape Complex 31 Disemba kuanzia saa moja jioni kusema AHSANTE 2015 na kuukaribisha mwaka mpya 2016 kwa na burudani kali kutoka kwa Ruby, Maua Sama, Shilole, Madee, Kassim Mganga, Baraka De Prince, Moe Music, Mr Blue, Malaika, Galaxy na wengineo. Yote ni kwa kiingilio cha buku kumi tu mlangoni.

Baada ya usiku wa   na  , leo ni 'Meet and Greet' na mzee mwenyewe! Ni pande za Rouge Nightclub, Hyatt Regency, kuanzia ...
09/12/2015

Baada ya usiku wa na , leo ni 'Meet and Greet' na mzee mwenyewe! Ni pande za Rouge Nightclub, Hyatt Regency, kuanzia saa 1 jioni, kwa mwaliko tu. Wasiliana na [email protected] kupata wako.

Mambo yanaiva! Usiku wa   ndio huu unaandaliwa. Tuonane Escape Complex baadaye.
08/12/2015

Mambo yanaiva! Usiku wa ndio huu unaandaliwa. Tuonane Escape Complex baadaye.

Mzee wa   Koffi Olomide na kikosi chake wameshaingia mjini! Tukutane leo jioni pale Escape Complex kupata burudani iliyo...
08/12/2015

Mzee wa Koffi Olomide na kikosi chake wameshaingia mjini!

Tukutane leo jioni pale Escape Complex kupata burudani iliyoje na kudumisha undugu wetu uliodumu kwa miaka 16.

Ni burudani iliyoje kupata   na Koffi Olomide! Ni Escape 1 Mikocheni, 50,000/- ikihusika k**a kiingilio na Mil.1 kwa mez...
05/12/2015

Ni burudani iliyoje kupata na Koffi Olomide! Ni Escape 1 Mikocheni, 50,000/- ikihusika k**a kiingilio na Mil.1 kwa meza ya watu 10 ikiwa na chupa ya Champagne juu yake, huku tukidumisha urafiki na undugu wetu uliodumu kwa miaka 16.

"Zua nga foto"

  moja matata.
26/11/2015

moja matata.

 : Some of the biggest names in music entertainment have graced the Fiesta stage.
24/11/2015

: Some of the biggest names in music entertainment have graced the Fiesta stage.

Back then...can you guess what year this was...?
18/11/2015

Back then...can you guess what year this was...?

This time T.I., Waje, Ash Hamman, Victoria Kimani, Patoranking graced the Fiesta stage with Tanzania's biggest artists. ...
13/11/2015

This time T.I., Waje, Ash Hamman, Victoria Kimani, Patoranking graced the Fiesta stage with Tanzania's biggest artists. Primetime promotions - doing what we do best.

2013 was the year Primetime Promotions brought artists Alaine Laughton from Jamaica, Mohombi from Sweden and Nigeria's D...
13/11/2015

2013 was the year Primetime Promotions brought artists Alaine Laughton from Jamaica, Mohombi from Sweden and Nigeria's Davido for the Fiesta finale. Here are some BTS phots.

  to T.I. rocking over 50,000 fans at the Serengeti Fiesta 2015 finale.
22/10/2015

to T.I. rocking over 50,000 fans at the Serengeti Fiesta 2015 finale.

Address

Dar Es Salaam
POBOX31513

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Primetime Promotions posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share