Multi Cable Limited

Multi Cable Limited At Multi Cable Limited, You will find comprehensive electrical and plumbing supplies for construction! Life with Light, Light with MCL!

Visit our Showroom Virtual Tour by clicking the following link: https://mclshowroom.github.io/vtour/

A year of hard work, growth, and success… now let’s make 2025 even better! 🎯🎉 Here’s to achieving more and celebrating e...
31/12/2024

A year of hard work, growth, and success… now let’s make 2025 even better! 🎯🎉 Here’s to achieving more and celebrating every step of the way. Happy New Year from the MCL team! 🥂

This holiday season, we’re grateful for the trust you’ve placed in us. Wishing you joy, peace, and success in the year a...
25/12/2024

This holiday season, we’re grateful for the trust you’ve placed in us. Wishing you joy, peace, and success in the year ahead! 🎄✨

Nyaya salama, bora na imara kwa matumizi ya kila aina ni MCL ARMOURED CABLE. Zina ulinzi unaofanya Nyaya hizi ziweze kut...
21/12/2024

Nyaya salama, bora na imara kwa matumizi ya kila aina ni MCL ARMOURED CABLE. Zina ulinzi unaofanya Nyaya hizi ziweze kutumika kwenye aina zote za mazingira. Ni Nyaya namba moja zisizokuwa na matatizo ya shoti.

Linda friji lako! Tumia MCL Fridge guard kulipatia ulinzi wa uhakika friji lako. Zinavumilia umeme mkubwa na mdogo. Zina...
18/12/2024

Linda friji lako! Tumia MCL Fridge guard kulipatia ulinzi wa uhakika friji lako. Zinavumilia umeme mkubwa na mdogo. Zinarekebisha umeme kabla haujafikia kwenye friji lako na kulifanya liwe salama wakati wote.

Bomba za MCLE Hdpe zinaongoza kwa ubora nchini. Iwe umwagiliaji, mifumo ya maji nyumbani au kiwandani MCL Hdpe pipes ni ...
15/12/2024

Bomba za MCLE Hdpe zinaongoza kwa ubora nchini. Iwe umwagiliaji, mifumo ya maji nyumbani au kiwandani MCL Hdpe pipes ni chaguo sahihi kwa miradi yako.

Boresha mwonekano wa chumba chako kwa kutumia rangi bora za Almasi Vinyl Silk Emulsion zenye kudumu na kukifanya chumba ...
12/12/2024

Boresha mwonekano wa chumba chako kwa kutumia rangi bora za Almasi Vinyl Silk Emulsion zenye kudumu na kukifanya chumba chako kiwe na mwonekano wa upya muda wote.

Tunawatakia heri kwenye siku ya kumbukizi ya Uhuru wa Tanganyika
09/12/2024

Tunawatakia heri kwenye siku ya kumbukizi ya Uhuru wa Tanganyika

MCL PVC ni mabomba bora kwa mradi wako wa ujenzi kwenye kusambaza mifumo ya maji. Hayaathiriwi na maji au unyevunyevu, h...
06/12/2024

MCL PVC ni mabomba bora kwa mradi wako wa ujenzi kwenye kusambaza mifumo ya maji. Hayaathiriwi na maji au unyevunyevu, hayaathiriwi na hali ya hewa na yanadumu kwa miaka mingi.

Huna haja ya kutumia taa mbili, Mcl inakupa taa moja yenye mwanga mweupe n wa njano kwa Pamoja.
05/12/2024

Huna haja ya kutumia taa mbili, Mcl inakupa taa moja yenye mwanga mweupe n wa njano kwa Pamoja.

Linda nyumba yako dhidi ya ajali za umeme. Tumia nyaya za MCL single core, uhakikishe nyumba yako iko salama!
03/12/2024

Linda nyumba yako dhidi ya ajali za umeme. Tumia nyaya za MCL single core, uhakikishe nyumba yako iko salama!

Kazi za bustani zimekuwa rahisi! Tumia hose pipe ya MCL kumwagilia mimea kwa urahisi na furaha.
28/11/2024

Kazi za bustani zimekuwa rahisi! Tumia hose pipe ya MCL kumwagilia mimea kwa urahisi na furaha.

26/11/2024

Stay powered up with MCL's Portable Emergency LED Light! 🌟 Featuring a rechargeable battery, solar power for eco-friendly use, a compact design, multiple light modes, and auto brightness. Light up your life, anytime, anywhere.

Address

Clock Tower, Uhuru/India Street
Dar Es Salaam
00255

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 12:30
14:00 - 17:00
Saturday 08:30 - 15:00

Telephone

+255788755461

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Multi Cable Limited posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share