Dalali GONTO

Dalali GONTO Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dalali GONTO, Moshigonto@gmail. com, Dar es Salaam.

17/03/2025

Inapangishwa 250 piga Cm 0682454685 iponbagala

02/03/2025

Chumba sebule master jiko ndani ya fensi kodi 160 miezi 4 ipo mbgala zakhiem maelezo zaidi piga Cm
0682454685

02/10/2022

Nyumba pagale linauzwa kwa wale wawekezaji nyumba inaangalia balabala kuu ya lami inayo toka mbagala zakhiem kigamboni inauzwa milioni 150 maongezi yapo unaweza kuweka sheri au flem maelezo zaidi piga cm 0715 490 661

0682 454 685

Wadau wangu mwenye hii nyumba ana shida Sana ana itaji pesa ya haraka Sana ameamua kuishusha bei hii nyumba kutoka milio...
09/01/2021

Wadau wangu mwenye hii nyumba ana shida Sana ana itaji pesa ya haraka Sana ameamua kuishusha bei hii nyumba kutoka milion (50) Sasa ivi kwa kuwa ana shida yake taity Sana ameishusha mpaka tsh milion (36) tu
Nyumba nzuri Sana imenyoka mdau wangu ainakipengele Chochote
Hii nyumba ipo mbagala saku mwisho ni pale pale magengeni ukishuka tu kwenye dala dala nyumba hiyo ina vyumba vnne vya kulala kimoja master bedroom ina sttng room na daing rom ina jiko na store ina Maji na umeme eneo square meter (400) ina documents ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa upimaji shilikishi ushafanyika Bado Hattie tu nyumba ime kamilika yote njoo ulipe kisha uwamie tu mwenywe ana shida Sana nyumba nzuri bei poa kabisa tshi milion (36)
Simu 0715490661
0682454685

07/12/2020
Nyumba inauzwa inavyumba 6 flem 2 nyumba ipo mbagala zakhem nyumba inatizama balabala kubwa ya Rami yakutoka zakhiem kwe...
05/12/2020

Nyumba inauzwa inavyumba 6 flem 2 nyumba ipo mbagala zakhem nyumba inatizama balabala kubwa ya Rami yakutoka zakhiem kwenda kijichi Bei miloni 100 kwa mawasiano pigs cm NO, 0715 490 661 , 0682 454 685

Address

Moshigonto@gmail. Com
Dar Es Salaam
2551

Telephone

+255712454685

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dalali GONTO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dalali GONTO:

Share