07/05/2025
UNATAKA KUMILIKI SIMU JIPYA KWA MKOPO? HII NDIO FURSA YAKO KUTOKA SIMUSAFI!
Umekuwa ukitamani kumiliki simu janja bila kulazimika kulipa fedha nyingi mara moja? SimuSafi tunakuletea mkopo wa simu rahisi kuliko zote! Kwa kianzio kidogo kuanzia Tsh 55,000 tu, tayari unaondoka na simu mpya mkononi, ukiendelea kulipa kidogokidogo bila usumbufu.
Simu zinazopatikana kwa mkopo ni kutoka kwa brand kubwa k**a: Infinix, Itel, Tecno na Samsung (A Series) — chagua unayoipenda!
⸻
Orodha ya Simu kwa Mkopo na Vianzio Vyake:
Infinix
▪️Smart 8 (64/6GB) – Kianzio: Tsh 68,280
▪️Smart 9 (64/6GB) – Kianzio: Tsh 74,750
▪️Hot 50i (64/8GB) – Kianzio: Tsh 84,750
▪️Hot 50 Pro+ (128/16GB) – Kianzio: Tsh 160,875
▪️Xpad (128/8GB) – Kianzio: Tsh 130,000
▪️Note 40 (256/16GB) – Kianzio: Tsh 168,025
▪️Note 40 Pro (256/16GB) – Kianzio: Tsh 189,475
Itel
▪️A50C (64/4GB) – Kianzio: Tsh 55,250
▪️A50 (64/4GB) – Kianzio: Tsh 61,750
▪️A70 (128/6GB) – Kianzio: Tsh 65,000
▪️A80 (128/6GB) – Kianzio: Tsh 74,750
Tecno
▪️Pop 8 (64/4GB) – Kianzio: Tsh 71,500
▪️Pop 9 (64/6GB) – Kianzio: Tsh 78,000
▪️Spark 30c (128/8GB) – Kianzio: Tsh 84,500
▪️Camon 40 (256/16GB) – Kianzio: Tsh 211,250
▪️Camon 40 Pro (256/16GB) – Kianzio: Tsh 243,750
Samsung A Series
▪️A05 (64/4GB) – Kianzio: Tsh 80,000
▪️A06 (128/4GB) – Kianzio: Tsh 105,000
▪️A16 (128/4GB) – Kianzio: Tsh 175,000
▪️A25 5G (128/6GB) – Kianzio: Tsh 185,000
▪️A26 5G (128/6GB) – Kianzio: Tsh 240,000
▪️A35 5G (256/8GB) – Kianzio: Tsh 280,000
▪️A36 5G (256/6GB) – Kianzio: Tsh 340,000
▪️A*5 5G (256/8GB) – Kianzio: Tsh 325,000
▪️A56 5G (256/8GB) – Kianzio: Tsh 390,000
⸻
Jinsi ya Kupata Simu kwa Mkopo:
Mchakato ni rahisi sana:
1. Chagua simu unayoitaka.
2. Chagua mpango wa marejesho kulingana na kipato chako miezi 6, 9 hadi 12.
3. Vigezo ni k**a vifuatavyo:
▪️Kitambulisho cha NIDA au Kura.
▪️Namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina lako.
▪️Taarifa za mdhamini (jina na namba ya simu).
▪️Kianzio kulingana na simu unayoichagua.
Baada ya hapo unasajiliwa papo hapo na kuondoka na simu yako!
⸻
Huduma Popote Ulipo:
📍Temeke, Tandika Majaribio – Round About jirani na Voda Shop utaona duka limeandikwa
🚚Delivery ni Bure ndani ya Dar es Salaam na Pwani!
Mikoani? Tuna mawakala waliopo:
Dodoma, Mwanza, Arusha, Mbeya, Mara, Katavi, Tanga, Lindi, Korogwe, na Pwani.
Wasiliana nasi tukupatie huduma haraka na kwa uhakika.
⸻
📞Calls: 0744426067
WhatsApp: wa.me/255744426067
⸻
⸻
Mwanzo wa Simu Yako Mpya. Usikose fursa hii, wasiliana nasi sasa!