06/02/2021
WOSA...3369
kuhusu kuwa saidia maskini
neno la mungu linasema mathayo 6:1-4
jihadharini msije mkafanya matendo yenu mema mbele ya watu kusudi mwonekane nao.la sivyo baba wenu wa mbinguni hatawapeni tuzo.Basi unapomsaidia maskini usijitangaze.Usifanye k**a wanafiki wafanyavyo katika masunagogi na njiani ili watu wawasifu.Kweli nawaambieni,hao wamekwisha pata tuzo lao.Lakini wewe unapomsaidia maskini ,fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo .Toa msaada wako kwa siri ,na baba yako aonaye yaliyofichika ,atakutukuza. labda mwisho kabisa niombe samahani kwa kutumia lugha yenye ukali(maskini) kwa maana neno la mungu linasema ufunuo18:mtu yeyote akiongeza chochote katika mambo haya ,mungu atamwongezea mabaa yaliyoandikwa katika kitabu hiki. kwa hiyo ni nje ya uwezo wangu asanteni sana karibu tuijue wosa
[email protected]
wosa3369.blogspot.com
namba za simu 0719679301
Asante sana ....