Discount Kubwa

Discount Kubwa Kuhusu sisi,
Sisi ni moja ya duka la komputa linaloongoza Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla.
(492)

Tunauza komputa na vifaa vyake vikiwa katika hali na muonekano mzuri zaidi. Bidhaa zetu ni Mpya, Mitumba na vilivyo boreshwa {refurbished}
Kila bidhaa moja baada ya nyingine tunauza ikiwa imethibitishwa kuwa ni bora na tunahakikisha tumeshaifanyia majaribio. Tunawafanyia wateja wetu huduma mbalimbali k**a vile, kuboresha {kuapgrade}, kurekebisha, {kuripea}, kuwasaidia namna ya kusafirisha ndani y

a nchi yaani mikoani. Dhamana tunayotoa {warranty} tunapanga kuanzia miezi sita mpaka miezi kumi na mbili

Tumefanikiwa kwa miaka mingi iliyopita {miaka mingi ya nyuma mpaka sasa} kwa kutoa huduma bora zenye uhakika kwa wateja wetu ambapo kuna ushindani mkubwa wa bei

Timu yetu ya Discountkubwanni vijana walio imarika na kila mmoja amefuzu vizuri
mafunzo/majaribio na yupo vizuri kwa ajili ya kuhudumia mteja. Discountkubwa imependekeza kuanzisha maoni au ushauri ninafsi kwa wateja wetu ili kuweza kujua kwa uwazi hitaji la kila wa wateja wetu. Wengi wa wateja wetu ni wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali hapa nchini

Tunafurahi kwamba tumejenga uaminifu kwa kuweza kumudu wateja wetu kwa ufanisi mkubwa na tumeweza kusaidia kusafirisha komputa na laptop vijijini na mijini
K**a unahitaji kujua zaidi huduma zetu za dukani tafadhalimtutembelee
Tunapatikana eneo la biashara kubwa kubwa ndani ya Dar es salaam - kariakoo Mtaa wa Msimbazi usawa wa kituo kikubwa cha daladala zinazoenda Ubungo

Lenovo x120e, AMD, Screen 11.6 inches RAM 4GB, HDD 320GB TSH 255,000Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimb...
28/10/2022

Lenovo x120e, AMD, Screen 11.6 inches RAM 4GB, HDD 320GB TSH 255,000

Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi - WhatsApp +255 712 202 133

Hp z210/220 ssf core i5 3.0GHz, 4GB, 500GB with 19 inches Screen, Keyboard, Mouse, VGA cable and 2 Power cable. Tupo Kar...
14/10/2022

Hp z210/220 ssf core i5 3.0GHz, 4GB, 500GB with 19 inches Screen, Keyboard, Mouse, VGA cable and 2 Power cable.

Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha Polisi Msimbazi WhatsApp 0712 202 133

Laptop Dell Latitude 3160 Intel Pentium, 3rd Gen. 1.6GHzScreen 11.6", Ram 4GB, HDD 500GBTouchscreenTupo Kariakoo tunataz...
14/10/2022

Laptop Dell Latitude 3160
Intel Pentium, 3rd Gen. 1.6GHz
Screen 11.6", Ram 4GB, HDD 500GB
Touchscreen
Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi - WhatsApp 0712 202 133

13/10/2022

Laptop Dell Latitude 3160
Screen 11.6", Ram 4GB, HDD 500GB
Touchscreen
Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi - WhatsApp +255 712 202 133

Hp z210/220 ssf core i5 3.0GHz, 4GB, 500GB with 19 inches Screen, Keyboard, Mouse, VGA cables and Power cables.Tupo Kari...
08/10/2022

Hp z210/220 ssf core i5 3.0GHz, 4GB, 500GB with 19 inches Screen, Keyboard, Mouse, VGA cables and Power cables.

Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha Polisi Msimbazi WhatsApp +255 712 202 133

Dell Latitude E5430 14.1 InchIntel Core i5, 4GB RAM, 500GB HDD, WiFi, DVDRWTupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha Polis...
07/10/2022

Dell Latitude E5430 14.1 Inch
Intel Core i5, 4GB RAM, 500GB HDD, WiFi, DVDRW
Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha Polisi Msimbazi WhatsApp +255 712 202 133

02/10/2022

Dell Latitude E5430 14.1 Inch
Intel Core i5, 4GB RAM, 500GB HDD, WiFi, DVDRW

Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi
Msimbazi WhatsApp 0712 202 133

Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi - WhatsApp 0712 202 133
30/09/2022

Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi - WhatsApp 0712 202 133

Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi - WhatsApp 0712 202 133
28/09/2022

Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi - WhatsApp 0712 202 133

Lenovo X131e Intel celeron 1.5GHz Screen 11,6 Inches RAM 4GB, HDD 320GB  TSH 255,000Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo ...
20/09/2022

Lenovo X131e Intel celeron 1.5GHz Screen 11,6 Inches RAM 4GB, HDD 320GB TSH 255,000
Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha Polisi Msimbazi - WhatsApp 0712 202 133


Dell Latitude E5430 14.1 InchIntel Core i5, 4GB RAM, 500GB HDD, WiFi, DVDRWTupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polis...
19/09/2022

Dell Latitude E5430 14.1 Inch
Intel Core i5, 4GB RAM, 500GB HDD, WiFi, DVDRW
Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi
Msimbazi - WhatsApp 0712 202 133

16/09/2022

HP Probook 645 G1, AMD
A4-4300M 2x 2.50 GHz with Radeon HD | 4GB RAM, 500GB HDD / We**am
Tupo Kariakoo tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi - WhatsApp 0712 202 133


Address

Msimbazi Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:30
Tuesday 09:00 - 17:30
Wednesday 09:00 - 17:30
Thursday 09:00 - 17:30
Friday 09:00 - 17:30
Saturday 09:00 - 17:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Discount Kubwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share