Design to shine

Design to shine Design to Shine, its online Shop,
located Dar-es-salam,
Tanzania.

raw shea butter na sabuni ya african black zinasaidia kupambana na magonjwa ya ngozi, madoa , chunusi, vipele vidogo vid...
04/05/2017

raw shea butter na sabuni ya african black zinasaidia kupambana na magonjwa ya ngozi, madoa , chunusi, vipele vidogo vidogo ,inatakatisha kwa asili, walionguwa na cream, walioungua na jua, wenye weusi chini ya maziwa ,pia inakusaidia kulinda ngozi na mionzi ya jua bidhaa zetu ni asili hazina kemikali, na ni orgnl 100% kutoka ghana , shea butter ni 250g kwa 25,000tsh na african black soap 100g kwa 10,000tsh.. tunafanya delvry na mikoani tunatuma , tunapatikana dar es salam kigamboni .. whtsp au puga 0716999059,

Shea butter ni mafuta yanayotokana na mbegu za mti wa karite. Ni mafuta ambayo yamekua yakitumika kwa karine nyingi kutu...
03/05/2017

Shea butter ni mafuta yanayotokana na mbegu za mti wa karite. Ni mafuta ambayo yamekua yakitumika kwa karine nyingi kutunzia ngozi na nywele. Mafuta haya yana virutubisho vingi kwa ngozi na nywele. Pia ni mazuri kwa watu wenye matatizo mbali mbali ya ngozi.
-Kufanya ngozi kuwa nyororo (soft skin)
-kukinga ngozi na mionzi ya jua (sunscreen) -Kupunguza makunyanzi katika ngozi (wrinkles)
-Kuzuia michirizi wakati wa ujauzito (stretchmarks)
-Kufifisha makovu/ madoa doa mesui kwenye ngozi (dark spots)
-Kutibu magonjwa ya ngozi ya watoto na watu wazima
-inasaidia pia kwa waliongua na cream zenye kemikali
-kwa wailiokatika nywele
-nywele kavu na nywele ngumu , inakuza na kujaza nywele
kwa walipasuka miguu ni suluhisho inaondoa kabisa magaga
k**a una hayo matatizo hii ndio suluhisho
tunapatikana kigamboni dar es salam, mkoaani tunatuma utalipia gharama
whtsp au piga 0716999059
unapata kwa 250g (robo) kwa 25,000tsh karibuni

udi huu si mchezo harufu yake imetulia nahakika ukinunua pc 1 utataka na ya akiba 😀 ,  unanukia mno harufu yake imetulia...
03/05/2017

udi huu si mchezo harufu yake imetulia nahakika ukinunua pc 1 utataka na ya akiba 😀 , unanukia mno harufu yake imetulia kijiti kimoja tu harufu nyumba nzima na utaifurahia nimeuweka kwenye bei ya punguzo utaupata kwa 10,000tsh tu zimebaki chache , mikoan tunatuma , ukitaka kuletewa unalipia usafiri , napatikana dar es salam kigamboni.
whtspp au piga 0716999059

k**a unatatizo la magaga kukatika katika kwa miguu, ngozi kavu sana ,baadhi ya magonjwa ya ngozi suluhisho ni raw shea b...
03/05/2017

k**a unatatizo la magaga kukatika katika kwa miguu, ngozi kavu sana ,baadhi ya magonjwa ya ngozi suluhisho ni raw shea butter itakusaidia kulainisha na kuzuia kupasuka kwa miguu ndo kiboko yake na sio ya kuikosa hii , bei ni sh 25,000tsh kwa robo kilo(250g) .. tupo dar es salama kigamboni , mikoa yote tunawatumia mtalipia gharama za usafiri wale mnaotaka kuletea mnalipia gharama za usafiri..whtspp au piga 0716999059

Sabuni inayoitwa African Black Soap ni ya asili na haina kemikali zozote. Ni nzuri sana k**a una uso wa mafuta, chunusi,...
02/05/2017

Sabuni inayoitwa African Black Soap ni ya asili na haina kemikali zozote. Ni nzuri sana k**a una uso wa mafuta, chunusi, vipele (rashes) na matatizo mbali mbali ya ngozi. Pia hutakatisha sana mwili na kuondoa harufu mbaya (bad odor) kwa watu wenye matatizo ya kikwapa.
Hii sabuni ni mwisho wa matatizo! si yakukosa ni nzuri sana kwani inamaliza matatizo mbalimbali ya ngozi, huiacha laini na yenye mvuto.
ni nzuri mno kwa nywele za asili pia , tupo dar es salam , kigamboni
bei ni 10,000tsh kwa 100g na 250g(robo ) kwa 20,000tsh mikoani tunatuma , na delvry tunafanya utalipia gharama ..
sasa zinapatikana kwetu piga au whatspp 0716999059

maryam lotion mambo ya manukato , kunukia, kwa wanaojua maryam lotion habari yake wanayo si mchezo ..alafu sasa ipo kwen...
30/04/2017

maryam lotion mambo ya manukato , kunukia, kwa wanaojua maryam lotion habari yake wanayo si mchezo ..alafu sasa ipo kwenye sale ilikuwa 15,000tsh lakini sasa utaipata kwa 9,500tsh rahisi eh ? ndo hivyo fanya uwahi ya kwako mapemaaaa .....tupo dar es salam delevry ipo utalipia , mkoani tunatuma na jumla tunauza
piga au whtspp 0716999059

mwanamke kunukia sio kunuka kikwapa bibie, udi wa kuogea huo lazima uulizwe umepaka nini, harufu yake inakaa kwenye mwil...
29/04/2017

mwanamke kunukia sio kunuka kikwapa bibie, udi wa kuogea huo lazima uulizwe umepaka nini, harufu yake inakaa kwenye mwili na unaweza kumuwekea mume nae akanukia enhee habari ndo hiyo 👌👌😉😉 ..sasa wewe zubaa mchepuko anukie akuibie 😂😂😂 ni mwingi gram 400 kwa kikopo
tsh 18,000
whtspp au piga 0716999059

unyunyu , manukato kwa harufu mubashara kabisa  unapulizia kidogo tu harufu inakaa muda mrefu sana zipo pc chache tu fan...
29/04/2017

unyunyu , manukato kwa harufu mubashara kabisa unapulizia kidogo tu harufu inakaa muda mrefu sana zipo pc chache tu fanya kupata yako mapema kabla hazijaisha , mikoani tunatuma, wa jumla na reja reja pia tunauza bei ni 17,000tsh
whtspp au piga 0716999059

15/05/2014

Free Size.
To order yours.
0716 999059 Call or Whats App

15/05/2014

Free Size.
Contact : 0716 999059
Call or Whats app

15/05/2014

0716 999059
Call or Whats app
to Order

15/05/2014

VICTORIA SECRET PRODUCTS.
for 35,000 Each.
(Body Creams, Body Wash & Splash )

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Friday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Saturday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Sunday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00

Telephone

0716999059

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Design to shine posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Design to shine:

Share