11/10/2020
Today was amazing Hakika leo nimeamini kuwa Mungu ametupa zawadi kubwa sana sisi tuliondani ya Yesu katika kumuhudumia kwa viwango vya juu sana hakika leo Mungu ameonekana Watu 5 leo walimwamini Yesu asante sana Pastor kwa neno zuri Luka 18:10-14 Asanteni waimbaji wote na team ya