Aishalak kitchenware

Aishalak kitchenware karibuni aishalak kitchenware tunauza vyombo na mashine zote za jikoni 0754898632

Asalam aleikum nauza mabati ya kutengenezea chicken triangles Makubwa mazuri bati lake imara Ya njia mbili 10,000Ya njia...
24/02/2026

Asalam aleikum nauza mabati ya kutengenezea chicken triangles
Makubwa mazuri bati lake imara

Ya njia mbili 10,000
Ya njia 3 13000
Napatikana Dar temeke mwisho 0754898632

24/02/2026

Hii ni egg boiler
Inachemsha mayai kwa kutumia mvuke
Ina uwezo wa kuchemsha yai 1 mpaka 14 kwa wakati mmoja
Pia unaweza ku steam mayai

Utaipata kwa 28000 tu

Tunapatikana Temeke mwisho
Ma mkoani tunatuma
0754898632

Jaman chupa za chai ya daku hzo Ata ukipika mchana itakaa mpaka asubuh ya moto nimethibitisha hilo 💯 20,000 tuNapatikana...
24/02/2026

Jaman chupa za chai ya daku hzo
Ata ukipika mchana itakaa mpaka asubuh ya moto nimethibitisha hilo 💯 20,000 tu

Napatikana Dar temeke mwisho na mkoani unatumiwa 0754898632

Jaman chupa za chai ya daku hzo Ata ukipika mchana itakaa mpaka asubuh ya moto nimethibitisha hilo 💯 20,000 tuNapatikana...
24/02/2026

Jaman chupa za chai ya daku hzo
Ata ukipika mchana itakaa mpaka asubuh ya moto nimethibitisha hilo 💯 20,000 tu

Napatikana Dar temeke mwisho na mkoani unatumiwa
0754898632

Anaenunua hyo stand mixer anapata free recipe ya cake ya kilo mbili 🥰🥰
23/02/2026

Anaenunua hyo stand mixer anapata free recipe ya cake ya kilo mbili 🥰🥰

Address

Temeke
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aishalak kitchenware posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Aishalak kitchenware:

Share