gervas

gervas Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from gervas, Shopping & retail, kariako, Dar es Salaam.

Mie tayari wewe jee nimetimiza wajibu
24/03/2025

Mie tayari wewe jee nimetimiza wajibu

05/03/2025


Thanks Ndugu  πŸ‘πŸ‘
19/11/2024

Thanks Ndugu πŸ‘πŸ‘

Tabasamu kitu muhimu sana
19/11/2024

Tabasamu kitu muhimu sana

Mwenyezi Mungu katakasa kwa imani zote .ackson  πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
27/10/2023

Mwenyezi Mungu katakasa kwa imani zote .ackson πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ chama kinasimama na wanachama wake
26/10/2023

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ chama kinasimama na wanachama wake

Tanzania nchi nzuri sanaIna mikoa na Wilaya na kata zakePamoja na upatikanaji mzuri wa chakula Ina mbuga za wanyama pamo...
02/09/2023

Tanzania nchi nzuri sana
Ina mikoa na Wilaya na kata zake
Pamoja na upatikanaji mzuri wa chakula
Ina mbuga za wanyama pamoja na hifadhi
Tanzania ina madini na vito vya thamani
Yote haya na mengine mengi wametufundisha walimu, toka nikiwa chekechea na sasa niko darasa la pili.
LAKINI
Walimu hawajatundisha chuki na maneno ya kukashifiana, kugombana na wakati mwingine kutukanana. Haya yanatoka wapiiiii.
Nawaomba WaTanzania wote tujihadhari na wezi, watukanaji, wagomvi, wachonganishi, waongongo na yeyote anayekusudia kutudhurumu. Huyu siyo ndugu wala rafiki yetu.
Mbona mambo haya ni mapya yanatupeleka wapiii, sisi vijana tunataka amani na maendeleo ya kweli tu.
MUNGU kuibariki sana TANZANIA. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

thanks my blood kwa support yako  kazi njema mwenye kuitaji Tshert toa oda yako mzigo ukufikie mapema kwa mawasiliano 07...
25/07/2023

thanks my blood kwa support yako kazi njema mwenye kuitaji Tshert toa oda yako mzigo ukufikie mapema kwa mawasiliano
0768278609 πŸ‘‰πŸ‘•πŸ‘•πŸ€πŸ™

jipatie tshert kali toka  zenye ubora
18/07/2023

jipatie tshert kali toka zenye ubora

kheri ya sikuku ya Eid
29/06/2023

kheri ya sikuku ya Eid

Wana Rungwe Mbeya kiwira mzigo upo mezani toa oda yako sasa hard size yako unayo vaa na rangi pia mzigo unaupata hapo ul...
22/06/2023

Wana Rungwe Mbeya kiwira mzigo upo mezani toa oda yako sasa hard size yako unayo vaa na rangi pia mzigo unaupata hapo ulipo kwa bei zuri kabisa home sweet home Kiwira well come home my friend ❀️ N.k

Be humble πŸ™πŸΏ
17/06/2023

Be humble πŸ™πŸΏ

Address

Kariako
Dar Es Salaam

Telephone

+255717396767

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when gervas posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to gervas:

Share