Leyval bedsheets zone

Leyval bedsheets zone We are specialized sellers of pure cotton bedsheets in Tanzania. It is an online business, we ship only in Tanzania. 0785966164

Jipatie mashuka mazuri ya cotton 100% hayapauki wala kutoa vipele pele. Yani haya mashuka ni mkataba kabisaaaa.Seti inak...
08/09/2019

Jipatie mashuka mazuri ya cotton 100% hayapauki wala kutoa vipele pele. Yani haya mashuka ni mkataba kabisaaaa.
Seti inakuwa ni mashuka 2 na foronya 6 kwa elfu 70000 tu.
Tunapatikana Dodoma na Dar es Salaam. Pia tuna huduma ya kutuma Mikoa yote ya Tanzania.
Namba zetu ni 0756164233, 0624051281 au 0785966164

Pendezesha chumba cha mwanao kwa mashuka mazuri ya pure cotton 100% kutoka kwetu. 💥Mashuka 2 na foronya 2 kwa elfu 55000...
15/09/2018

Pendezesha chumba cha mwanao kwa mashuka mazuri ya pure cotton 100% kutoka kwetu.
💥Mashuka 2 na foronya 2 kwa elfu 55000
💥Shuka 1 na foronya 1 elfu 30000
💥Size ya mashuka ni 5x6
💥Yapo mashuka ya watoto wa k**e na watoto wa kiume
💥Tunapatikana Tabata Segerea Dar es Salaam
💥Tunatuma Mikoani na Dar tunafanya delivery kwa gharama za mteja
💥WhatsApp/ call 0785966164 au 0624051281

Jipatie mashuka mazuri ya pure cotton 100% hayapauki unatumia hadi wajukuu zako😀😀😀💥Mashuka 2, foronya 4 kubwa kwa elfu 6...
03/09/2018

Jipatie mashuka mazuri ya pure cotton 100% hayapauki unatumia hadi wajukuu zako😀😀😀
💥Mashuka 2, foronya 4 kubwa kwa elfu 65000💥Mashuka 2, foronya 4 kubwa na foronya 2 ndogo elfu 70000
💥Size ya mashuka ni 8x8
💥Tunapatikana Tabata Segerea Dar es Salaam
💥Mikoani tunatuma kwa gharama za mteja na Dar es Salaam tunafanya delivery kwa gharama za mteja
💥WhatApp au tupigie kwa namba 0785966164 au 0624051281
Karibuni sa a

Jipatie mashuka mazuri ya cotton hayachuji wala hayapauki. ❀Mashuka 2 na foronya 4 elfu 65000❀Mashuka 2, foronya 4 kubwa...
26/08/2018

Jipatie mashuka mazuri ya cotton hayachuji wala hayapauki.
❀Mashuka 2 na foronya 4 elfu 65000
❀Mashuka 2, foronya 4 kubwa na foronya 2 ndogo elfu 70000
❀Size ya shuka ni 8x8
❀Mapazia pia yapo ya aina tofauti tofauti
❀Tunapatikana Tabata Segerea Dar es Salaam, Mikoani tunatuma kwa gharama nafuu
❀WhatsApp 0785966164/0624051281
❀Instagram
❀Karibuni sana

NEW ARRIVALS NEW ARRIVALSJipatie mashuka ya pure cotton,  hayapauki wala hayatoi vipele. Nikisema cotton namaanisha 100%...
13/04/2018

NEW ARRIVALS NEW ARRIVALS
Jipatie mashuka ya pure cotton, hayapauki wala hayatoi vipele. Nikisema cotton namaanisha 100% cotton.
❀Mashuka 2 na foronya 4 kubwa elfu 65000
❀Mashuka 2, foronya 4 kubwa na foronya 2 ndogo elfu 70000
❀Size ya mashuka ni 7x8
❀Tunapatika tabata Segerea Dar es salaam
❀Tunafanya delivery kwa wateja wa Dar kwa gharama nafuuu
❀Mikoani tunatuma pia kwa gharama za mteja
❀WhatsApp 0785966164 au 0624051281
❀Karibuni wote.

Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Karibu ujipatie mashuka mazuri ya cotton, hayapauki wala kuchuja.❀Mashuka 2 na foronya 4 kwa elfu 65000❀...
03/04/2018

Mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Karibu ujipatie mashuka mazuri ya cotton, hayapauki wala kuchuja.
❀Mashuka 2 na foronya 4 kwa elfu 65000
❀Mashuka 2 na foronya 4 kubwa plus foronya mbili ndogo za square ni Tsh 70000
❀Size ya mashuka ni 7x8
❀Tunapatikana Tabata Segerea Dar Es Salam na tunafanya delivery kwa Dar gharama nafuu, Mikoani tunatuma pia kwa gharama za mteja
❀WhatsApp 0785966164 au 0624051281
Karibuni sana

Mashuka mazuri ya pure cotton, hayachuji wala kupauka yanapatikana kwetu.Mashuka 2 na foronya 4 elfu 65000,Mashuka 2, fo...
15/02/2018

Mashuka mazuri ya pure cotton, hayachuji wala kupauka yanapatikana kwetu.
Mashuka 2 na foronya 4 elfu 65000,
Mashuka 2, foronya 4 kubwa na foronya 2 ndogo elfu 70000.

Mashuka ya watoto pia yapo, mashuka 2, foronya 2 kwa elfu 55000.

Tunapatikana Tabata Dar es Salaam
Namba zetu za simu 0624051281au 0785966164.
Tunatuma Mikoani kwa gharama za mteja, na Dar tunafanya delivery utalipia usafir kulingana na mahali ulipo.
Karibuni sana

Jipatie mashuka mazuri ya pure cotton 100%Mashuka 2 foronya 4 elfu 65000Mashuka 2, foronya 6 elfu 70000Tunapatikana Taba...
09/01/2018

Jipatie mashuka mazuri ya pure cotton 100%
Mashuka 2 foronya 4 elfu 65000
Mashuka 2, foronya 6 elfu 70000

Tunapatikana Tabata Bima Dar es Salaam

Tunafanya delivery hata nje ya Mkoa kwa gharama za mteja. Na kwa Dar es Salaam utalipia usafiri kulingana na mahali ulipo.

WhatsApp 0785966164
Karibuni Sana

Jipatie mashuka mazuri ya cotton nzito kabisa..Hayachuji wala hayapaukiMashuka ni size 8x8Seti inakuwa na mashuka 2 Foro...
24/09/2017

Jipatie mashuka mazuri ya cotton nzito kabisa..Hayachuji wala hayapauki
Mashuka ni size 8x8
Seti inakuwa na mashuka 2
Foronya 4 kubwa
Na foronya mbili ndogo za square
Kwa elfu 70000 tu.
Tunapatikana Kinondoni Biafra Dar es Salaam
WhatsApp 0785966164

Jipatie mashuka mazuri ya cotton. Ni mazuri sanaaa hayapauki.Mashuka mawili na foronya 4 kwa elfu 65000 tu.Tunapatikana ...
05/09/2017

Jipatie mashuka mazuri ya cotton. Ni mazuri sanaaa hayapauki.
Mashuka mawili na foronya 4 kwa elfu 65000 tu.
Tunapatikana Kinondoni Biafra Dar es Salaam
WhatsApp 0785966164

Jipatie mashuka mazuri ya cotton 100%.Mashuka 2Foronya 6 kwa elfu 70000 tu.Tunatuma Mkoani kwa gharama za mteja.Tunapati...
14/08/2017

Jipatie mashuka mazuri ya cotton 100%.
Mashuka 2
Foronya 6 kwa elfu 70000 tu.
Tunatuma Mkoani kwa gharama za mteja.
Tunapatikana Kinondoni Biafra Dar es Salaam.
Wasiliana nasi kwa namba 0785966164

Address

Kinondonin Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Telephone

0785966164

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Leyval bedsheets zone posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share