02/06/2025
-Hii ni mashine ya kutengenezea sandwich au waffle .
-Tsh 65,000/=
- Inatumika kupika sandwich au waffle kwa kuziweka ndani na kuzichomeka kwa umeme (1000W).
-Ina vipande viwili vya kuoka vyenye muundo wa waffle, hivyo unaweza kutumia kutengeneza waffle au sandwich za aina mbalimbali nyumbani kwa urahisi.
Kipimo cha mashine hii ni cm 28.5 kwa upana na cm 15.4
WhatsApp +255657274588
🚛
#