One Day Collection

One Day Collection One Day Collection its official page for selling various Products in a dropshipping mode all over the world.

Price Inboxweka order sasa hivi.Kwa wakazi wa Dar utalipia mzigo ukifikakwa mkoani unalipia kwanza.. usafiri BURE
14/06/2020

Price Inbox
weka order sasa hivi.
Kwa wakazi wa Dar utalipia mzigo ukifika
kwa mkoani unalipia kwanza.. usafiri BURE

pochi kwa ajili ya wadada nzuri, chagua rangi unayotaka na Weka oder yako mapema.. unalipia mzigo ukifikaBei 10,000/= @
11/06/2020

pochi kwa ajili ya wadada nzuri, chagua rangi unayotaka na
Weka oder yako mapema.. unalipia mzigo ukifika

Bei 10,000/= @

05/06/2020

Habari wapendwa marafiki, ndugu, jamaa na wadau wa mitindo mbalimbali.. Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu
kwa kutupa Afya njema, 🙏🙏
Ni siku nyingi zimepita tukiwa kimya kwenye page yetu hii kuwaletea mambo mazuri, sababu kubwa ikiwa ni changamoto nyingi tumepitia kwa kipindi chote cha ukimya lakini Sasa tumeanza kujipanga vizuri na kuanzia hivi karibuni tutakuwa tunaweletea Matukio yanayo trend na habari za mitindo kuanzia majumbani, maofisini na binafsi...

NA KWAKIASI KIKUBWA TUTAKUA TUNATANGAZA NA KUUZA VITU MBALIMBALI VIZURI BEI SAWA NA BUREE

USISUBIRI FURSA HII IKUPITE

Ahsanteni sana na Karibuni Wote.

R.I.P Boss Ruge
26/02/2019

R.I.P Boss Ruge

SALE SALE SALE SALE🌹Maua mazuri ya kupendezesha kuta📝-----OFISINI🏠-----SEBULENI🏪-----STUDIOS n.kYanapatikana kwa Bei Rah...
16/02/2019

SALE SALE SALE SALE

🌹Maua mazuri ya kupendezesha kuta
📝-----OFISINI
🏠-----SEBULENI
🏪-----STUDIOS n.k

Yanapatikana kwa Bei Rahisi sana TSH 40,000 TU.

Weka Oder yako hapa
Whatsapp: #0624127057 📱
Whatsapp group: https://chat.whatsapp.com/HcV1YFCdii008wO3lN6UAf

🤝
25/12/2018

🤝

GodBless US... Miaka 57 ya UHURU TANZANIA
09/12/2018

GodBless US... Miaka 57 ya UHURU TANZANIA

Address

Tabata Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255624127057

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when One Day Collection posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to One Day Collection:

Share