18/01/2018
Hiki ni kitanda kizuri cha mtu mmoja kwa mashulenikwa watoto na hata kwa wageni. Kimetengenezwa kwa mbao ngumu ya mninga. Toa Oda yako sasa size ni 3.5fx6f kwa Shillingi TSH. 185,000/-tu.
Tunapatikana kariakoo mtaa wa Msimbazi tunatazamana na kituo cha polisi Msimbazi Dar es Salaam Piga Simu 0742 753834