GONGA GONGA GROUP

GONGA GONGA GROUP Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GONGA GONGA GROUP, Household Supplies, mjimwema, Dar es Salaam.

Haya sasa mradi wa bei rahisi zaidi umekuja tena kazi kwako.Tunaposema rahisi ni rahisi kweli viwanja vinaanza laki tisa...
26/08/2020

Haya sasa mradi wa bei rahisi zaidi umekuja tena kazi kwako.
Tunaposema rahisi ni rahisi kweli viwanja vinaanza laki tisa hadi milioni moja na laki nane.
Tunauza na kukopesha bila dhamana yoyote tena kwa malipo rahisi sawa bure.
Kumiliki ardhi sasa ni rahisi ukiwa WPN
Kwa malipo ya ni cash kila Sqm1 ni tsh elfu mbili na min saba
Kwa wanaohitaji beach plot kila sqm1 ni tsh 6000/= Kwa cash.
Maelezo zaidi call me 0714844778

Vile viwanja bado vinapatikana kigamboni kibugumo na buyuni beach plot.KIBUGUMONi viwanja vilivyo zungukwa na makazi ya ...
12/08/2020

Vile viwanja bado vinapatikana kigamboni kibugumo na buyuni beach plot.

KIBUGUMO
Ni viwanja vilivyo zungukwa na makazi ya watu na huduma zote muhimu za kijamii zipo.
Umbali kutoka FERRY ni km 10 na kutoka main road ni km 1 tu.
Kuwa makini kabla ya kufanya muamala kwa sasa mabwawa ya mpunga mengi KIGAMBONI yamekauka.

BUYUNI BEACH PLOT
Viwanja vinavyopatikana kwa malipo nafuu sana.
Umbali kutoka FERRY hadi buyuni ni km 40 na km 1 kutoka main road
Miliki beach plot kwa Tsh 3,500,000/= ukubwa Sqm 500 kwa malipo ya cash.
Nicheki nikupeleke sehemu sahihi na salama
Gharama ni ni nafuu sana kulingana na ukubwa unaotaka.
Kuna bei tofauti ili wewe usishindwe.
Zaidi nicheki mimi kwa no: 0714844778

Haya sasa mradi wa bei rahisi zaidi umekuja tena kazi kwako.Tunauza na kukopesha bila dhamana yoyote tena kwa malipo rah...
21/07/2020

Haya sasa mradi wa bei rahisi zaidi umekuja tena kazi kwako.
Tunauza na kukopesha bila dhamana yoyote tena kwa malipo rahisi sawa bure.
Kumiliki ardhi sasa ni rahisi ukiwa ABC PROPERTIES LTD.
Kwa malipo ya ni cash kila Sqm1 ni tsh 4000/=.
Kwa malipo ya kidogo kidogo ndani ya miezi 18 kila Sqm1 ni sh 6000/=.
Maelezo zaidi call me 0714844778

05/05/2020

Tangazo kwa wananchi wote kuanzia sasa huduma za akaunti hii zimesitishwa na tutatoa taarifa baada ya marekebisho,kuifunga au mabadiliko ya jina.

Tukiwa tumetembelewa na ugeni mkubwa wa mheshimiwa DAS Juhudi zetu ni faraja kwa viongozi wetu.
28/02/2020

Tukiwa tumetembelewa na ugeni mkubwa wa mheshimiwa DAS
Juhudi zetu ni faraja kwa viongozi wetu.

Viongozi wapya wa GONGA GONGA GROUP
16/02/2020

Viongozi wapya wa GONGA GONGA GROUP

Kazi bora ya milango ya HOSPITAL YA WILAYA KIGAMBONI imetengenezwa na GONGA GONGA GROUP wewe unasubiri nini?
16/02/2020

Kazi bora ya milango ya HOSPITAL YA WILAYA KIGAMBONI imetengenezwa na GONGA GONGA GROUP wewe unasubiri nini?

Mafundi bora kigamboni ni GONGA GONGA GROUP.
30/12/2019

Mafundi bora kigamboni ni GONGA GONGA GROUP.

GONGA GONGA GROUP ndo maamuzi sahihi kwa mahitaji ya nyumba yako.
30/12/2019

GONGA GONGA GROUP ndo maamuzi sahihi kwa mahitaji ya nyumba yako.

Toa ODA upate huduma bora kwa bei POA
30/12/2019

Toa ODA upate huduma bora kwa bei POA

Je unahitaji huduma bora? Mabadiliko ya kweli yapo GONGA GONGA GROUP Njoo hakuna fundi mbabaishaji
30/12/2019

Je unahitaji huduma bora? Mabadiliko ya kweli yapo GONGA GONGA GROUP Njoo hakuna fundi mbabaishaji

Fursa 2019 leta solution. Pamoja tunaweza kuyafikia malengo.
15/12/2019

Fursa 2019 leta solution. Pamoja tunaweza kuyafikia malengo.

Address

Mjimwema
Dar Es Salaam

Telephone

0714844778

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GONGA GONGA GROUP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share