30/03/2026
Nimeona Baada ya Kifo Cha aliyekuwa waziri na Mbunge, William Lukuvi, watu walianza kupost hiyo hotel yake huku wengi wakisema Waziri tu aliwezaje kujenga hotel kubwa namna hiyo?
Sitaki kueleza sana, Kwa sababu ina eleweka kuwa waziri mshahara wake siyo wa Kitoto, bado marupurupu n,k.
Hivi mlitaka mshahara anao Upata apeleke wapi?
Ok basi tuachane na hiyo, Hii Hotel ya Sugu Pale mbeya kaijengaje? Ok utasema Sugu alikuwa mfanyabiashara na msanii, Kwa mziki gani na Biashara ipi?
K**a Sugu aliweza kujenga hiyo hotel je inashindikana nini Kwa Mzee Lukuvi kujenga hiyo hotel?
Hata k**a Watanzania tuna chukiana Kwa sababu ambazo Kila mmoja anazo ila wakati mwingine tutumie hata akili ndogo kwenye vitu k**a hivi.