Bidhaa

Bidhaa Ni ukurasa wa matangazo ya biashara kwa anae taka kutupigia sm no 0745700352

11/03/2021

Sio kila mtu apend gariπŸš— ila tatizo malengo yetu tunashindwa kuyasimamia wenyewe kwa sku unapata elf10 akiba yako unaweka 500 kweli utawezana? we

18/02/2021

Wana msimbazi unaitakia Simba ushindi ukiwa pande zip in town

16/02/2021

Katika maisha ukitaka kuyashinda tambua Mambo manne(4) subira, uelewa, uvumilivu, msamaha mengine Ni nyongeza

15/02/2021

Maisha yana vitu Saba,,1:furaha,2;karaha, 3*misuko suko, 4"majonzi, 5`migogoro, 6β„’Mikasa 7~ckuki yote usababishwa me na wew

11/02/2021

Ni follow Instagram rivinusgrevas uone video na vichekesho

06/02/2021

Ukiwa unaomba Mungu anza na kuomba akili ili uweze kuzitumia vizuri,,,,,, maana bila akili ni sawa sawa na kuandika (0) zero kwenye maji

03/02/2021

Hivi kwanini unakubali kuendelea kuteseka katika mapenzi yanayokuhumiza πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€ like page na share ujumbe huu

27/01/2021

Mahusiano mazuri yanaitaji upendo, uaminifu, ukweli, ushauri, ukarimu, ushirikiano na kujalianaπŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ₯€πŸ¦πŸ¦ Usisahau pia like page na share katika magroup mbalimbali

20/11/2020

Bei nafuu tupo dar mbez kalibu sana

18/11/2020

Litawachoma kweli

17/11/2020

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bidhaa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share